Ze General
JF-Expert Member
- May 10, 2014
- 1,508
- 1,256
Kwahyo jpm akeshee....kusubir atakae shinda atoe pongez..cjui itakuwa ni uoga au kujipendekeze
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo lowassa kwani ni Rais...si kwa mapovu hayo.... vp mamvi ashapeleka salamu za pongezi... bavicha mna taabu kweli kweli
Hata mi naangalia comments za bavicha..yaani kama wanalazimisha Maji kupanda mlima..naona wanampangia magu cha kufanya kwa muda wanaotaka wao.teh..kuishiwa hoja za msingi hakujawahi kumuacha mtu salama.Bavicha bhana, wamepoteza credibility kwa watanzania wanaanza kudandia vitu havina impacts kwao!
CCM hatukurupuki, tunafahamu nini tufanye, tumeshaongea na Uhuru kwa njia zingine za mawasiliano, na salaam za pongezi tulishazituma!!
Kwa kuwa nia yako ni kuichonganisha Ikulu ya Tanzania dhidi ya majirani zetu - uchonganishi huo hautafanikiwa - KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
It is not about party politics there is a growing concern about JPM style of leadership in the country. Tanzanians came in support of Uhuru as an automatic reaction against the one he (JPM) supports.Tena wapo serious kweli mitandao yote....JPM atampongeza Uhuru kama protocol zinavyotaka ....sijui wanashangilia nini? ....
Uchaguzi wa mwaka 2015 hao wapinzani wa Kenya na huyo Odinga alikuwa upande wa Magu na CCM so undhani upinzani wange msupport vipi mwaka huu wakati yeye ndo alianza kunyea kambiJPM asimpongeze uhuru kwa lipi? ....akipongeza msigeuze maneno maana siku hizi mnapinga kila kitu ....alafu badala ya kumsaidia mpinzani mwenzenu mnasaidia chama tawala ....mnategemea wapinzani wa Kenya wawaunge mkono 2020? ....uchaguzi Kenya umeisha ....maisha lazima yaendelee ....lazima uhuru na JPM washirikiane .....
Kama hataki awe rais ?Kwa taarifa yako licha ya urafiki kati ya Magu na Odinga bado Magu hamkubali Odinga awe rais.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mi naangalia comments za bavicha..yaani kama wanalazimisha Maji kupanda mlima..naona wanampangia magu cha kufanya kwa muda wanaotaka wao.teh..kuishiwa hoja za msingi hakujawahi kumuacha mtu salama.
Wewe Jamaa huna akili unampangia rais?Siasa zimekwisha na Uhuru katangazwa Rais tayari hata kama..kuna..madai na udhibitisho wa wizi wa kura kama ambavyo ulikuwapo huko nyumbani mwaka 2015
Urais ni taasisi na ukiwa hapo unasimamia maslahi mapana ya taifa na sio yako ...inawezekana ulitaka Raila kama ulivyotaka Kagame ashinde..na..pengine unaugulia mapesa uliyompelekea kama rafiki yako,lakini kwa kiti ulichokalia hunyimwi kuwa na rafiki lakini kama mkuu wa nchi TUMA PONGEZI KWA UHURU..haina maana yeye haelewi...una...mapenzi binafsi
Rais wa Tanzania anapochelewa kutuma pongezi inavuruga..diplomasia na urafiki wetu na undugu na Kenya .
Iweje ichukue chini ya dakika 20' baada ya matokeo kutoka kumpongeza Kagame...lakini asubuhi inafika hatujatuma salamu Kenya
Tanzania sio Mali..binafsi ya mtu .
Tunajua kuna madai ya utatu wa kuunda Bahima Empire...ndio inafanya baadhi ya viongozi kufanya unafiki na hawakutaka Uhuru ashinde.
Kwa ndugu zetu Wakenya na kwa Uhuru tunaomba msichukulie kuchelewa kwa salam..rasmi za nchi kuwa hatuwatakii mema ,tunawapenda sana ...na tunaomba Uhuru asichukie watanzania kwa ajili ya mtu mmoja
Uhuru anawajua wanafiki.
Anayewatuma amekosea njiaKama huwa anaweza kutumbua saa 6 usiku anashindwa nini kumpongeza usiku ule ule? Atoe pongezi huyo best yake ampe waziri wa nishati kama anampenda sanaa!!! Urafiki usiwe ndio msimamo wa nchi hapana!! Wizara mambo Nje mshaurini atume official....kam anasua sua kwenye tweet kama alivyofanya kwa Kagame usiku usiku Ali tweet!! Asituletee mahaba binafsi!!
Amin nakuambia kunawatanzania wasio amini siasa za vyama na walio CCM ambao wako "frustrated" kama ulivyosema na wamefurahia ushindi wa Kenyata dhidi ya Odinga.Wanachofanya chadema ni kusteam out frustration zao kwa kupitia Kenya!!!!!! As if Kenyatta kushinda kutawaongezea kipato chao Tanzania .Ni Sawa na mtu anayesifia mke wa jirani yake kuwa ni mzuri wakati wake mbaya kupindukia.
kama hamukubali basi asingezuia wafanyabiashara wa kenya kipindi karibu na uchaguzi kuingia Tz na uku odinga kwny kampeni yke akitumia kwa sera ya kuongea na Magu wafanyabiashara wa kenya kurusiwa kufanya biashara bila usumbufuKwa taarifa yako licha ya urafiki kati ya Magu na Odinga bado Magu hamkubali Odinga awe rais.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa taarifa yako licha ya urafiki kati ya Magu na Odinga bado Magu hamkubali Odinga awe rais.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hamjauliza kwa Nini nchi za magharibi na asia hazijatuma salamu za pongezi haraka? Pia mleta mada tukuulize Kenyatta alimpongeza magufuli haraka aliposhinda uchaguzi?
Protocal gani zilimfanya ampongeze Kagame (boss) ndani...ya dakika 20' baada ya.matokeo...kutoka zimefanya hadi...sasa...awe kimyaaaaTena wapo serious kweli mitandao yote....JPM atampongeza Uhuru kama protocol zinavyotaka ....sijui wanashangilia nini? ....