Rais Magufuli kutembea na kipaza sauti chake kwenye Madhabahu yetu ni kutukosea Heshima, sisi TAG si Wauaji

WaTAG tumetulia tu wewe nani!? Na ni nani aliekupa ruhusa ya kuwa msemaji wetu!? Nani alikuteua kuwa msemaji wetu. Usalama wa Rais ni muhimu kuliko dhehebu....usidhani Rais kaja kupreside kama muumini ni Rais yule na ile ni taasisi ambayo ina miiko yake.

Mpaka unaongea humu unaongea kwa ruhusa ya Rais. Tulia wewe ni muumini mwenye vurugu kwenye social media halafu utulie au laah tutakuumbua siku sio nyingi.
TAG mmeshatoka kwenye kazi ya Mungu na kuwa kundi la ujasiriamali.
Huwezi kuwa mnafiki, hukemei maovu ya watawala bali kuwasifu na kujikomba na ukabaki kuwa Watumishi wa Mungu wa kweli.
Nyie ni Wajasiriamali na mnalitumia kanisa la Kristo Yesu kwa manufaa maovu.
Namuomba Mungu awasaidie mrudi kwenye mstari
 
Mkuu usilibeze hilo kanisa kiasi hicho, nalijua vizuri sana misingi na nisimamo yake.
Askofu ameweka wazi kuwa huwa anapoona pa kushauri humfuata mhusika na kumpa yapasayo.
Nakumbuka enzi za Kikwete walimwita Dodoma kwenye mkutano kama wa jana na wakampa msimamo wa kanisa
 
Salaam Wakuu.

Leo Rais Magufuli amekuja hapa Miyuji mjini Dodoma na kutoa Hotuba kwa baraza kuu la kanisa la TAG leo ikiwa ni kilele cha mkutano mkuu wa kanisa ambalo limetimiza miaka 81 tangu kuingia nchini Tanzania.

Kilichonisikitisha ni Kitendo cha Rais wetu kukataa kutumia Kipaza Sauti Kilichotumiwa na Mkuu wetu wa Kanisa, badala yake akaja na Kipaza sauti chake.

Baada ya Mkuu wetu wa kanisa kutoa Hotuba ya kumsifia rais wetu na kumpa Tuzo ya kupambana na Corona na kuitokomeza Nchini, alimkaribisha rais kuhutubia. Ile Rais anainuka, kabla hajfikia kipaza sauti, akatokea Mlinzi mmoja mwenye briefcase yenye kipaza sauti akafungua kwa namba akabadilisha ile iliyopo akaiweka chini. Kisha akaondoka. Akaja mwingine akaikotoka ili Baba Askofu mkuu aliyoitumia, akachukua na briefcase akaondoka navyo. Nmesikitika sana.

Hii imetuchafua sisi Waumini wa Dhehebu la TAG. Nmejiuliza maswali mengi.

1. Je, rais anahisi sisi kama kanisa tunaweza kumuua au kumuwekea Sumu kwenye Kipaza sauti?

2. Je, rais hana Imani na Kiongozi wetu Mkuu wa Kanisa,

3. Kwanini akienda kwenye Shughuli Nyingie kipaza sauti hakibadilishwi?

Naomba hili suala lisijitokeze tena.

KWANINI KWETU T.A.G TU? MIKUTANO MINGINE HAWAFANYI, HATA YA CCM

View attachment 1536940
View attachment 1536878View attachment 1536879
View attachment 1537178
Sio kwamba yeye anataka bali kitengo cha usalama wa rais ndio wanafanya hivyo
 
Ulinzi wa rais ndo kipaumbele chetu watanzania. Ilikuwa ni kwa nia njema tu wala sio kudharaulisha kanisa.
 
Huyo ni Rais wa nchi ni lazima ALINDWE kwa namna yoyote Ile. Nikwambie tu kuwa hata wanamuziki wakubwa mike zao ni private kabisa na yuko mtu maalum wa kuibeba.

CORONA BADO IPO TUENDELEEE NA TAHADHARI
 
Kwa vile hujui maana ya madhabahu sikushangai.. Madhabahuni huingia vitu vilivyo takswa tuu. Ndio maana nasema hili kanisa ni la nyumbani kwa mtu na sio kanisa takatifu. Hawa ni wachumia tumbo.. Kama kina Tito.
Umeanza tena kulalalamika kwamba sijui maana ya Madhabahu! Umejuaje?! Kama unajua Hivyo hakuna haja ya lawama!
 
Ukae ukijus kwenye msafara wa mamba na kenge wapo
Ila ujue askofu sio fundi mitambo
Mafundi mitambo wengi nivijana tu wamawdza kununuliwa na mabeberu ...kijana akipewa milioni20
Anaona kama kafika tayari mbinguni
Anamaliza kabisa biashara
Mitambo ya tukio kama lile haiwezi kufungwa bila supervision ya kitengo kuhusika.
 
Salaam Wakuu.

Leo Rais Magufuli amekuja hapa Miyuji mjini Dodoma na kutoa Hotuba kwa baraza kuu la kanisa la TAG leo ikiwa ni kilele cha mkutano mkuu wa kanisa ambalo limetimiza miaka 81 tangu kuingia nchini Tanzania.

Kilichonisikitisha ni Kitendo cha Rais wetu kukataa kutumia Kipaza Sauti Kilichotumiwa na Mkuu wetu wa Kanisa, badala yake akaja na Kipaza sauti chake.

Baada ya Mkuu wetu wa kanisa kutoa Hotuba ya kumsifia rais wetu na kumpa Tuzo ya kupambana na Corona na kuitokomeza Nchini, alimkaribisha rais kuhutubia. Ile Rais anainuka, kabla hajfikia kipaza sauti, akatokea Mlinzi mmoja mwenye briefcase yenye kipaza sauti akafungua kwa namba akabadilisha ile iliyopo akaiweka chini. Kisha akaondoka. Akaja mwingine akaikotoka ili Baba Askofu mkuu aliyoitumia, akachukua na briefcase akaondoka navyo. Nmesikitika sana.

Hii imetuchafua sisi Waumini wa Dhehebu la TAG. Nmejiuliza maswali mengi.

1. Je, rais anahisi sisi kama kanisa tunaweza kumuua au kumuwekea Sumu kwenye Kipaza sauti?

2. Je, rais hana Imani na Kiongozi wetu Mkuu wa Kanisa,

3. Kwanini akienda kwenye Shughuli Nyingie kipaza sauti hakibadilishwi?

Naomba hili suala lisijitokeze tena.

KWANINI KWETU T.A.G TU? MIKUTANO MINGINE HAWAFANYI, HATA YA CCM

View attachment 1536940
View attachment 1536878View attachment 1536879
View attachment 1537178
Broo tulia ni vitu vyakawaida kwa mtu Kama Raisi, hiyo ofisi ni nyeti
 
Kula mahindi njiani ni salama coz hakuna mtu aliewaza kama atafika mahala na kula maindi,kuhusu maiki ni suala kawaida kwa raisi tatizo sio kuogopa kufa bali kuogopa kufa kizembe,hakuna kuaminiana
 
Back
Top Bottom