Rais Magufuli, kwanini haujaenda Japan?

Rais Magufuli, kwanini haujaenda Japan?

JPM hakuingia madarakani ili avinjari, alichaguliwa kutatua kero za Watanzania, na ndio anazifanya. Hii mipasho ya picha nk haimuhusu, kama ni kutembea nje ya Tanzania ametembea sana tu hana sababu ya kujionyeshaonyesha kila anakoalikwa. Kama angefanya hivyo asingekaa nyumbani kufanya kazi aliyopewa na WATZ kuifanya. Alipokuwa JK mlisema yeye ni Vasco Da Gama. yeye sana sana ataenda Chato tu panamtosha.

JPM anabadili wasomi wa Tanzania jinsi ambavyo wanatakiwa kuiona dunia ilivyo. Wacha hao marais wa nje waje Tanzania kwa sababu wao ndio wana shida kubwa ya kutaka rasilimali zetu.
Dua umeibukia wapi? Za miaka lakini? Kuna mikutano Rais mwenyewe anatakiwa ahudhurie. Maana Japan ni mdau mkuu wa maendeleo. Rais anapenda maendeleo hivyo kwenda kwake Japan kulikuwa na umuhimu mkubwa sana.
 
umemuona Kenyata tu ndiyo alikuwa na private meeting na Japanese PM?.
Huyo nimemtolea mfano tu. Kagame,Weah,Alpha Condé,Almost Marais wote waliokwenda waliongea na PM wa Japan.
 
Ni bora hakwenda, nchi inaye balozi na Rais asingechangia lolote sasa kunahaja gani ya kuhoji. Kule wamekwenda kuomba na yeye hataki kuomba anataka wawekezaji ,sijui kwanini aende.
 
Dua umeibukia wapi? Za miaka lakini? Kuna mikutano Rais mwenyewe anatakiwa ahudhurie. Maana Japan ni mdau mkuu wa maendeleo. Rais anapenda maendeleo hivyo kwenda kwake Japan kulikuwa na umuhimu mkubwa sana.

Mie mzima, miaka ndio hiyo tena. JPM anataka hawa marais wa Africa mind-set zao zibadilike, kama utakumbuka vizuri hawa wazungu wamezidi kutudharau wakati wanatuibia kushirikiana na vikaragosi vyao. JPM alikuwa na mkutano na viongozi kutoka Tanzania walioko vijijini hilo ni muhimu sana kuliko kwenda Japan. Waziri Mkuu katuwakilisha na hakijaharibika kitu. Kagame kale ka-nchi akiamua wiki moja kesha kamaliza kaenda kila kona, ni majukumu yamekuwa mengi kwa JPM. Mwache achape kazi. Hapa Kazi tu.
 
Kule Japan kuna mkutano unaohusu Maendeleo ya Africa. Najua Rais Magufuli ni muumini wa maendeleo.

Japan ni mdau mkubwa wa maendeleo hapa nchini kwetu.

Rais Magufuli najua umemtuma Waziri Mkuu, ila kumbuka tulikuchagua wewe na siyo Waziri Mkuu.

Unajua mkutano kuhudhuriwa na Rais kuna uzito wake?

Pia unakutana na ideas mpya. Sasa wewe umejifungia tu Ikulu huku marais wenzako wa Africa wanajadili maendeleo.

Tena hapa ungetumia uchu ulionao kwa maendeleo kuongea na waziri mkuu wa Japan.
Angalia Rais wa Rwanda juzi alikuwa France kwenye G7. Leo yupo Japan.

Rais wa South Africa pia ilikuwepo kwenye SADC, akawepo kwenye G7 leo yupo Japan.

Kama mpenda maendeleo ulitakiwa usikose huu mkutano.

View attachment 1192348View attachment 1192349View attachment 1192350

Boss Victoire Alikuwa Ikulu na Wastaafu, Inatosha.
 
Hapa mimi huwa simwelewagi kabisa huyu bwana mkubwa shida ipo wapi yeye kupasua anga
Alimsimanga sana mtangulizi wake kwa kusafiri sana, ndo maana tunasemaga ni vizuri kuweka akiba ya maneno. Inabidi abaki tu hapa nyumbani ili tu maneno aliyoyatamka yasimrudi
 
Kule hakuna praise team , bora abaki hapa hapa ambapo anapewa sifa zaidi muumba
 
Inauma sana hasa kama tunataka maendeleo. Maendeleo hayaji kwa kujifungia Ikulu. Lazima ukapate new ideas na kubadilishana mawazo na wenzako hasa waliokuzidi ili upate maufundi.
Rais Lazima atambue kuna umuhimu wa kuhudhuria mikutano kama hii ya maendeleo.
unaanza kuamini kuwa anaweza kuwaletea maendeleo watz?
 
Alimsimanga sana mtangulizi wake kwa kusafiri sana, ndo maana tunasemaga ni vizuri kuweka akiba ya maneno. Inabidi abaki tu hapa nyumbani ili tu maneno aliyoyatamka yasimrudi
Sisi wapinzani ndio tulitaka Raisi asiyesafiri .... wakati tunamsema JK anasafiri sana.....I guess anatekeleza hilo..
Raisi wetu ni msikivu sana😉
 
Sisi wapinzani ndio tulitaka Raisi asiyesafiri .... wakati tunamsema JK anasafiri sana.....I guess anatekeleza hilo..
Raisi wetu ni msikivu sana😉
hawakumaanisha kwamba asisafiri hata kwenye mikutano mikubwa yenye maslahi mapana kwa nchi yetu. Yule mwingine tunajua kwa nini allikuwa anasafiri sana hata kwenda mikutano ambayo haikuwa na umuhimu wa yeye kuhudhuria!
 
Hamku-stipulate vizuri toka mwanzo... mlitaka Raisi asiyesafiri.... 😁
 
Kule Japan kuna mkutano unaohusu Maendeleo ya Africa. Najua Rais Magufuli ni muumini wa maendeleo.

Japan ni mdau mkubwa wa maendeleo hapa nchini kwetu.

Rais Magufuli najua umemtuma Waziri Mkuu, ila kumbuka tulikuchagua wewe na siyo Waziri Mkuu.

Unajua mkutano kuhudhuriwa na Rais kuna uzito wake?

Pia unakutana na ideas mpya. Sasa wewe umejifungia tu Ikulu huku marais wenzako wa Africa wanajadili maendeleo.

Tena hapa ungetumia uchu ulionao kwa maendeleo kuongea na waziri mkuu wa Japan.
Angalia Rais wa Rwanda juzi alikuwa France kwenye G7. Leo yupo Japan.

Rais wa South Africa pia ilikuwepo kwenye SADC, akawepo kwenye G7 leo yupo Japan.

Kama mpenda maendeleo ulitakiwa usikose huu mkutano.

View attachment 1192348View attachment 1192349View attachment 1192350

Maendeleo yako Africa na yataletwa na Waafrica wenyewe. Ni upuuzi kutwa kucha kutanga tanga nyumba za jirani kuomba omba chakula cha wanao
 
Si alishaenda SA na Namibia kuomba wawekezaji au mmesahau?
 
Ofcourse people used to die in the airplane crush so hes afraid of flying and KINGE BABA KILIKUJA NA MELI.
 
Magufuli is a brake and not an accelerator of development.Ndomaana mnaona uchumi wa Tanzania unaporomoka tu miaka yote minne
 
Back
Top Bottom