introvert
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 1,372
- 2,425
Ninampa alama ya D ya chini.
Sababu ya kwa nini nampa D ni;
1. Hotuba zake zinakosa busara na hekima ya kuwafanya wananchi washirikiane wote kujenga taifa. Nukuu kauli zake Pemba, University of Dodoma, Rais wa maskini, Atawashusha waishi kama mashetani.. Hii yote inaonyesha mtu mwenye chuki juu ya watu wa aina fulani. Hii inamkosesha A.
2. Hana long-term plans. Ni mtu anayesukumwa na short-term solutions to serious problems. Hii inafanya awe popular in a very short time baadae watu wanamuona mkurupukaji.
Kwa mfano, suala la muhimbili, sukari, kodi, nukuu yake kwamba ni heri kukosea halafu kurekebisha baadae, safari za nje (hatuonyeshi na hatuuzi intellectual minds zetu tumejifungia ndani), . Inaonyesha si strategist mzuri. Hii inamuondoa kwenye A na B.
3. Ana mawazo yake mwenyewe tayari juu ya masuala fulani. Hivyo hatoi nafasi ya kushaurika. Hii ni mbaya kwa sababu appointments zake zimejikita katika "wasomi". Unapompa kazi "msomi" na humpi uhuru wa kufanya anavyoelewa hapo unakua umegeuza "wasomi" wetu rubber stamp.
Itafika mahali "wasomi" wetu watadharahulika sana (wengine tayari wanaonekana ni wajinga). Si hapo tu bali watu hawa watakua frustrated na utendaji huu.
Hii point, pamoja na nyingine juu, zinamuondoa kwenye A na B.
4. Hana uelewa mkubwa na mpana wa mambo mbali mbali -- general knowledge. Unapokuwa cabinet minister unatakiwa uwe well rounded and informed. Si ajabu hasomi vitabu wala journals mbalimbali. Lakini hili ni tatizo la watanzania wengi kwa ujumla.
Mfano, makosa ya Libya.. makosa ya uelewa wa basics za uchumi kwamba ukiongeza kodi una-discourage investments, kauli zake zinazoleta political risks kubwa kwenye biashara na uchumi (wawekezaji hawamwamini), kauli zake kwenye msiba n.k.
Hii inamuondoa kwenye daraja la C. A C student has a good sense of common sense and general knowledge.
5. Lack of priorities. At one point anataka kufanya kila kitu at once.
6. Anapendelea watu wanaopenda media politics kina Makonda, Gambo and the likes. Hawa hawana busara ya kuongoza na wameekwa kupambana na upinzani mikoani mwao. Hii inakinzana na hotuba zake kwamba yeye ni Rais wa wote.
Kwa nini simpi E wala F;
1. Anaonyesha nia ya kuwasaidia watanzania tatizo njia.
2. Hana "mtandao" ambao kama angekua nao nchi ingeliwa zaidi.