Rais Magufuli kutembelea Temeke zazua taharuki, barabara zaanza kutengenezwa usiku na mchana

Unyapara utakusaidia nini.
 

Peleka ujinga mbali, hakuna mtu aliyekuwa kwenye msafara wa Nyerere mwaka 1963 anayetumia mitandao tena mara kwa mara kama ww.
 
Mwalimu akafanyaje baada ya hapo? Hahaha ila dah

Bongo noma, kuna mahali enzi za JK kisima kilimwagiwa maji ndoo mbili mkandarasi akasema hapa maji yajatoka kila siku.
 
Amefanikiwa tu kuwatoa vijana wa vijiweni na kuwapeleka ofisi za Serikali kuendeleza vijiwe wakisubiri maagizo toka juu wakilipwa Mishahara minene na kupewa nyumba kubwa na mashangingi ya kuwaringia wananchi. Waliwajibika tu kubeba mabegi meusi!
 

Hizi ndizo athari na matokeo ya kumtumikia mtu (Rais) badala ya wananchi...!!
 
Peleka ujinga mbali, hakuna mtu aliyekuwa kwenye msafara wa Nyerere mwaka 1963 anayetumia mitandao tena mara kwa mara kama ww.
Ndugu unaonekana ni mtu makini kwenye kujenga hoja zenye mantiki...lakini unaonekana umepoteza udhibiti wa jazba kifuani mwako........
 

Tabia mbaya kabisa. Badala ya kuhudumia wananchi, wao wanataka wamfurahishe mkubwa
 
Nini kilotokea mkuu. Kwa tabia ya mwl alikuwa hasemi.
 
Wewe ni mke au gf wa DC? Alichokosea Mtaalamu kilikuwa nini? Kujibu au kujieleza
 
Ndiyo ujue kuwa ccm ni wasanii kama wasanii wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…