Rais Magufuli: Mkoa wa Njombe hasa mji wa Makambako ndio mji wenye nyumba na Makazi bora Tanzania

Kumbe wewe hujawahi kufika uhayani. Nenda kaangalie hayo mabungalow yalivyotulia migombani tena vijijini kabisa halafu urudi hapa.
Nan kakwambia sijui uhayan?
Makaz ya kisasa uhayan n 56% tu wakati uchagani ni 85%
Muleba, misenyi,bk niulize popote nakuambia naijua in and out
Ndio maana kagera ni.mkoa wa 3 kwa umaskini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mengi hafahamiki? Précision air hafahamiki? Davis mosha hafahamiki ? Panone hafahamiki? Poor you
Wakinga Ni wachuuz sio matajiri
Mitaji ya wakinga woote dunian haitikii hata robo ya mtaji wa MENGI

Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe tapeli davis mosha mbeba mabegi ya rizwan kikwete ni tajiri? hahaha unachekesha hata panone ni ya rizwan kikweje kama hujui
 
Kumbe wewe hujawahi kufika uhayani. Nenda kaangalie hayo mabungalow yalivyotulia migombani tena vijijini kabisa halafu urudi hapa.
Huyo mtu ni mbishi sana. Anajua uhayani palivyo huko Bukoba vijijini,muleba na misenyi huko sijui karagwe na migheto yake Ila anavunga Tu na lijedwali lake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la barabarani hiyo ni Kazi ya serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uchagani barabara kama hiyo tunajichanga tunaiboresha hata kwa kiwango cha moramu
Hao wakinga wanaosema wana héla kwann wasijichange? Maskin wahedi
Angalia uchagani hadi vichochoroni kuna lami
2079623082.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kumbe tapeli davis mosha mbeba mabegi ya rizwan kikwete ni tajiri? hahaha unachekesha hata panone ni ya rizwan kikweje kama hujui
Hahaha n'a bado
Mmiliki wa panone ni Patrick ngiloi ulomi Pia anamiliki kule moshi team ya mpira inaitwa panone pole endelea kujifariji nyie wakinga biashara yenu Ni kupasua mbao tu sio level yetu
David mosha ni mmiliki wa kobil kampuni kubwa Afrique

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maelezo yako hakuna barabaran za vumbi mkoa mzima wa Moshi. Lazima zipo tuu. Kama ni barabara za Lami picha zipo nyingi tuu. Kumbuka hiyo barabara ulioipiga picha iko inamaliziwa kupigwa Rami kutoka Makete to Njombe ni kipindi kidogo tuu. Kumbuka mkoa wa Njombe ni mkubwa kuzidi wa Kilimanjaro
Uchagani barabara kama hiyo tunajichanga tunaiboresha hata kwa kiwango cha moramu
Hao wakinga wanaosema wana héla kwann wasijichange? Maskin wahedi
Angalia uchagani hadi vichochoroni kuna lamiView attachment 1073477

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha n'a bado
Mmiliki wa panone ni Patrick ngiloi ulomi Pia anamiliki kule moshi team ya mpira inaitwa panone pole endelea kujifariji nyie wakinga biashara yenu Ni kupasua mbao tu sio level yetu
David mosha ni mmiliki wa kobil kampuni kubwa Afrique

Sent using Jamii Forums mobile app
kobil ni ya wakenya panone ndio upuuz gani huo huku iringa hata hatujui panone ni taka taka gani. mosha ni tapel tu hata diamond anamzidi kwa pesa
 
Kwa maelezo yako hakuna barabaran za vumbi mkoa mzima wa Moshi. Lazima zipo tuu. Kama ni barabara za Lami picha zipo nyingi tuu. Kumbuka hiyo barabara ulioipiga picha iko inamaliziwa kupigwa Rami kutoka Makete to Njombe ni kipindi kidogo tuu. Kumbuka mkoa wa Njombe ni mkubwa kuzidi wa Kilimanjaro

Sent using Jamii Forums mobile app
Barabara za vumbi uchagani ni zenye hadhi kama hizi
Tunajichanga kuzikarabati
Hakuna barabara mbovu kama hiyo yenuView attachment 1073488
356070846.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maelezo yako hakuna barabaran za vumbi mkoa mzima wa Moshi. Lazima zipo tuu. Kama ni barabara za Lami picha zipo nyingi tuu. Kumbuka hiyo barabara ulioipiga picha iko inamaliziwa kupigwa Rami kutoka Makete to Njombe ni kipindi kidogo tuu. Kumbuka mkoa wa Njombe ni mkubwa kuzidi wa Kilimanjaro

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakinga hawapendi kwao wakija pale mbeya wakijenga kajumba wanakaa hapo hapo Hadi wakifa wanaogopa kuzkwa kwao kisa kubaya pale mbeya nilishangaa maiti inatoka ukinga inazkw mbeya aibuu ushirikina umejaa ukinga juz juz mliloga waalimu mnawalaza nje hadi DC akaingilia kati nyie level yenu ni wafipa aisee

Panone Ana malori ya mafuta 700 nchi nzma Hadi Zambia na DRC asijulikane? Kule tunduma Ana ma yard na Shel kibao Zambia,DRC vile vile hahaha ficha upuuz wako boss

Sent using Jamii Forums mobile app
tajiri wa malori anaejulikana huku tunduma ni GSM.. unajua mbunge wa makambako jah people anae malori zaidi ya hayo ya panone huku ndio tunaemjua huyo panone anajulikana huko migomban huku hatumjui
 
Wakinga hawapendi kwao wakija pale mbeya wakijenga kajumba wanakaa hapo hapo Hadi wakifa wanaogopa kuzkwa kwao kisa kubaya pale mbeya nilishangaa maiti inatoka ukinga inazkw mbeya aibuu ushirikina umejaa ukinga juz juz mliloga waalimu mnawalaza nje hadi DC akaingilia kati nyie level yenu ni wafipa aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
wachaga ndio wanaongoza kwa utajiri wa uchawi
 
Back
Top Bottom