Rais Magufuli: Mkoa wa Njombe hasa mji wa Makambako ndio mji wenye nyumba na Makazi bora Tanzania


GUSSIE

GUSSIE

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Messages
2,339
Points
2,000
GUSSIE

GUSSIE

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2014
2,339 2,000
Leo tarehe 11 April 2019,Akiwa mji wa Makambako mheshimiwa Rais amekiri wazi kuwa hajawahi ona mji Tanzania uliopangwa na kuwa na nyumba bora za Makazi kama Mkoa wa Njombe hasa mji wa Makambako

Ameomba mawaziri wakawaelimisha maeneo wanayotoka sehemu ya kujifunza nyumba bora ni Njombe

Yeye binafsi amekiri mkoa wake na mikoa mingi Tanzania hawaufikii mji wa Makambako

Ameshauri watu wakajifunze mkoa wa Njombe hasa mji wa Makambako

Hongereni Makambako
 
D

DASM

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Messages
822
Points
1,000
D

DASM

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2017
822 1,000
Kati yako na yeye nani mzushi na muongo?

Taja hapa kampuni yeyote kubwa, yenye brand kubwa inayotambulika Tanzania inayomilikiwa na Mkinga..

Nakisubiri uitaje
Kufahamika sio issue Sana . Wapo watu wakinga na watu wa nyanda za juu kusini wasiofahamika Wana pesa nyingi. Wakinga wanamiliki mpaka small industries China . Unavifahamu vifaa vya electronic Kwa nembo ya kodtec. Yule ni mkinga vifaa vinatengenezwa China vinasambazwa nchi mbalimbali. Kampuni ni nyingi za wakinga ukitaka nkutajie Hotels, gas and petrol , transportation. Tupo gateway ya Malawi , Congo na Zambia. Watu wanakampuni za usafirishaji Acha kabisa. Mabasi na semi trella

Sent using Jamii Forums mobile app
 
D

DASM

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Messages
822
Points
1,000
D

DASM

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2017
822 1,000
Shirima ana networth ya shilling ngapi. Unaweza ukawa na hisa zako tatu ndio anamilik hisa ngapi za precision Airways.
Wewe una matatizo, Kwenye Bank kuna kitu kinaitwa Capital Concentration
Bank mtaji hauwezi kumilikiwa na mtu mmoja

Khaa kiongozi unafahamu sheria za Benk kuku wewe sio Tanzania tu mpaka marekani tena huko sheria ni kali zaidi

Huyo shirima ni shareholder kwenye Precision, sema ana hisa kubwa precision
Sent using Jamii Forums mobile app
 
areafiftyone

areafiftyone

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Messages
4,976
Points
2,000
areafiftyone

areafiftyone

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2017
4,976 2,000
Makambako pale kwenye vibanda vya ulanzi na madanguro?

Kwa hiyo Makambako pamejengeka vuzuri kuliko Dodoma na Mwanza?

Acheni utani!
Nakiri tamko hili halijakaa vizuri,Makambako hii hii ninayoijua?Mmh,no.
 
ChoiceVariable

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Messages
2,019
Points
2,000
ChoiceVariable

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined May 23, 2017
2,019 2,000
Kwahiyo kufunga viazi Njombe kuja kuuza Mabibo nayo ni biashara?

Biashara hiyo si hata mpuuzi anafanya hahaha.. Karibuni kuendesha na kumiliki shirika kama Precision Air kama Shirima, kufanya uwekezaji kwenye Mafuta na Gesi kama Swala Energies ya Ernest Massawe, Auditors na Consultation Company kama Ernest & Young, Firm kubwa ya Sheria Nchini Rex Attorney's, A diversified company kama IPP, Moja kati ya kampuni kumi bora za wakandarasi wazawa kama Elerai, Wamiliki wa viwanda karibu asilimia 80 ya vinywaji vikali ikiwemo K-Vant, Hakuna mkoa ambao hakuna basi la mchaga linaenda, hakuna mkoa ambao mfanyabiashara mkubwa ukimwacha muhindi ni mchaga. Nenda pale DSE wanunuaji wakubwa wa hisa ni Wahindi na wachaga, brokers wa hisa kampuni karibia zote ni za wachaga..

