Lambardi
Platinum Member
- Feb 7, 2008
- 19,987
- 24,017
Kama huwa anaweza kutumbua saa 6 usiku anashindwa nini kumpongeza usiku ule ule? Atoe pongezi huyo best yake ampe waziri wa nishati kama anampenda sanaa!!! Urafiki usiwe ndio msimamo wa nchi hapana!! Wizara mambo Nje mshaurini atume official....kam anasua sua kwenye tweet kama alivyofanya kwa Kagame usiku usiku Ali tweet!! Asituletee mahaba binafsi!!