Rais Magufuli, Kikwete na wafanyabiashara

Rais Magufuli, Kikwete na wafanyabiashara

Magufuri sio wa kumfananisha na kikwete jaman ivi uozo wte kikwete alioufanya bdo tunapaswa kumuwaza kwel hebu tuachen ujinga jamani
 
Kikwete ni mwenyekiti wa chama tu fullstop.Magufuli ni Mkuu wa SERIKALI, ni AMIRI JESHI MKUU na ni MKUU WA NCHI hivyo yeye ni zaidi.
 
Huwezi ukawaweka katika ulingo mmoja, Heavyweight na Lightweight.
 
Rais wa nchi ni amiri jeshi mkuu na kiongozi mkuu wa nchi.....ila yeye anatokana na chama chake na kuna kanuni anafuata kama kama mwanachama. Kwa case ya JK eti amlazimishe Magufuli hiyo haiwezekani kama huo ushauri si mzuri kwamanufaa ya nchi anakaa tu mara moja.......hili ni jambo la busara zaidi.
 
Mambo ya FB ndani ya JF. Hiyo nani zaidi yako mpelekee Abubakar Sadik pale Radio One, apambanishe Jumapili hii.

Hii ni mada fikirishi sana kwa sababu wenye akili tumeshauona uwezekano wa "mgongano wa kimaslahi" kati ya maono na kasi ya utendaji kazi wa Dr Magufuli kwa upande mmoja na wahafidhina ndani ya CCM waliozoea mkate na asali kupitia ufisadi ambao JPM anaendelea kuusambaratisha kwa upande mwingine. Kama hulioni hilo katika mada hii basi "Akili yako haina Akili" hata kidogo!
 
Jf bana mtoa mada kasema mapema amekuta watu wanaongelea yy amecopy akapaste huku sasa kosa lake lipo wapi
 
Unapokuwa mwenyekiti wa chama kwa katiba ya nchi wewe ndo unayekuwa muamzi wa mwisho kwa wanachama wa chama chako. leo hii Kikwete akiamua kumvua uanachama (sitarajii litokee hili kwa Tanzania) Magufuli urais wake unapotea automatically kama vile Zitto alipovuliwa uachama chadema na ubunge kuyeyuka.
kule kwa mzee mandela, aliyekuwa mtangulizi wake mzee jacob zuma ambaye ni Thabo mbeki hakumaliza muda wa urais wake wa awamu ya pili baada ya zuma kuwa mwenyekiti wa chama na kuamru mbeki aachie madaraka na Motlanthe kuwa rais wa mpito mpaka uchaguzi mpya ulipofanyika, na baadaye ndo zuma akawa rais. ndo maana hata team lowassa walijitahidi sana kuhakikisha Kikwete hawi mwenyekiti wa chama kwa awamu ya pili lakini ikashindikana. malengo yalikuwa ni hayohayo.

Wakuu habari za muda.

Leo nikiwa hoteli moja maarufu hapa mjini (jina nalihifadhi) kupata chakula cha mchana, nimekuta watu watano ambao walikuwa na maongezi makubwa kidogo.

Watu hawa ambao kwa muonekano ni kama maofisa wa idara ya serikali ambao inaonekana wanafanya katika wazara tofauti nao wakipata chakula cha mchana.

Hoja ambayo ilikuwa mezani ni nani ambaye anaweza kumdhibiti mwezake kati ya Rais Dr Magufuli au Mwenyekiti wa chama Dr Kikwete.

Katika maongezi yao wawili walikuwa wanamuunga mkono kikwete na watatu wanamuunga mkono Magufuli.

Wanaomuunga kikwete walisema, Kikwete ndiye mwenye chama, anaisimamia serikali yake ambayo ni mtoto kwenye chama, hivyo kama mwenyekiti lazima ahakikishe aliyepewa dhamana ya chama kuongoza serikali anafuata ilani na taratibu za chama.
Wakadai kuwa Mwenyekiti ananguvu ya ushawishi ndani ya chama na kama rais atakwenda kinyume na chama kinavyotaka, mwenyekiti anaweza pitisha azimio la kumwondolea uanachama rais na hivyo kuvuliwa urais, hii ni kutokana na katiba ya chama.

Kwa upande wa waliokuwa wanamtetea rais nao walijuwa na hoja zao nzito.

Walidai kuwa Rais ni mkubwa zaidi ya mwenyekiti wa chama, kwani yeye anaongoza hata wasiokuwa wanachama.

Kulingana na katiba ya nchi rais anaweza hata kumweka kizuizini mtu yeyota hata mwenyekiti wake.
Hivyo Mwenyekiti wa chama hafui dafu kwa Rais.

Kutokana na mjadala ulivyokuwa mkali imebidi niulete humu tuone hoja zikipanguliwa.
 
Unafananisha Ubongo Na Makamasi Mkuu.
 
Kuna vtu vyakufanaisha bhana...sasa ata yy mwnyw anajua jpm ni kwikwi maana anaeza mvuruga hata yeye
 
Hoja ya jamaa ni nzuri tu maana katika ulingo huu tunaelimishana pia, sasa sijui kwa nini mmemshambulia hivi??????? au sababu hampendi Rais mstaafu. Tuvumiliane tuache matusi maana matusi ni utamaduni wa watu fulani hivi humu ndani na kama ndo hao tupunguze.
 
Move yoyote ya kujaribu kumvua Rais uanachama ili asiwe na sifa ya kuwa Rais ni UHAINI

Hakuna mwenye wazimu wa kufanya hilo. Ndiyo siku watajua watanzania ni watulivu lakini si wapumbavu.
 
CCM wote ni fuata upepo, ati Leo mahaba na Jk yameisha yamehamia kwa Magufuli, maajabu haya
 
Back
Top Bottom