Nyie komaeni na kuuza vitunguu, Mbao na hoho. Mtaji ukikuwa unaenda kufunga chupi China unaleta Kariakoo..
Lakini kwa hizo biashara za mazao mumeshapigwa knock out,mnajihusisha na biashara za taaluma kwa vile mliwahi elimu lakini ndo watu wa njombe tunakuja nako,tuko kwenye makampuni ya usafirishaji pia,tukutane 2030 tutaangalia nani wanamiliki uchumi na je Kilimanjaro itakua juu ya njombe in terms of gdp? Nadhani umeona nafasi ya ufaulu wa fm 4 tulipo na tunavyuo kashaa njombe tunakuja kwa kasi sana
 
L

Laki Si Pesa

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2018
Messages
579
Points
1,000
L

Laki Si Pesa

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2018
579 1,000
Hoi kiuchumi wakati kwenye contribution TRA ni ya tatu badala ya Dar na Arusha??
Hivi wajua Moshi imezidi mpaka Mwanza kwa ukusanyaji wa mapato TRA? Sasa unakuwaje hoi na uwe unakusanya zaidi
moshi mkoa uko hoi kiuchumi wananchi wako hoi masikin wa kutupwa
 
L

Laki Si Pesa

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2018
Messages
579
Points
1,000
L

Laki Si Pesa

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2018
579 1,000
Kama huwafahamu kwa majina utawafahamu kwa BRAND..

Unaifahamu Precision Airways, K-Vant™, Akiba Commercial Bank?
Kama huwafahamu kwa majina utawafahamu kwa BRAND..

Unaifahamu Precision Airways, K-Vant™, Akiba Commercial Bank?
toa uongo wako akiba commercial bank ni ya dr. idrisa rashid. kama ni shirika la ndege hata lawrence masha anamiliki fast jet. precision air ndege za kukodi. k vant ya baba nancy ni pombe tu kama gongo unaweza ukatengeneza hata nyumban kwako hakuna cha ajabu hapo
 
L

Laki Si Pesa

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2018
Messages
579
Points
1,000
L

Laki Si Pesa

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2018
579 1,000
Wewe una matatizo, Kwenye Bank kuna kitu kinaitwa Capital Concentration
Bank mtaji hauwezi kumilikiwa na mtu mmoja

Khaa kiongozi unafahamu sheria za Benk kuku wewe sio Tanzania tu mpaka marekani tena huko sheria ni kali zaidi

Huyo shirima ni shareholder kwenye Precision, sema ana hisa kubwa precision
Wewe una matatizo, Kwenye Bank kuna kitu kinaitwa Capital Concentration
Bank mtaji hauwezi kumilikiwa na mtu mmoja

Khaa kiongozi unafahamu sheria za Benk kuku wewe sio Tanzania tu mpaka marekani tena huko sheria ni kali zaidi

Huyo shirima ni shareholder kwenye Precision, sema ana hisa kubwa precision
wachaga walikuwa wanajisifia CRDB BANK inamilikiwa na Kimei kumbe uongo Kimei alikuwa amejiriwa kama mkurugenzi mkuu tu . siku alipostaafu wako kimya hawaizungumzii tena CRDB
 
dudupori

dudupori

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2012
Messages
1,364
Points
2,000
dudupori

dudupori

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2012
1,364 2,000
Tatizo la wachaga meno yao yameoza...badala ya kufight watatue tatizo, wapeleke maji safi home wanapambana kujenga kwa gharama kubwa huko porini kwao...huku meno yanabaki kama wamekula mavi...
hv kwenye vikao vyao vya December huwa ni matambiko tuuu huwa hawongelei hoja kama hzi za maji aisee.... somtyme wanafikr kwa kutumia matako
We kenge unatambua mamlaka ya maji mjini moshi MUWSA ndio inaongoza kwa ubora kwa nchi za Afrika mashariki na kusini mwa Afrika?
 
