Rais Magufuli: Mkoa wa Njombe hasa mji wa Makambako ndio mji wenye nyumba na Makazi bora Tanzania

Wewe endelea Tu kuhesabu Mali za wachaga wenzako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Stage walipo wakinga wachaga walishatoka huko miaka 50 iliyopita
eti mkinga kuwa na duka kariakoo ndio u don wakati wachaga walishavuka huko kitambo kwasasa wanamiliki Hadi mandege refer precision air mkinga asijaribu kbs kujilinganisha n'a mchaga kwanza wakinga wamekuja mjin juz watawazdje wachaga waliopiga kitabu enz na enz?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani yeye wahaya wanamhusu nini ? Si aliwatukanaga na Tetemeko lao.Magufuli hana nafasi yoyote uhayani na wala Bk haimuhusu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha maneno nenda mkajenge kwenu hivi hamtuonag décemba sis wachaga tunavyoenda home Moshi kwenye mahekalu yetu?
2013897293.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachaga wameishia kuwazarau watu wa mikoa mingine wanajua wenyewe pekee Yao wapo juu. Mangi wengi kwenye baadhi ya miji ya tz sio miji Wana maduka Yao ya rejareja. Basi wakajiona ndio matajiri Tz nzima ni wao. Wanajiita Kwa mangi

Sent using Jamii Forums mobile app
Wachaga kwenye biashara ya uchuuz tulishatoka kwasasa tunamiliki kampuni za ndege refer precision air
Mabilionea wazawa wa tz wengi ni wachaga Hakuna mlima kiazi hata mmoja
Wachaga no level nyingine nyie wakinga mlioishia MEMKWA mtawzaje kuwazd watu waliosoma? Na kupiga biashara tangu kitambo?
Uchagani mtu kumilik chopa ni kawaida kbs
Wakinga wameishia kumiliki hiace ndio wanajiita matajiri? Hahaha
1713150056.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mponde kichwa huyo fala natamani kufika hizo levo za wakwetu ila nakuja mdogo mdogo ngoja niendelee kujikusanya na hizi anazoziita za kichuuzi but ajue watoto wao watakuja kutembeza bahasha kwetu,Viva wana njombe..Kenge huyo anajua kampuni kubwa first class ya construction inaitwa Afrika Mashariki commercial company iko Dar anamiliki baba yake? We are scattered wherever there is opportunity
Mabilionea wazawa tz wengi ni wachaga wakinga mmeishia kuuza mbao mnajiona mna héla? Kwenu makete kumechakaa haswa mna héla Gan maskin nyie?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wachaga walikuwa wanajisifia CRDB BANK inamilikiwa na Kimei kumbe uongo Kimei alikuwa amejiriwa kama mkurugenzi mkuu tu . siku alipostaafu wako kimya hawaizungumzii tena CRDB
CRDB ilianzia uchagani
Hata sasa hivi kurugenz nyingi crdb zipo chini ya wachaga,mikoani branches kauliza mabosi Ni kina Nan
Nyie limeni viazi sio level yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukitoa mengi, wachaga wengine waliobaki hohe hahe masikini wa kutupwa
Hahaha utatokwa povu
Kwa mujibu wa nbs, Kilimanjaro ndio mkoa wa 2 tz kuwa na makaz Bora vijijin ,gdp kubwa kwa wananchi wake na miundombn toshelezi,hivi njoo December utembelee mahekalu yetu vijin pimbi wew unadhan kwetu kumechakaa Kama Huko porini kwenu makete?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaomba kura kijanja.

Namwambia aende tu paleeee! Machame bana wacha, hawa wachaga wacha waue waume zao tu'

Lakini kwao wamefanya mambo. Yaani wana maanisha hasa pale wakisema naenda Nyumani kwa x= mas
 
Wachaga kwenye biashara ya uchuuz tulishatoka kwasasa tunamiliki kampuni za ndege refer precision air
Mabilionea wazawa wa tz wengi ni wachaga Hakuna mlima kiazi hata mmoja
Wachaga no level nyingine nyie wakinga mlioishia MEMKWA mtawzaje kuwazd watu waliosoma? Na kupiga biashara tangu kitambo?
Uchagani mtu kumilik chopa ni kawaida kbs
Wakinga wameishia kumiliki hiace ndio wanajiita matajiri? Hahaha View attachment 1073454

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye Biashara ya uchuuzi hata Sisi tulikwaisha ondoka siku nyingi. Biashara ya ulimaji na uchuuzi ilikuwa miaka ya 1990s. Kwa taarifa yako saiz tupo kwenye business za Import and export vitu kutoka middle East , China, Japan n.k. kampuni za usafirishaji mabus na malori, Hotel za kimataifa, construction and engineering works, apartment, oil and gas station. Mpaka sasa Tanzania ina billionaire kama sio mmoja au wawili Tu nae ni Mohamed dewji na Rostam Aziz. Kwa matajiri weusi ambao wapo vizuri na gazeti la Forbes wamo ni Mengi na Ali Mafuruki. Matajiri wote waliobaki wako chini hapa . Kwa wachaga ni Mengi pekee. Hawa Wengine mfano mnaowataja kwenye hizo miliki za ndege Wana hisa zao 2 au 1 ambayo utashangaa anamilik shilling billion moja au tuwili ambazo ni kawaida Sana Tena mno. Ata Lawrence Masha anamiliki hisa kibao kampuni ya fastjet Tena kaleta ndege mpya. Wachagga wenyewe kabila yenye watu million tatu mnashinda na makabila madogomadogo. Saiz mkinga kaikamata kariakoo ambayo ndio hub of business in East and Central African. Pia mijengo mingi ni ya wakinga pale kariakoo. Kama ni industry sectors Tz bado tupo nyuma Sana navyo asilimia kubwa vinamilikiwa na Wahindi. Wachaga ni Mengi tuu ndio yupo kwenye industry sectors

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom