Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,535
- 8,620
Siasa zimekwisha na Uhuru katangazwa Rais tayari hata kama..kuna..madai na udhibitisho wa wizi wa kura kama ambavyo ulikuwapo huko nyumbani mwaka 2015
Urais ni taasisi na ukiwa hapo unasimamia maslahi mapana ya taifa na sio yako ...inawezekana ulitaka Raila kama ulivyotaka Kagame ashinde..na..pengine unaugulia mapesa uliyompelekea kama rafiki yako,lakini kwa kiti ulichokalia hunyimwi kuwa na rafiki lakini kama mkuu wa nchi TUMA PONGEZI KWA UHURU..haina maana yeye haelewi...una...mapenzi binafsi
Rais wa Tanzania anapochelewa kutuma pongezi inavuruga..diplomasia na urafiki wetu na undugu na Kenya .
Iweje ichukue chini ya dakika 20' baada ya matokeo kutoka kumpongeza Kagame...lakini asubuhi inafika hatujatuma salamu Kenya
Tanzania sio Mali..binafsi ya mtu .
Tunajua kuna madai ya utatu wa kuunda Bahima Empire...ndio inafanya baadhi ya viongozi kufanya unafiki na hawakutaka Uhuru ashinde.
Kwa ndugu zetu Wakenya na kwa Uhuru tunaomba msichukulie kuchelewa kwa salam..rasmi za nchi kuwa hatuwatakii mema ,tunawapenda sana ...na tunaomba Uhuru asichukie watanzania kwa ajili ya mtu mmoja