ChoiceVariable

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Messages
2,019
Points
2,000
ChoiceVariable

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined May 23, 2017
2,019 2,000
Kufahamika sio issue Sana . Wapo watu wakinga na watu wa nyanda za juu kusini wasiofahamika Wana pesa nyingi. Wakinga wanamiliki mpaka small industries China . Unavifahamu vifaa vya electronic Kwa nembo ya kodtec. Yule ni mkinga vifaa vinatengenezwa China vinasambazwa nchi mbalimbali. Kampuni ni nyingi za wakinga ukitaka nkutajie Hotels, gas and petrol , transportation. Tupo gateway ya Malawi , Congo na Zambia. Watu wanakampuni za usafirishaji Acha kabisa. Mabasi na semi trella

Sent using Jamii Forums mobile app
Mponde kichwa huyo fala natamani kufika hizo levo za wakwetu ila nakuja mdogo mdogo ngoja niendelee kujikusanya na hizi anazoziita za kichuuzi but ajue watoto wao watakuja kutembeza bahasha kwetu,Viva wana njombe..Kenge huyo anajua kampuni kubwa first class ya construction inaitwa Afrika Mashariki commercial company iko Dar anamiliki baba yake? We are scattered wherever there is opportunity
 
D

DASM

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Messages
822
Points
1,000
D

DASM

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2017
822 1,000
Mponde kichwa huyo fala natamani kufika hizo levo za wakwetu ila nakuja mdogo mdogo ngoja niendelee kujikusanya na hizi anazoziita za kichuuzi but ajue watoto wao watakuja kutembeza bahasha kwetu,Viva wana njombe..Kenge huyo anajua kampuni kubwa first class inaitwa Afrika Mashariki commercial company iko Dar anamiliki baba yake? We are scattered wherever there is opportunity
Wachaga wameishia kuwazarau watu wa mikoa mingine wanajua wenyewe pekee Yao wapo juu. Mangi wengi kwenye baadhi ya miji ya tz sio miji Wana maduka Yao ya rejareja. Basi wakajiona ndio matajiri Tz nzima ni wao. Wanajiita Kwa mangi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Slowly

Slowly

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Messages
1,701
Points
2,000
Slowly

Slowly

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2016
1,701 2,000
We kenge unatambua mamlaka ya maji mjini moshi MUWSA ndio inaongoza kwa ubora kwa nchi za Afrika mashariki na kusini mwa Afrika?
Ubora gan maji yanaozesha meno watu..tumia hata akli basi..maana hujui hata kuargue pimbi kweli ww
 
instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Messages
3,541
Points
2,000
Age
23
instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2016
3,541 2,000
kwenda zako nyau we hakuna mji wa hovyo kama kilimanjaro nenda njoro, pasua kumejaa vijumba vya udongo, vibaka na wauza gongo, nenda kiborloni msaranga kumejaa vijumba vya udongo na wapika gongo, nenda same, hedaru vijumba vya udongo vimejaa huko, nenda uru nyumba za nyasi za kutosha. nenda boma ng'ombe vijumba vya udongo vimejaa. wadanganye wasioijua moshi
Huyo mtu utabishana nae mpaka basi na uchaga mwingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Messages
3,541
Points
2,000
Age
23
instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2016
3,541 2,000
Afu ni vyema taarifa ikawa sahihi,rais alilinganisha njombe aliyoikuta kipindi cha kampeni na hali aliyoiona sasa akasema wamepiga hatua kubwa kwa mda mfupi hasa tangu uwe mkoa na ni kweli na hakua na nia ya kulinganisha na huko mnakobishania kwa ubinafsi wengi
Lakini ni ukweli kwamba wakazi wa njombe ni wachapa kazi na wapambanaji wa ukweli,saizi wameanza kujenga kwao na wanawekeza sana kwao.Miundombinu ndio inafunguka sasa mfano barabara za lami mfano njombe ludewa hadi nyasa/mbamba bay,njombe Ifakara mikumi,njombe makete Mbeya na songea njombe makambako,,zikikamilika hizo zita unlock fursa lukuki zilizojaa kwenye huo mkoa almaarufu bustani ya Mungu
Tuombe uzima by 2030 tuje tulinganishe kipato cha mikoa kongwe hasa Kilimanjaro na Njombe tutapata jibu
Hujawahi kunijibu.Hivi wew ni mkenya au mbongo? Sikuelewi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,285,036
Members 494,423
Posts 30,847,904
Top