Umeyakalili!?! Duh...au una maana umeyakaririHayo umeyakalili
Umeyakalili!?! Duh...au una maana umeyakaririHayo umeyakalili
U made my day mkuu😂😂😂😂😂😂Zuchu aliitwa Nani?.... Ilinipita hii.😁😁😁😁 Tumepatikana watz😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Haha hata Zuchu aliitwa Chuchu,mzee aliyeleta jogoo alimpa mama yake,mama samia anampa motisha sababu ni mweupe,aliuliza Jokate mbona haolewi na ni mzuri.Mkuu wetu bila mada ihusuyo kwichi kwichi bado haijawa hotuba.
Unaweza kuta yupo kule kwenye uzi pendwa wa kula kimasihara.
Mungu ibariki Tanzania Yetu.
Ulitaka kusemaje?Chip politik, Watanzania wengi wanateseka hospitali za umma, madawa,vifaa tiba bado mtihani sana, wengi wanapoteza maisha. Natamani aibukie huko pia.