ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,729
- 34,830
Kuna watu wanaona ushindi wa Uhuru ni ushindi wao
tutolee ujinga wako hapa,chama tawala kilikuwa KANU tu,baada ya kufa vyote ni vyama vya upinzani..JPM asimpongeze uhuru kwa lipi? ....akipongeza msigeuze maneno maana siku hizi mnapinga kila kitu ....alafu badala ya kumsaidia mpinzani mwenzenu mnasaidia chama tawala ....mnategemea wapinzani wa Kenya wawaunge mkono 2020? ....uchaguzi Kenya umeisha ....maisha lazima yaendelee ....lazima uhuru na JPM washirikiane .....
:Subiri utakapokuwa Rais au yule unayemshabikia awe Rais ndo utoe ushauri huu.
Uraisi ni Taasisi siyo mtu, hivyo kuna mambo ya kidiplomasia na kitaifa kabla ya kutoa tamko. Na kumbuka Kenya, siyo tu ni nchi jirani, lakini pia wananchi wake ni marafiki na ndugu zetu. Hivyo, basi katika hali ya kisiasa ni busara kuwa makini na matamko ya kisiasa.
Phillemon Mikael, hivi Rais Magufuli alipewa pongezi na Serikali ya Kenya muda gani baada ya kutangazwa kama mshindi?
information is PowerNa pia ambao wanaona...kama kushindwa kwa...Raila wameshindwa waoKuna watu wanaona ushindi wa Uhuru ni ushindi wao
Chadema imelazimishwa na Lowassa kumuunga mkono Kenyatta, huyu Mtu ni rafiki wa Lowassa, sio wa Chadema. Kumbuka alieanza kuweka misimamo wake wazi wa kumkubali Kenyatta ni mzee Lowassa, watu wakaanza kuhoji inakuwaje anakuwa na msimamo kinyume na chadema. Ndio baadae sana Mbowe akajitokeza na kusema sasa wamebadili msimamo wao kama chama wanasapoti Jubelee...afanye hima kumpongeza Uhuru Kenyatta ili kutuondolea AIBU ya tuhuma kwamba alikuwa na upande ktk uchaguzi wa Kenya.
..Pia CDM , CCM,..wana uhuru wa kuchagua vyama rafiki ndani na nje ya nchi na kusaidiana kwa namna mbalimbali.
..CDM kuwaunga mkono Jubilee hakuna tatizo. Kwamba Jubilee ni chama tawala siyo hoja kwasababu ktk uchaguzi wowote kuna uwezekano wa kushinda au kushindwa.
..Katika uchaguzi wa Ghana CDM walimuunga mkono Nana Ado mgombea wa upinzani. Matokeo yalipokuja Nana Ado akatangazwa mshindi.
..Kwa mfano huo wa uchaguzi wa Ghana, utaona kwamba wale wanaosisitiza CDM lazima ishirikiane na vyama vya upinzani tu, hawana hoja.
..Kwenye nchi za wenzetu vyama vya siasa hupokezana madaraka.
JPM asimpongeze uhuru kwa lipi? ....akipongeza msigeuze maneno maana siku hizi mnapinga kila kitu ....alafu badala ya kumsaidia mpinzani mwenzenu mnasaidia chama tawala ....mnategemea wapinzani wa Kenya wawaunge mkono 2020? ....uchaguzi Kenya umeisha ....maisha lazima yaendelee ....lazima uhuru na JPM washirikiane .....
Nimekuuliza Bahima empire ni nini?Na pia ambao wanaona...kama kushindwa kwa...Raila wameshindwa wao
Nyie watu vipi kwani 1997 alifanya nini odinga aliposhindwa!?2007!?2013!?
ThibitishaKwa taarifa yako licha ya urafiki kati ya Magu na Odinga bado Magu hamkubali Odinga awe rais.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa zimekwisha na Uhuru katangazwa Rais tayari hata kama..kuna..madai na udhibitisho wa wizi wa kura kama ambavyo ulikuwapo huko nyumbani mwaka 2015
Urais ni taasisi na ukiwa hapo unasimamia maslahi mapana ya taifa na sio yako ...inawezekana ulitaka Raila kama ulivyotaka Kagame ashinde..na..pengine unaugulia mapesa uliyompelekea kama rafiki yako,lakini kwa kiti ulichokalia hunyimwi kuwa na rafiki lakini kama mkuu wa nchi TUMA PONGEZI KWA UHURU..haina maana yeye haelewi...una...mapenzi binafsi
Rais wa Tanzania anapochelewa kutuma pongezi inavuruga..diplomasia na urafiki wetu na undugu na Kenya .
Iweje ichukue chini ya dakika 20' baada ya matokeo kutoka kumpongeza Kagame...lakini asubuhi inafika hatujatuma salamu Kenya
Tanzania sio Mali..binafsi ya mtu .
Tunajua kuna madai ya utatu wa kuunda Bahima Empire...ndio inafanya baadhi ya viongozi kufanya unafiki na hawakutaka Uhuru ashinde.
Kwa ndugu zetu Wakenya na kwa Uhuru tunaomba msichukulie kuchelewa kwa salam..rasmi za nchi kuwa hatuwatakii mema ,tunawapenda sana ...na tunaomba Uhuru asichukie watanzania kwa ajili ya mtu mmoja
Chadema imelazimishwa na Lowassa kumuunga mkono Kenyatta, huyu Mtu ni rafiki wa Lowassa, sio wa Chadema. Kumbuka alieanza kuweka misimamo wake wazi wa kumkubali Kenyatta ni mzee Lowassa, watu wakaanza kuhoji inakuwaje anakuwa na msimamo kinyume na chadema. Ndio baadae sana Mbowe akajitokeza na kusema sasa wamebadili msimamo wao kama chama wanasapoti Jubelee.
Kwa mtu makini ataelewa hiyo ni amri kuwa chama kiachane na Raila kihamie kwa Kenyatta.
Nani mwingine amekuwa busy na uchaguzi wa Kenya ndani ya Chadema zaidi ya mzee Lowassa?
Tusubiri muda tu mzee atakalia kiti cha uenyekiti mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee! Ama uwe Mjomba mwenyewe au Mchawi, Mwanga, Mnafiki, na majina yote nimeyaandika kimoyo moyo.....Kwa taarifa yako licha ya urafiki kati ya Magu na Odinga bado Magu hamkubali Odinga awe rais.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu unaejua lugha ya maandishi tufafanulie alichomaanishaUhuru anawajua wanafiki.
Kamjibu so Simple....kwa wanaojua kusoma...lugha ya maandishi
That is called Snug
So what do they gain or it's merely a cathartic feeling??Odinga vowed his support to JPM against normal opposition stand thus prompted the reaction by opposition particularly Chadema to support Uhuru
Ushindi wa Uhuru ni psychological relief kwa chadema ila ukweli unabaki pale pale, hapa nyumbani JPM anaendeleza "bakora" kwa upinzano mpaka pawe pekundu. Anaendeleza kwa kuhakikisha watanzania tunazidi kumuumga mkono!Mazezeta ya Ccm, mnajulikana na uko mko wengi sana.