Rais Magufuli Mpongeze Uhuru HARAKA

Rais Magufuli Mpongeze Uhuru HARAKA

Status
Not open for further replies.
Wanachofanya chadema ni kusteam out frustration zao kwa kupitia Kenya!!!!!! As if Kenyatta kushinda kutawaongezea kipato chao Tanzania .Ni Sawa na mtu anayesifia mke wa jirani yake kuwa ni mzuri wakati wake mbaya kupindukia.
Hapo unafyonza dole unajiona umejenga hoja ya maana kumbe ni childish arguments,shame on you
 
Dah nimecheka sana yaan! hahha mkuu kashikwa na hasira huko anasonya tu! ngj aje aandike tweet broken one!au aseme

apewe muda had lini!kutudhalilisha hv kwa nchi jiran km Kenya ndo nn!.. asituharibie ukaribu na udugu wetu hebu we

Greyson Msigwa km upo humu pls fanya kutweet kwa niaba ya THIDHONJE
 
Siasa zimekwisha na Uhuru katangazwa Rais tayari hata kama..kuna..madai na udhibitisho wa wizi wa kura kama ambavyo ulikuwapo huko nyumbani mwaka 2015

Urais ni taasisi na ukiwa hapo unasimamia maslahi mapana ya taifa na sio yako ...inawezekana ulitaka Raila kama ulivyotaka Kagame ashinde..na..pengine unaugulia mapesa uliyompelekea kama rafiki yako,lakini kwa kiti ulichokalia hunyimwi kuwa na rafiki lakini kama mkuu wa nchi TUMA PONGEZI KWA UHURU..haina maana yeye haelewi...una...mapenzi binafsi
Rais wa Tanzania anapochelewa kutuma pongezi inavuruga..diplomasia na urafiki wetu na undugu na Kenya .

Iweje ichukue chini ya dakika 20' baada ya matokeo kutoka kumpongeza Kagame...lakini asubuhi inafika hatujatuma salamu Kenya
Tanzania sio Mali..binafsi ya mtu .

Tunajua kuna madai ya utatu wa kuunda Bahima Empire...ndio inafanya baadhi ya viongozi kufanya unafiki na hawakutaka Uhuru ashinde.

Kwa ndugu zetu Wakenya na kwa Uhuru tunaomba msichukulie kuchelewa kwa salam..rasmi za nchi kuwa hatuwatakii mema ,tunawapenda sana ...na tunaomba Uhuru asichukie watanzania kwa ajili ya mtu mmoja

Chadema wachonganishi sana..

Hivi using ur commonsense which is seem not common to you, Uhuru Kenyatta kashinda na kutangazwa jana usiku almost saa 4 usiku.. Sasa Mh. Rais wetu JPM kachelewa nini? Kachelewa wapi kutuma salamu za pongezi? Chadema mna uchochezi mno, shame on you..

Hii tabia ya kutafuta kiki au political gain kwa swala la kijinga kama hili ni upuuzi.. Hivi mnajifanya nyie CDM mko karibu na Kenyatta kuliko Mh. Rais JPM? Acheni ujinga
 
ameshampongeza, lakini cha ajabu hamjapenda!
 
Atume asitume ni uamuzi wake, lakini kwa tafsiri nyingine kutotuma pongezi hiyo ni dhahiri kwamba kun........
 
ameshampongeza, lakini cha ajabu hamjapenda!
Chadema wachonganishi sana..

Hivi using ur commonsense which is seem not common to you, Uhuru Kenyatta kashinda na kutangazwa jana usiku almost saa 4 usiku.. Sasa Mh. Rais wetu JPM kachelewa nini? Kachelewa wapi kutuma salamu za pongezi? Chadema mna uchochezi mno, shame on you..

Hii tabia ya kutafuta kiki au political gain kwa swala la kijinga kama hili ni upuuzi.. Hivi mnajifanya nyie CDM mko karibu na Kenyatta kuliko Mh. Rais JPM? Acheni ujinga
CCM wakiiba kura 2020 kama alivyofanya Kenyatta hawa Chadema wasianze kulia lia. Wanajiona wajanja kumbe ni majuha haswa.
 
