Rais Magufuli mbona kapunguza Spidi?

Rais Magufuli mbona kapunguza Spidi?

Hakuja kufukua makaburi yanawaza kushindwa kuyafunika
 
Nashangaa siku hizi hakuna kutumbua majipu. Incompetency iko pale pale. Mafisadi bado wanaendelea kutanua mitaani na siasa ziko pale pale.

WITO: Mheshimiwa Rais naomba uongeze spidi ya kunyoosha watu na mkazo tilia kwenye kuwekeza kwenye teknolojia. services za serikali zitolewe kwa njia ya sim na pia serikali yake ilazimishe taarifa za mapato na matumizi ya kila mwezi ya kila wilaya na mkoa ziwekwe kwenye mitandao watu waone nini kimefanyika baada ya hizo pesa kukusanywa.
Hilo linafanyiwa kazi na wale wataalamu wa IT kutoka Rwandwa. Kila shilingi itaonekana inapotoka mfukoni mwa mdanganyika na kuingia kwa Kaizari. Waziri ameshatuma wataalamu wake wakasaidie walevi kujenga viwanda vya gongo ili iwe bora na salama na kuwezesha serikali kukusanya mapato zaidi.
 
FB_IMG_1448116061412.jpg
 
Tetetete....ngoja atoke kwenye kuuguza atatumbua mitandao ya kijamii yote na malaika wake.....SWALI:-Je kaisha sign muswada wa habari..????
 
Nashangaa siku hizi hakuna kutumbua majipu

Incompetency iko pale pale

Mafisadi bado wanaendelea kutanua mitaani na siasa ziko pale pale

WITO: Mheshimiwa Rais naomba uongeze spidi ya kunyoosha watu na mkazo tilia kwenye kuwekeza kwenye teknolojia. services za serikali zitolewe kwa njia ya sim na pia serikali yake ilazimishe taarifa za mapato na matumizi ya kila mwezi ya kila wilaya na mkoa ziwekwe kwenye mitandao watu waone nini kimefanyika baada ya hizo pesa kukusanywa.
hahahaaaaaa! wanaaza kumnyoosha mshamba tu naye yule
hah
 
Nashangaa siku hizi hakuna kutumbua majipu
Incompetency iko pale pale
Mafisadi bado wanaendelea kutanua mitaani na siasa ziko pale pale

WITO: Mheshimiwa Rais naomba uongeze spidi ya kunyoosha watu .....
Wewe vipi, huwezi kupiga push up 50 kwa mwendokasi kama afya ni mgogoro.
Baada ya povu la soda kutulia, subiri uone maajabu ya mwendo konokono na kuuza maneno.

Siasa aimeanza kulegeza uwezo wa kuweka mikakati na kupanga kwa mwendokasi kwa awamu ya 5.

Wenyewe wanatoa takwimu za uchumi kukua kwa mwendokasi, wananchi wanatoa takwimu za maisha magumu na mifuko kutoboka kwa mwendokasi.

Sasa kuwaeleza wananchi na walalahoi mpaka waweze kuelewa uwiano wa ukaaji wa uchumi kwa mwendokasi na ukuaji wa maisha ya "kimalaika" na ku-enjoy wote kwa mwendokasi inabidi kiingereza kitumike ili wadanganyika wasiuelewe ujumbe.

Mwenyewe anarudia rudia kusema, alibeep tu urais na anawashangaa wanaoutaka urais.
Speed imepungua kwa sababu anakutana na makaburi mengi. Kila mtu analiogopa kaburi, makaburi mengine ukiyafukua utashindwa kuyafukia tena. 😀😀😀🙂🙂🙂

Link Hali ni mbaya, Pesa imeadimika na Bei za Bidhaa bado ziko juu!
 
Nirisema sintochoka. Na narudia kusema sintochoka. Speed ni ireire, upepo nimeurekeza kwingine kwa muda, nikikurudia mtoa uzi utaereza kwann unapangisha nyumba bira kutoa risiti ya kierektroniki ukipokea kodi. Nakuja.
 
Watu wamesha msoma,hawampi sababu
Kila mxenye wadhifa anahikisha anatokea kwenye tv akisifia kasi ya Magu
 
Nashangaa siku hizi hakuna kutumbua majipu

Incompetency iko pale pale

Mafisadi bado wanaendelea kutanua mitaani na siasa ziko pale pale

WITO: Mheshimiwa Rais naomba uongeze spidi ya kunyoosha watu na mkazo tilia kwenye kuwekeza kwenye teknolojia. services za serikali zitolewe kwa njia ya sim na pia serikali yake ilazimishe taarifa za mapato na matumizi ya kila mwezi ya kila wilaya na mkoa ziwekwe kwenye mitandao watu waone nini kimefanyika baada ya hizo pesa kukusanywa.
Mafuta yamiesha
 
Anatuongezea madeni tu wakati hela zenyewe anawagawia wabunge wa ccm kirushwa rushwa...unawezaje kimuamini mtu aliyeuza nyumba za serikali na nyingine kujiuzia na kuwapa watu wake kiharamu,kunnua boti mbovu kwa mabilioni,aliyetutia hasara ya mabilioni kwenye samaki kwa mihemko yake..
 
tatizo la watanzania ni waongeaji sana......baya zuri hatuchagui tutaongea na tutaponda tuu hatujali wala hatuchagui.
 
Hivi uchumi wa viwanda unakuja kwa kuhangaika na mnaowaita wachochezi?mjue sisi wananchisi tunataka tz ya viwanda hatutaki blah blah zenu.

Unashughulika na wachochezi wasiojua kuwa uchumi wa viwanda ni process wanaodhani uchumi wa viwanda ni event. Watu wanaojifanya vichwa maji wasiotaka kujua uchumi wa viwanda hata huko ulaya ulifikiwaje, kazi yao kukaa mitandaoni kuamzisha blah blah, uongo na uzushi mwingi wakijifanya wao wanaijua demokrasia wakati hawajui kuwa demokrasia haiwezekani na umasikini na demokrasia haiondoi umasikini bali inakufanya tegemezi kwa mabeberu ndio maana hakuna hata nchi moja masikini iliyochomoka na kuendelea kwakufuata demokrasia ya ulaghai ya kimagharibi
 
Back
Top Bottom