Rais Magufuli: Mkoa wa Njombe hasa mji wa Makambako ndio mji wenye nyumba na Makazi bora Tanzania

GUSSIE

GUSSIE

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Messages
2,339
Points
2,000
GUSSIE

GUSSIE

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2014
2,339 2,000
Leo tarehe 11 April 2019,Akiwa mji wa Makambako mheshimiwa Rais amekiri wazi kuwa hajawahi ona mji Tanzania uliopangwa na kuwa na nyumba bora za Makazi kama Mkoa wa Njombe hasa mji wa Makambako

Ameomba mawaziri wakawaelimisha maeneo wanayotoka sehemu ya kujifunza nyumba bora ni Njombe

Yeye binafsi amekiri mkoa wake na mikoa mingi Tanzania hawaufikii mji wa Makambako

Ameshauri watu wakajifunze mkoa wa Njombe hasa mji wa Makambako

Hongereni Makambako
 
Tulimumu

Tulimumu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2013
Messages
11,013
Points
2,000
Tulimumu

Tulimumu

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2013
11,013 2,000
Makambako pale kwenye vibanda vya ulanzi na madanguro?

Kwa hiyo Makambako pamejengeka vuzuri kuliko Dodoma na Mwanza?

Acheni utani!
Ulishaingia kwenye vibanda vya ulanzi na hayo madanguro mkuu? 🤣🤣🤣🤣
 
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
15,753
Points
2,000
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
15,753 2,000
Leo tarehe 11 April 2019,Akiwa mji wa Makambako mheshimiwa Rais amekiri wazi kuwa hajawahi ona mji Tanzania uliopangwa na kuwa na nyumba bora za Makazi kama Mkoa wa Njombe hasa mji wa Makambako

Ameomba mawaziri wakawaelimisha maeneo wanayotoka sehemu ya kujifunza nyumba bora ni Njombe

Yeye binafsi amekiri mkoa wake na mikoa mingi Tanzania hawaufikii mji wa Makambako

Ameshauri watu wakajifunze mkoa wa Njombe hasa mji wa Makambako

Hongereni Makambako
Makambako Tunduma Kahama ni miji ya kibiashara hapo kuna wahamiaji tuu hakuna wenyeji gesti ni kama zote uchangudoa ni kama wote pesa ipo kama zote
 
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Messages
17,516
Points
2,000
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2013
17,516 2,000
Leo tarehe 11 April 2019,Akiwa mji wa Makambako mheshimiwa Rais amekiri wazi kuwa hajawahi ona mji Tanzania uliopangwa na kuwa na nyumba bora za Makazi kama Mkoa wa Njombe hasa mji wa Makambako

Ameomba mawaziri wakawaelimisha maeneo wanayotoka sehemu ya kujifunza nyumba bora ni Njombe

Yeye binafsi amekiri mkoa wake na mikoa mingi Tanzania hawaufikii mji wa Makambako

Ameshauri watu wakajifunze mkoa wa Njombe hasa mji wa Makambako

Hongereni Makambako
Jiwe kila anapopita anapasifia , kwani mnadhni yeye ni mjinga apakosoe wakati anahitaji kura?

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
GUSSIE

GUSSIE

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Messages
2,339
Points
2,000
GUSSIE

GUSSIE

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2014
2,339 2,000
Kwahiyo kufunga viazi Njombe kuja kuuza Mabibo nayo ni biashara?

Biashara hiyo si hata mpuuzi anafanya hahaha.. Karibuni kuendesha na kumiliki shirika kama Precision Air kama Shirima, kufanya uwekezaji kwenye Mafuta na Gesi kama Swala Energies ya Ernest Massawe, Auditors na Consultation Company kama Ernest & Young, Firm kubwa ya Sheria Nchini Rex Attorney's, A diversified company kama IPP, Moja kati ya kampuni kumi bora za wakandarasi wazawa kama Elerai, Wamiliki wa viwanda karibu asilimia 80 ya vinywaji vikali ikiwemo K-Vant, Hakuna mkoa ambao hakuna basi la mchaga linaenda, hakuna mkoa ambao mfanyabiashara mkubwa ukimwacha muhindi ni mchaga. Nenda pale DSE wanunuaji wakubwa wa hisa ni Wahindi na wachaga, brokers wa hisa kampuni karibia zote ni za wachaga..

Nyie komaeni na kuuza vitunguu, Mbao na hoho. Mtaji ukikuwa unaenda kufunga chupi China unaleta Kariakoo..
Umepanic, Una stress za maisha
Hujaelewa uzi una maanisha nini?

Unaweza ukawa na ghorofa nzuri mwananyamala lakini, mwananyamala ni Makazi ya hovyo yaani slums

Mkuu unaelewa Rais aliongea kitu gani?

Tunaposema watanzania maskini wewe unahesabu mbona mengi, bakhresa matajiri, Una akili wewe?
 
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Messages
17,516
Points
2,000
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2013
17,516 2,000
kwenda zako nyau we hakuna mji wa hovyo kama kilimanjaro nenda njoro, pasua kumejaa vijumba vya udongo, vibaka na wauza gongo, nenda kiborloni msaranga kumejaa vijumba vya udongo na wapika gongo, nenda same, hedaru vijumba vya udongo vimejaa huko, nenda uru nyumba za nyasi za kutosha. nenda boma ng'ombe vijumba vya udongo vimejaa. wadanganye wasioijua moshi
Unazungumzia miaka ya ukoloni labda ila siyo Leo mkuu

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Messages
17,516
Points
2,000
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2013
17,516 2,000
Kitu gani cha maana mchaga amechangia kwenye Taifa hili, zaidi ya kujaza matumbo yao basi

Mchaga gani alipigania uhuru
Mchaga gani ana taasisi au foundation

Hatuwezi wakumbuka wachaga na wangoni au wanyakyusa nchi hii

Labda wachaga December
Wangoni labda vita vya majimaji

Wachaga shapeless
We jamaa hopeless sijwahi ona

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
D

DASM

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Messages
822
Points
1,000
D

DASM

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2017
822 1,000
Kwahiyo kufunga viazi Njombe kuja kuuza Mabibo nayo ni biashara?

Biashara hiyo si hata mpuuzi anafanya hahaha.. Karibuni kuendesha na kumiliki shirika kama Precision Air kama Shirima, kufanya uwekezaji kwenye Mafuta na Gesi kama Swala Energies ya Ernest Massawe, Auditors na Consultation Company kama Ernest & Young, Firm kubwa ya Sheria Nchini Rex Attorney's, A diversified company kama IPP, Moja kati ya kampuni kumi bora za wakandarasi wazawa kama Elerai, Wamiliki wa viwanda karibu asilimia 80 ya vinywaji vikali ikiwemo K-Vant, Hakuna mkoa ambao hakuna basi la mchaga linaenda, hakuna mkoa ambao mfanyabiashara mkubwa ukimwacha muhindi ni mchaga. Nenda pale DSE wanunuaji wakubwa wa hisa ni Wahindi na wachaga, brokers wa hisa kampuni karibia zote ni za wachaga..

Nyie komaeni na kuuza vitunguu, Mbao na hoho. Mtaji ukikuwa unaenda kufunga chupi China unaleta Kariakoo..
Mnafiki mkubwa na muwongo kabisa basi gani la mchaga linaenda mkoani Njombe.Hii kauli yako baada ya mhindi anayefuata au majority ya wafanyabiashara wakubwa kila mkoa ni wachagga haina ukweli wowote ule zaidi ni kujijazia misifa ya uwongo. We unaifahamu Tanzania vizuri na je unawafaham matajiri wakubwa Wa kila mkoa. Mimi nmeishi mikoa kadhaa . Ni mfanyabiashara gani mkubwa mkoa wa Mwanza , Njombe, Mbeya, Mara, Ruvuma, Rukwa. Wachagga wapo Ila ni wafanyabiashara wa Kati sio Tena mikoa ya nyanda za juu kusini wachache mno Tena hawapo kwenye list ya matajiri kwenye baadhi ya mikoa. Mwanza kuna wakurya acha kabisa akina Gachuma , gitano , lakairo , Mathayo wa Mara Zakaria. Nyanda za juu kusini hata hao Wahindi ni wachache mno. Tena waliodorminate biashara kubwa ni wazawa kuanzia vituo vya mafuta na Industrial sector. Kuleta viazi soko la mabibo sio kwamba ndio baadae wanakusanya mtaji kwenda kufuata chupi China . Watu wana maduka ya kuuza heavy equipment spare hardwares mfano unaifahamu Kisangani Enterprises Ile ya pale mnazi mmoja Duka kubwa kabisa la spare Dar es salaam wale si watu wa Njombe. Nyanda za juu kusini kuna watu wanamiliki hotel na majengo makubwa kabisa katikati ya jiji la Dar es salaam. Wakina Jah people Wana semi trella zaidi ya 200. Umetaja matajiri wote wakichagga umesahau pia kuna makabila mengine yapo. Things are changing wachagga ilikuwa zamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ntamaholo

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Messages
11,576
Points
2,000
ntamaholo

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2011
11,576 2,000
Hiyo no 6, maadui wa simba sc
Ukitaka kuujua mji wa Makambako shuka pita mitaa ifuatayo
1.Majengo
2. Ilangamoto
3. Magegele
4. Ikwete
5. Lyamkena
6. Mashujaa
7. Kipagamo
Ndo utajua jinsi mji wa Makambako ulivyojengwa tena nyumba za kisasa zaidi, changamoto iliyopo ni viongozi wa serikali hasa mipango MIJI kutokufanya kazi yao ya kitalaamu kuwaelekeza watu jinsi ya kujenga nyumba kwa mpangilio mzuri, muda wote wapo ofisini tu hawana lolote wanalolifanya zaidi ya kuotea jua ofisini kwao na ni kati ya ofisi yenye watumishi wa HOVYO kabisa watu mtaani wanagombana kuhusu barabara za mitaani wenyewe ambao ndo wenye kazi hiyo wanaotea jua
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Steph Curry

Steph Curry

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
5,733
Points
2,000
Steph Curry

Steph Curry

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
5,733 2,000
Umepanic, Una stress za maisha
Hujaelewa uzi una maanisha nini?

Unaweza ukawa na ghorofa nzuri mwananyamala lakini, mwananyamala ni Makazi ya hovyo yaani slums

Mkuu unaelewa Rais aliongea kitu gani?

Tunaposema watanzania maskini wewe unahesabu mbona mengi, bakhresa matajiri, Una akili wewe?
Umemsoma huyo niliyemjibu? Au unashoboka..
 
Steph Curry

Steph Curry

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
5,733
Points
2,000
Steph Curry

Steph Curry

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
5,733 2,000
Mnafiki mkubwa na muwongo kabisa basi gani la mchaga linaenda mkoani Njombe.Hii kauli yako baada ya mhindi anayefuata au majority ya wafanyabiashara wakubwa kila mkoa ni wachagga haina ukweli wowote ule zaidi ni kujijazia misifa ya uwongo. We unaifahamu Tanzania vizuri na je unawafaham matajiri wakubwa Wa kila mkoa. Mimi nmeishi mikoa kadhaa . Ni mfanyabiashara gani mkubwa mkoa wa Mwanza , Njombe, Mbeya, Mara, Ruvuma, Rukwa. Wachagga wapo Ila ni wafanyabiashara wa Kati sio Tena mikoa ya nyanda za juu kusini wachache mno Tena hawapo kwenye list ya matajiri kwenye baadhi ya mikoa. Mwanza kuna wakurya acha kabisa akina Gachuma , gitano , lakairo , Mathayo wa Mara Zakaria. Nyanda za juu kusini hata hao Wahindi ni wachache mno. Tena waliodorminate biashara kubwa ni wazawa kuanzia vituo vya mafuta na Industrial sector. Kuleta viazi soko la mabibo sio kwamba ndio baadae wanakusanya mtaji kwenda kufuata chupi China . Watu wana maduka ya kuuza heavy equipment spare hardwares mfano unaifahamu Kisangani Enterprises Ile ya pale mnazi mmoja Duka kubwa kabisa la spare Dar es salaam wale si watu wa Njombe. Nyanda za juu kusini kuna watu wanamiliki hotel na majengo makubwa kabisa katikati ya jiji la Dar es salaam. Wakina Jah people Wana semi trella zaidi ya 200. Umetaja matajiri wote wakichagga umesahau pia kuna makabila mengine yapo. Things are changing wachagga ilikuwa zamani

Sent using Jamii Forums mobile app
Cha ajabu hao wa nyanda za juu hakuna anayewafahamu..
 
D

DASM

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Messages
822
Points
1,000
D

DASM

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2017
822 1,000
Cha ajabu hao wa kanda ya kati hakuna anayewafahamu..
Huyo mchagga alitaka kutulisha matango Pori as if wao ndio kila kitu nchini. Mambo yamekwenda yanabadilika miaka mpaka miaka. Game has change watu wanaoingia kwenye system ya kuendesha Uchumi wa nchi ni kutoka makabila mbalimbali. Zamani wachagga waliweka Ile wizara ya fedha kama Mali Yao. Kwa ya 4 na 5 wachagga hawashikili hiyo wizara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Steph Curry

Steph Curry

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
5,733
Points
2,000
Steph Curry

Steph Curry

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
5,733 2,000
Huyo mchagga alitaka kutulisha matango Pori as if wao ndio kila kitu nchini. Mambo yamekwenda yanabadilika miaka mpaka miaka. Game has change watu wanaoingia kwenye system ya kuendesha Uchumi wa nchi ni kutoka makabila mbalimbali. Zamani wachagga waliweka Ile wizara ya fedha kama Mali Yao. Kwa ya 4 na 5 wachagga hawashikili hiyo wizara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kushikiria wizara ya fedha ndio kuwa na maendeleo. Mbona Mwigulu na Mpango huko kwao bado hoi?😂
 
D

DASM

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Messages
822
Points
1,000
D

DASM

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2017
822 1,000
Kushikiria wizara ya fedha ndio kuwa na maendeleo. Mbona Mwigulu na Mpango huko kwao bado hoi?
Game has changed kuna mchaga alitaka kutuaminisha kila mkoa tajari akiongoza mhindi basi anayefuata lazima awe mchaga au wachaga ndio watakuwa wanaongoza. Mwongo kabisa Yule. Things has changed mikoa mingine hutamuona mchaga kwenye top 10 ya matajiri Tena mingi kabisa. Issue wizara ya fedha zamani ilikaliwa na wachaga Kwa mda mrefu Sana. Saiz wachaga wamepumzishwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Steph Curry

Steph Curry

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
5,733
Points
2,000
Steph Curry

Steph Curry

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
5,733 2,000
Game has changed kuna mchaga alitaka kutuaminisha kila mkoa tajari akiongoza mhindi basi anayefuata lazima awe mchaga au wachaga ndio watakuwa wanaongoza. Mwongo kabisa Yule. Things has changed mikoa mingine hutamuona mchaga kwenye top 10 ya matajiri Tena mingi kabisa. Issue wizara ya fedha zamani ilikaliwa na wachaga Kwa mda mrefu Sana. Saiz wachaga wamepumzishwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kati yako na yeye nani mzushi na muongo?

Taja hapa kampuni yeyote kubwa, yenye brand kubwa inayotambulika Tanzania inayomilikiwa na Mkinga..

Nakisubiri uitaje
 
Steph Curry

Steph Curry

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
5,733
Points
2,000
Steph Curry

Steph Curry

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
5,733 2,000
Wachagaa anayefahamika asilimia kubwa ni Mengi. Wengine matajiri wa Moshi na wachaga hata sisi hatuwafahamu. Nenda Iringa , Moshi , Ruvuma, Njombe , Rukwa n.k.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huwafahamu kwa majina utawafahamu kwa BRAND..

Unaifahamu Precision Airways, K-Vant™, Akiba Commercial Bank?
 
GUSSIE

GUSSIE

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Messages
2,339
Points
2,000
GUSSIE

GUSSIE

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2014
2,339 2,000
Kama huwafahamu kwa majina utawafahamu kwa BRAND..

Unaifahamu Precision Airways, K-Vant, Akiba Commercial Bank?
Wewe una matatizo, Kwenye Bank kuna kitu kinaitwa Capital Concentration
Bank mtaji hauwezi kumilikiwa na mtu mmoja

Khaa kiongozi unafahamu sheria za Benk kuku wewe sio Tanzania tu mpaka marekani tena huko sheria ni kali zaidi

Huyo shirima ni shareholder kwenye Precision, sema ana hisa kubwa precision
 
Forum statistics

Threads 1,285,009
Members 494,369
Posts 30,847,189
Top