Rais Magufuli: Mkoa wa Njombe hasa mji wa Makambako ndio mji wenye nyumba na Makazi bora Tanzania

Unawateteaga wakenya Sana na kuiponda Tz kama akina kamora na mwasat nikafikiri mkenya

Sent using Jamii Forums mobile app
Nasemaga ukweli ambao wewe na kundi lako wakina uchi boy hampendi kuusikia,wala akiwatetea nawapa credit wanapostahili tabia ya umalaika imezidi huku bongo si ajabu msema kweli ni mpenzi wa Mungu hapendi kuambiwa ukweli,by the way one of my parents is from Kenya
 
Hiyo Kenya yenyew nao si uambie ukweli nao ? Ungekuwa unatetea upande wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anachagua cha kusifia. Bahati mbaya sio kwa ukweli
 
Kwakuwa anafurahisha domo lako kubwa lisilo na akili, bas.
wachaga walikuwa wanajisifia CRDB BANK inamilikiwa na Kimei kumbe uongo Kimei alikuwa amejiriwa kama mkurugenzi mkuu tu . siku alipostaafu wako kimya hawaizungumzii tena CRDB
Hans Macha mchagga, ana stake ya 2% CRDB. Ndiye mweusi pekee mwenye uwekezaji mkubwa pale CRDB..

Wakinga limenii viazi na vitunguu mtabaki kuwa wachuuzi tu
 
Hahahahaa sawa mkuu, sasa sijui mpaka hiyo 2030 mi na we tutaonana wapi
 
Mi ni mjumbe tu, hayo majibu kampe Magufuli..

Hivi kwann Magufuli hawapendi wahaya?
Kwani anapenda wachaga?

Sio magufuli Tu hapendi wahaya.viongozi wote Tangu Nyerere.kuna kitu gani kizuri serikali ilishawahi kufanya Kagera? .

Eti wahaya mkajenge kwenu kwani Tanzania nzima kuna wahaya tu? Kwahiyo wahaya wakajenge stendi na soko ? Na meli ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sasa haya maswali mkamuulize Magu.. Afterall mnalalama hampendwi tangia enzi za Nyerere lakini CCM uhayani ni damu damu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…