Rais Magufuli mbona kapunguza Spidi?

Rais Magufuli mbona kapunguza Spidi?

arigold

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2011
Posts
600
Reaction score
341
Nashangaa siku hizi hakuna kutumbua majipu

Incompetency iko pale pale

Mafisadi bado wanaendelea kutanua mitaani na siasa ziko pale pale

WITO: Mheshimiwa Rais naomba uongeze spidi ya kunyoosha watu na mkazo tilia kwenye kuwekeza kwenye teknolojia. services za serikali zitolewe kwa njia ya sim na pia serikali yake ilazimishe taarifa za mapato na matumizi ya kila mwezi ya kila wilaya na mkoa ziwekwe kwenye mitandao watu waone nini kimefanyika baada ya hizo pesa kukusanywa.
 
shughulisha ubongo wako nawe utanue. Usipoteze muda kusubiri utumbuaji.
 
Nashangaa siku hizi hakuna kutumbua majipu

Incompetency iko pale pale

Mafisadi bado wanaendelea kutanua mitaani na siasa ziko pale pale

WITO: Mheshimiwa Rais naomba uongeze spidi ya kunyoosha watu na mkazo tilia kwenye kuwekeza kwenye teknolojia. services za serikali zitolewe kwa njia ya sim na pia serikali yake ilazimishe taarifa za mapato na matumizi ya kila mwezi ya kila wilaya na mkoa ziwekwe kwenye mitandao watu waone nini kimefanyika baada ya hizo pesa kukusanywa.
Ni kwamba mmezoea mnaona kawaida!
 
Sasa hivi PhD ya muheshimiwa inafanya kazi. Inaonekana mwanzo alikuwa anaendeshwa a mihemko ya kisiasa... Sasa akienda kwa jinsi hii, mambo mengi yatakwenda... Whte house ni taasisi kubwa, hata ukiongea kwa kunong'oneza, utakalo litafanyika...
 
Ameona mnalalamika sana,kaona awalegezee kidogo mpumue kabla hajakaza nati tena..

Yule msukuma ni sheeda
 
Mambo yanaenda kwa awamu. Tulianza na awamu ya kutumbua majipu na sasa tumeingia awamu ya kutofukua makaburi kwa sababu mengine ni manono mno tukiyafukua tutashindwa kuyafukia. Chezea majipu kama Lugumi yaliyokaa pabaya - unayatumbua na wewe mwenyewe unakwenda na maji. Tuliwaambia bado ni mchanga katika siasa za urais wa bongo, akikua atatuliza akili.
 
Ssm ni wazuri kwa slogan za kuombea kura tu lkn utendaji kazi ni 0.
Mlisema HAPA KAZI TU mbona mnalia lia sasa?
Mlianza vizuri sana ila sasa mnafanana na yule mwanafunz aliyetegesha alarm saa 9 usiku ili amke asome. ilipofika saa 9 akasogeza alarm mpaka saa 10, ilipofika akibid azime kbsa ili alale vizuri sbb anaona inampigia kelele
 
Nashangaa siku hizi hakuna kutumbua majipu

Incompetency iko pale pale

Mafisadi bado wanaendelea kutanua mitaani na siasa ziko pale pale

WITO: Mheshimiwa Rais naomba uongeze spidi ya kunyoosha watu na mkazo tilia kwenye kuwekeza kwenye teknolojia. services za serikali zitolewe kwa njia ya sim na pia serikali yake ilazimishe taarifa za mapato na matumizi ya kila mwezi ya kila wilaya na mkoa ziwekwe kwenye mitandao watu waone nini kimefanyika baada ya hizo pesa kukusanywa.
Ukiona hivyo ujue mambo yameanza kunyooka,
 
Back
Top Bottom