Rais Magufuli Mpongeze Uhuru HARAKA

Rais Magufuli Mpongeze Uhuru HARAKA

Status
Not open for further replies.
Siasa zimekwisha na Uhuru katangazwa Rais tayari hata kama..kuna..madai na udhibitisho wa wizi wa kura kama ambavyo ulikuwapo huko nyumbani mwaka 2015

Urais ni taasisi na ukiwa hapo unasimamia maslahi mapana ya taifa na sio yako ...inawezekana ulitaka Raila kama ulivyotaka Kagame ashinde..na..pengine unaugulia mapesa uliyompelekea kama rafiki yako,lakini kwa kiti ulichokalia hunyimwi kuwa na rafiki lakini kama mkuu wa nchi TUMA PONGEZI KWA UHURU..haina maana yeye haelewi...una...mapenzi binafsi
Rais wa Tanzania anapochelewa kutuma pongezi inavuruga..diplomasia na urafiki wetu na undugu na Kenya .

Iweje ichukue chini ya dakika 20' baada ya matokeo kutoka kumpongeza Kagame...lakini asubuhi inafika hatujatuma salamu Kenya
Tanzania sio Mali..binafsi ya mtu .

Tunajua kuna madai ya utatu wa kuunda Bahima Empire...ndio inafanya baadhi ya viongozi kufanya unafiki na hawakutaka Uhuru ashinde.

Kwa ndugu zetu Wakenya na kwa Uhuru tunaomba msichukulie kuchelewa kwa salam..rasmi za nchi kuwa hatuwatakii mema ,tunawapenda sana ...na tunaomba Uhuru asichukie watanzania kwa ajili ya mtu mmoja
Aisee umeshapata sindano ya kichaa cha mbwa ndugu?
 
Ushindi wa Uhuru ni psychological relief kwa chadema ila ukweli unabaki pale pale, hapa nyumbani JPM anaendeleza "bakora" kwa upinzano mpaka pawe pekundu. Anaendeleza kwa kuhakikisha watanzania tunazidi kumuumga mkono!

Najua anaumia sana kwa kuhonga pesa zake.
 
Nani?? Lowassa??!!

Mzee wa Chato kamhonga uyu
1b23cea24aaaf554832176506c460498.jpg
 
Inaitwa Ngumu kumesa.Hapo mtu amefura mpaka mwisho besti kupigwa za uso...on behalf of myself
 
Sisi tunawaombea vita itokee tuuu kama Odinga ajashinda
 
Hatari sana, mbona Ngosha anakiogopa hivyo? Kama kinakufa kwanini Ngosha amezui vyama vya siasa kupiga siasa?
Hajazuia, kila mtu(mbunge) akitaka kupiga siasa aende kwenye jimbo lake na akodishe media zote zije, akiongea Hai huku dar pia tutamsikia vizuri tu!!
Sio unajenga nyumba alafu kitoto kimoja kinachomoa fito, baba lazima uwe mkali hapo!
 
Siasa zimekwisha na Uhuru katangazwa Rais tayari hata kama..kuna..madai na udhibitisho wa wizi wa kura kama ambavyo ulikuwapo huko nyumbani mwaka 2015

Urais ni taasisi na ukiwa hapo unasimamia maslahi mapana ya taifa na sio yako ...inawezekana ulitaka Raila kama ulivyotaka Kagame ashinde..na..pengine unaugulia mapesa uliyompelekea kama rafiki yako,lakini kwa kiti ulichokalia hunyimwi kuwa na rafiki lakini kama mkuu wa nchi TUMA PONGEZI KWA UHURU..haina maana yeye haelewi...una...mapenzi binafsi
Rais wa Tanzania anapochelewa kutuma pongezi inavuruga..diplomasia na urafiki wetu na undugu na Kenya .

Iweje ichukue chini ya dakika 20' baada ya matokeo kutoka kumpongeza Kagame...lakini asubuhi inafika hatujatuma salamu Kenya
Tanzania sio Mali..binafsi ya mtu .

Tunajua kuna madai ya utatu wa kuunda Bahima Empire...ndio inafanya baadhi ya viongozi kufanya unafiki na hawakutaka Uhuru ashinde.

Kwa ndugu zetu Wakenya na kwa Uhuru tunaomba msichukulie kuchelewa kwa salam..rasmi za nchi kuwa hatuwatakii mema ,tunawapenda sana ...na tunaomba Uhuru asichukie watanzania kwa ajili ya mtu mmoja
Wewe vipi, umetuma !?
 
JPM asimpongeze uhuru kwa lipi? ....akipongeza msigeuze maneno maana siku hizi mnapinga kila kitu ....alafu badala ya kumsaidia mpinzani mwenzenu mnasaidia chama tawala ....mnategemea wapinzani wa Kenya wawaunge mkono 2020? ....uchaguzi Kenya umeisha ....maisha lazima yaendelee ....lazima uhuru na JPM washirikiane .....
Ina maana chama cha upinzani hawawezi kuwa na urafiki na chama tawala? Unamaanisha kama itatokea chama cha upinzani rafiki wa chama cha upinzani Tanzania ikija kupata uongozi urafiki unaisha kwasababu kimekuwa chama tawala?. Huu ni ujinga wa kiwango kikubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesikia Kagame na Museveni tayari weshatuma salaam za pongezi kwa Rais Uhuru Kenyatta.

Vipi kwa upande wa President wetu, mbona ameshikwa na "kigugumizi" kutuma salaàm kwa President mwenzake Uhuru Kenyatta?

Akubali tu kuwa washindanapo wawili ni lazima pawepo mshindi na mshindwa......

Watu tukisema kuwa Tanzania kwa mara ya kwanza mwaka 2015 mlichagua Rais ambaye siye mnasema wachochezi!!!
Huyu JPM anatakiwa kuwa ICU chini ya uangalizi maalumu wa madaktari wanao deal na PSYCHIATRIST cases!!!
 
Siasa zimekwisha na Uhuru katangazwa Rais tayari hata kama..kuna..madai na udhibitisho wa wizi wa kura kama ambavyo ulikuwapo huko nyumbani mwaka 2015

Urais ni taasisi na ukiwa hapo unasimamia maslahi mapana ya taifa na sio yako ...inawezekana ulitaka Raila kama ulivyotaka Kagame ashinde..na..pengine unaugulia mapesa uliyompelekea kama rafiki yako,lakini kwa kiti ulichokalia hunyimwi kuwa na rafiki lakini kama mkuu wa nchi TUMA PONGEZI KWA UHURU..haina maana yeye haelewi...una...mapenzi binafsi
Rais wa Tanzania anapochelewa kutuma pongezi inavuruga..diplomasia na urafiki wetu na undugu na Kenya .

Iweje ichukue chini ya dakika 20' baada ya matokeo kutoka kumpongeza Kagame...lakini asubuhi inafika hatujatuma salamu Kenya
Tanzania sio Mali..binafsi ya mtu .

Tunajua kuna madai ya utatu wa kuunda Bahima Empire...ndio inafanya baadhi ya viongozi kufanya unafiki na hawakutaka Uhuru ashinde.

Kwa ndugu zetu Wakenya na kwa Uhuru tunaomba msichukulie kuchelewa kwa salam..rasmi za nchi kuwa hatuwatakii mema ,tunawapenda sana ...na tunaomba Uhuru asichukie watanzania kwa ajili ya mtu mmoja
Tayari.
1502556619433.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom