Rais Magufuli: Mkoa wa Njombe hasa mji wa Makambako ndio mji wenye nyumba na Makazi bora Tanzania

Unawateteaga wakenya Sana na kuiponda Tz kama akina kamora na mwasat nikafikiri mkenya

Sent using Jamii Forums mobile app
Nasemaga ukweli ambao wewe na kundi lako wakina uchi boy hampendi kuusikia,wala akiwatetea nawapa credit wanapostahili tabia ya umalaika imezidi huku bongo si ajabu msema kweli ni mpenzi wa Mungu hapendi kuambiwa ukweli,by the way one of my parents is from Kenya
 
Nasemaga ukweli ambao wewe na kundi lako wakina uchi boy hampendi kuusikia,wala akiwatetea nawapa credit wanapostahili tabia ya umalaika imezidi huku bongo si ajabu msema kweli ni mpenzi wa Mungu hapendi kuambiwa ukweli,by the way one of my parents is from Kenya
Hiyo Kenya yenyew nao si uambie ukweli nao ? Ungekuwa unatetea upande wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo tarehe 11 April 2019,Akiwa mji wa Makambako mheshimiwa Rais amekiri wazi kuwa hajawahi ona mji Tanzania uliopangwa na kuwa na nyumba bora za Makazi kama Mkoa wa Njombe hasa mji wa Makambako

Ameomba mawaziri wakawaelimisha maeneo wanayotoka sehemu ya kujifunza nyumba bora ni Njombe

Yeye binafsi amekiri mkoa wake na mikoa mingi Tanzania hawaufikii mji wa Makambako

Ameshauri watu wakajifunze mkoa wa Njombe hasa mji wa Makambako

Hongereni Makambako
Anachagua cha kusifia. Bahati mbaya sio kwa ukweli
 
Kufahamika sio issue Sana . Wapo watu wakinga na watu wa nyanda za juu kusini wasiofahamika Wana pesa nyingi. Wakinga wanamiliki mpaka small industries China . Unavifahamu vifaa vya electronic Kwa nembo ya kodtec. Yule ni mkinga vifaa vinatengenezwa China vinasambazwa nchi mbalimbali. Kampuni ni nyingi za wakinga ukitaka nkutajie Hotels, gas and petrol , transportation. Tupo gateway ya Malawi , Congo na Zambia. Watu wanakampuni za usafirishaji Acha kabisa. Mabasi na semi trella

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakuwa anafurahisha domo lako kubwa lisilo na akili, bas.
wachaga walikuwa wanajisifia CRDB BANK inamilikiwa na Kimei kumbe uongo Kimei alikuwa amejiriwa kama mkurugenzi mkuu tu . siku alipostaafu wako kimya hawaizungumzii tena CRDB
Hans Macha mchagga, ana stake ya 2% CRDB. Ndiye mweusi pekee mwenye uwekezaji mkubwa pale CRDB..

Wakinga limenii viazi na vitunguu mtabaki kuwa wachuuzi tu
 
Lakini kwa hizo biashara za mazao mumeshapigwa knock out,mnajihusisha na biashara za taaluma kwa vile mliwahi elimu lakini ndo watu wa njombe tunakuja nako,tuko kwenye makampuni ya usafirishaji pia,tukutane 2030 tutaangalia nani wanamiliki uchumi na je Kilimanjaro itakua juu ya njombe in terms of gdp? Nadhani umeona nafasi ya ufaulu wa fm 4 tulipo na tunavyuo kashaa njombe tunakuja kwa kasi sana
Hahahahaa sawa mkuu, sasa sijui mpaka hiyo 2030 mi na we tutaonana wapi
 
Mi ni mjumbe tu, hayo majibu kampe Magufuli..

Hivi kwann Magufuli hawapendi wahaya?
Kwani anapenda wachaga?

Sio magufuli Tu hapendi wahaya.viongozi wote Tangu Nyerere.kuna kitu gani kizuri serikali ilishawahi kufanya Kagera? .

Eti wahaya mkajenge kwenu kwani Tanzania nzima kuna wahaya tu? Kwahiyo wahaya wakajenge stendi na soko ? Na meli ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani anapenda wachaga?

Sio magufuli Tu hapendi wahaya.viongozi wote Tangu Nyerere.kuna kitu gani kizuri serikali ilishawahi kufanya Kagera? .

Eti wahaya mkajenge kwenu kwani Tanzania nzima kuna wahaya tu? Kwahiyo wahaya wakajenge stendi na soko ? Na meli ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sasa haya maswali mkamuulize Magu.. Afterall mnalalama hampendwi tangia enzi za Nyerere lakini CCM uhayani ni damu damu
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom