Rais Magufuli mbona kapunguza Spidi?

Rais Magufuli mbona kapunguza Spidi?

Kwaaa kweeee kwiiiii kwooooo kwuuuuuuummmmm... ha haha aaaaa... jamani, asivute pumzi, milima mingiiiii...Ha haaaa, ebu acheni uhuni wenu..!!

Spidi kapunguza wakati kabana kila kona, hadi magari siku hizi wanakatama kujazia mapato, ha haaaa..

Basi ngoja nimwambie abane zaidi, na spidi aweke 180km/hr hakuna kupiga kelele lakini...

1: Hakuna ajira hadi 2019
2: Mikopo kwa wachache tu
3: 15% ukiajiriwa unakatwa mkopo
4: Hakuna kabisa allowances
5: Hakuna promotion..

Sasa akiweka 180km/hr muwe wapole... teh
 
Nashangaa siku hizi hakuna kutumbua majipu

Incompetency iko pale pale

Mafisadi bado wanaendelea kutanua mitaani na siasa ziko pale pale

WITO: Mheshimiwa Rais naomba uongeze spidi ya kunyoosha watu na mkazo tilia kwenye kuwekeza kwenye teknolojia. services za serikali zitolewe kwa njia ya sim na pia serikali yake ilazimishe taarifa za mapato na matumizi ya kila mwezi ya kila wilaya na mkoa ziwekwe kwenye mitandao watu waone nini kimefanyika baada ya hizo pesa kukusanywa.
Mkuu mchokozii, unaposema mafisadi bado yako mtaani unamaanisha yule 'Mgombea'!
 
Ukiona hivyo ujue mambo yameanza kunyooka,

Hapana mwanzo ilikuwa ni kimoto cha urais akadhani ukiwa rais basi mambo yanaenda tu. Sasa ameanza kuona uhalisia wa kazi ya urais ndio hapo hofu inaanza kumpata. Amekuta nchi ina deni la kutisha ns uwezo wa kulilipa ni mdogo, zile kelele za kutumbua kakuta yuko mwenyewe wanaomzunguka hawako naye moyoni zaidi ya midomoni (hao ndio haswa majipu) Pia amekuta ili aongoze nchi ni lazima aingie kwenye ushirikina kwani ndio maagano ya nchi hii.Hapa hasa ndio mtihani wake mkubwa.
 
Nashangaa siku hizi hakuna kutumbua majipu

Incompetency iko pale pale

Mafisadi bado wanaendelea kutanua mitaani na siasa ziko pale pale

WITO: Mheshimiwa Rais naomba uongeze spidi ya kunyoosha watu na mkazo tilia kwenye kuwekeza kwenye teknolojia. services za serikali zitolewe kwa njia ya sim na pia serikali yake ilazimishe taarifa za mapato na matumizi ya kila mwezi ya kila wilaya na mkoa ziwekwe kwenye mitandao watu waone nini kimefanyika baada ya hizo pesa kukusanywa.

Mnalalamika hakuna hela. Mnalalamika watu wanaonewa. Kwa taarifa yako spidi haijapungua ila vichwa ngumu ndio wamepungua. Wako wapi wale waandamanaji? Wako wapi waliokuwa wanatukana watu hadharani? Wako wapi waliokuwa wanakaa nyumba za NHC bure? Wako wapi waliokuwa wakipiga trafiki makofi? Wako wapi wale waliokuwa kila dakika wakituuliza'unanijua mimini nani" Umewasikia tena. Bado wachochezi wachache kama wewe na wenzako wachache ambao hata kinachowafanya mfanye uchochezi hamkifahamu
 
Kagundua Watanzania wengi wanamuona ni mnafiki wa kupambana na vidagaa na kuwakwepa mapapa wa mafisadi akina Lugumi na nduguze kwa visingizio visivyo na kichwa wala miguu.

Nashangaa siku hizi hakuna kutumbua majipu

Incompetency iko pale pale

Mafisadi bado wanaendelea kutanua mitaani na siasa ziko pale pale

WITO: Mheshimiwa Rais naomba uongeze spidi ya kunyoosha watu na mkazo tilia kwenye kuwekeza kwenye teknolojia. services za serikali zitolewe kwa njia ya sim na pia serikali yake ilazimishe taarifa za mapato na matumizi ya kila mwezi ya kila wilaya na mkoa ziwekwe kwenye mitandao watu waone nini kimefanyika baada ya hizo pesa kukusanywa.
Nashangaa siku hizi hakuna kutumbua majipu

Incompetency iko pale pale

Mafisadi bado wanaendelea kutanua mitaani na siasa ziko pale pale

WITO: Mheshimiwa Rais naomba uongeze spidi ya kunyoosha watu na mkazo tilia kwenye kuwekeza kwenye teknolojia. services za serikali zitolewe kwa njia ya sim na pia serikali yake ilazimishe taarifa za mapato na matumizi ya kila mwezi ya kila wilaya na mkoa ziwekwe kwenye mitandao watu waone nini kimefanyika baada ya hizo pesa kukusanywa.
 
Hapana mwanzo ilikuwa ni kimoto cha urais akadhani ukiwa rais basi mambo yanaenda tu. Sasa ameanza kuona uhalisia wa kazi ya urais ndio hapo hofu inaanza kumpata. Amekuta nchi ina deni la kutisha ns uwezo wa kulilipa ni mdogo, zile kelele za kutumbua kakuta yuko mwenyewe wanaomzunguka hawako naye moyoni zaidi ya midomoni (hao ndio haswa majipu) Pia amekuta ili aongoze nchi ni lazima aingie kwenye ushirikina kwani ndio maagano ya nchi hii.Hapa hasa ndio mtihani wake mkubwa.
Hayo ni mawazo yako na hapo ni mwisho wako wa kufikiria.Katiba hii inampa maguvu Rais ya kufanya mengi,unadai wanaomzunguka Rais hawako nae moyoni,Rais ana sapoti ya sie watu wa chini na anapiga kazi kama kawaida
 
Traffic wanamuingizia pesa za kutosha, ni wakati wa kutulia na kupanga madili.
 
Hayo ni mawazo yako na hapo ni mwisho wako wa kufikiria.Katiba hii inampa maguvu Rais ya kufanya mengi,unadai wanaomzunguka Rais hawako nae moyoni,Rais ana sapoti ya sie watu wa chini na anapiga kazi kama kawaida

Hayo maguvu kwenye kufukua makaburi yamegota.
 
Mnalalamika hakuna hela. Mnalalamika watu wanaonewa. Kwa taarifa yako spidi haijapungua ila vichwa ngumu ndio wamepungua. Wako wapi wale waandamanaji? Wako wapi waliokuwa wanatukana watu hadharani? Wako wapi waliokuwa wanakaa nyumba za NHC bure? Wako wapi waliokuwa wakipiga trafiki makofi? Wako wapi wale waliokuwa kila dakika wakituuliza'unanijua mimini nani" Umewasikia tena. Bado wachochezi wachache kama wewe na wenzako wachache ambao hata kinachowafanya mfanye uchochezi hamkifahamu
Hivi uchumi wa viwanda unakuja kwa kuhangaika na mnaowaita wachochezi?mjue sisi wananchisi tunataka tz ya viwanda hatutaki blah blah zenu.
 
Back
Top Bottom