Chadema wachonganishi sana..

Hivi using ur commonsense which is seem not common to you, Uhuru Kenyatta kashinda na kutangazwa jana usiku almost saa 4 usiku.. Sasa Mh. Rais wetu JPM kachelewa nini? Kachelewa wapi kutuma salamu za pongezi? Chadema mna uchochezi mno, shame on you..

Hii tabia ya kutafuta kiki au political gain kwa swala la kijinga kama hili ni upuuzi.. Hivi mnajifanya nyie CDM mko karibu na Kenyatta kuliko Mh. Rais JPM? Acheni ujinga
Acha hizo ,ya kagame...mbona alituma...ndani...ya dakika chache
 
Mbona Kenya ilipokuwa inakaribia kuingia kwenye uchaguzi, tulisikia kauli tata kutoka kwa JPM kuhusu Kenya?

Siyo kuwa alikuwa akitoa kauli hizo kwa kuwa alikuwa na over confidence kuwa his best "friend" Raila ataingia madarakani?

Refer kauli aliyoitoa hivi karibuni kule Tanga kuwa kama Kenya wakizuia bidhaa zetu za maziwa zisiingie nchini mwao na sisi tutapiga marufuku bidhaa zao zote zisiingie nchini mwetu!
Sasa hiyo kauli ina utata gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wanawaza kwa makalio yaani Upinzani hauwez kusapoti chama tawala nchi nyingine? Mfano Ghana, India Japan walishinda wapinzani kwa hiyo wakishatawala basi tuachane nao tuungane na upinzani ambao walikuwa watawala? Mfano Ujeruman chama tawala CDU ni rafiki na wa CDM kwa hiyo tuachane nao kwa 7bu ni chama tawala? Kwa taarifa yako vyama huwa marafiki kwa sera, milengo na makubaliano yenye faida kwa wote
 
JPM asimpongeze uhuru kwa lipi? ....akipongeza msigeuze maneno maana siku hizi mnapinga kila kitu ....alafu badala ya kumsaidia mpinzani mwenzenu mnasaidia chama tawala ....mnategemea wapinzani wa Kenya wawaunge mkono 2020? ....uchaguzi Kenya umeisha ....maisha lazima yaendelee ....lazima uhuru na JPM washirikiane .....
Mbona yeye MAGU alimuunga mkono MPINZANI???

-Domhome-
 
Siasa zimekwisha na Uhuru katangazwa Rais tayari hata kama..kuna..madai na udhibitisho wa wizi wa kura kama ambavyo ulikuwapo huko nyumbani mwaka 2015

Urais ni taasisi na ukiwa hapo unasimamia maslahi mapana ya taifa na sio yako ...inawezekana ulitaka Raila kama ulivyotaka Kagame ashinde..na..pengine unaugulia mapesa uliyompelekea kama rafiki yako,lakini kwa kiti ulichokalia hunyimwi kuwa na rafiki lakini kama mkuu wa nchi TUMA PONGEZI KWA UHURU..haina maana yeye haelewi...una...mapenzi binafsi
Rais wa Tanzania anapochelewa kutuma pongezi inavuruga..diplomasia na urafiki wetu na undugu na Kenya .

Iweje ichukue chini ya dakika 20' baada ya matokeo kutoka kumpongeza Kagame...lakini asubuhi inafika hatujatuma salamu Kenya
Tanzania sio Mali..binafsi ya mtu .

Tunajua kuna madai ya utatu wa kuunda Bahima Empire...ndio inafanya baadhi ya viongozi kufanya unafiki na hawakutaka Uhuru ashinde.

Kwa ndugu zetu Wakenya na kwa Uhuru tunaomba msichukulie kuchelewa kwa salam..rasmi za nchi kuwa hatuwatakii mema ,tunawapenda sana ...na tunaomba Uhuru asichukie watanzania kwa ajili ya mtu mmoja
Umekunywa viroba wapi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom