Rais Magufuli, Kikwete na wafanyabiashara

Rais Magufuli, Kikwete na wafanyabiashara

Kama mada hujaipenda pita kimya...sio lazima kupitia au Ku comment katika kila nyuzi..acheni usengerema

Back to the topic ni nani asiyeona kua maslahi ya mkwere na genge lake yameshaanza kuingiliwa na Mr pombe????achilia mbali mkwere kuonekana zaidi ya DHAIFU kutokana na kasi ya raisi mpya????
 
Hoja nimeikuta ikijadiliwa na wenye akili zaidi yako.

Jibu hoja mezani

kwa kuwa ulishindwa kutambua kuwa hao walikuwa wapvmbavu, basi yawezekana na wewe uko nao ktk timu moja ingawa bado hujajua hilo.
 
Wakuu habari za muda.

Leo nikiwa hoteli moja maarufu hapa mjini (jina nalihifadhi) kupata chakula cha mchana, nimekuta watu watano ambao walikuwa na maongezi makubwa kidogo.

Watu hawa ambao kwa muonekano ni kama maofisa wa idara ya serikali ambao inaonekana wanafanya katika wazara tofauti nao wakipata chakula cha mchana.

Hoja ambayo ilikuwa mezani ni nani ambaye anaweza kumdhibiti mwezake kati ya Rais Dr Magufuli au Mwenyekiti wa chama Dr Kikwete.

Katika maongezi yao wawili walikuwa wanamuunga mkono kikwete na watatu wanamuunga mkono Magufuli.

Wanaomuunga kikwete walisema, Kikwete ndiye mwenye chama, anaisimamia serikali yake ambayo ni mtoto kwenye chama, hivyo kama mwenyekiti lazima ahakikishe aliyepewa dhamana ya chama kuongoza serikali anafuata ilani na taratibu za chama.
Wakadai kuwa Mwenyekiti ananguvu ya ushawishi ndani ya chama na kama rais atakwenda kinyume na chama kinavyotaka, mwenyekiti anaweza pitisha azimio la kumwondolea uanachama rais na hivyo kuvuliwa urais, hii ni kutokana na katiba ya chama.

Kwa upande wa waliokuwa wanamtetea rais nao walijuwa na hoja zao nzito.

Walidai kuwa Rais ni mkubwa zaidi ya mwenyekiti wa chama, kwani yeye anaongoza hata wasiokuwa wanachama.

Kulingana na katiba ya nchi rais anaweza hata kumweka kizuizini mtu yeyota hata mwenyekiti wake.
Hivyo Mwenyekiti wa chama hafui dafu kwa Rais.

Kutokana na mjadala ulivyokuwa mkali imebidi niulete humu tuone hoja zikipanguliwa.

#WhatWouldMagufuliDo
 
Usipende kufananisha Tanzanite na bati kuhusu thamani yake!

Inakuaje mtu au kikundi chawatu wachache wanaamua kumfananisha mh magufuli na vitu vingine vya ajabu...huu nao ni uhaini

Huwezi ukawaweka katika ulingo mmoja, Heavyweight na Lightweight.

Jk mlinganishe na makonda bana,magufuli sio size yake

Rais wa nchi ni amiri jeshi mkuu na kiongozi mkuu wa nchi.....ila yeye anatokana na chama chake na kuna kanuni anafuata kama kama mwanachama. Kwa case ya JK eti amlazimishe Magufuli hiyo haiwezekani kama huo ushauri si mzuri kwamanufaa ya nchi anakaa tu mara moja.......hili ni jambo la busara zaidi.

kwa kuwa ulishindwa kutambua kuwa hao walikuwa wapvmbavu, basi yawezekana na wewe uko nao ktk timu moja ingawa bado hujajua hilo.

Naona mnaendeshwa na upepo na mihemko mingi.
Ila sinta shangaa kwani wote mnaonekana mmefuatilia siasa baada ya lowassa kuhamia chadema.

Mada ipo wazi na kama unaijua siasa kwa undani huwezi toa hoja nyepesi kama hizo na kunishambulia.

Wengi hamna kumbukumbu za yaliotokea malawi, afrika kusini.

Hamjui kwamba Thabo mbeki chama chake cha ANC kilimwondoa madarakani kutokana na kutofautiana na mwenyekiti wake Zuma.

Hamjui yaliyotokea malawi ya aliyekuwa rais wa malawi hayati Dr Bingu Mutharika pindi alipotofautiana na chama chake na kuamua kuunda chama kipya.

Haya yote hamyajui mnakuja na hoja zankushambulia baada ya kuangalia hata historia ya yaliyotokea kwa wenzetu.

Nothing to speak, dont shout!!!!
 
Jf bana mtoa mada kasema mapema amekuta watu wanaongelea yy amecopy akapaste huku sasa kosa lake lipo wapi

Mkuu nahisi wewe kuna kitu haujakijua bado....yaani kuna MTU mmoja hapa nchini,mwenyekiti wa chama flani,kwa jinsi watu walivyo na HASIRA juu yake,ukitaja JINA lake unatafuta MATUSI ya nguoni tuu!
 
Magufuli hata akigombea chama cha Hashim Lungwe kwa sasa anashinda kwa kura zaidi ya kishindo. Swala la kumvua unachama halipo na Magufuli anatenda aliyokuwa anahubiri kwa ilani yake ya CCM. Mengine mnapika tu ili ipate kupikika.
 
Mh! Naomba tumstahi rais wetu mstaafu hata kidogo, mnaenda mbali sana aisee!
 
Wengi wanachangia kwa mihemko wamekoswa fikra mbadala ila mada inaeleweka, huwezi kua raisi wa nchi kikatiba bila chama
 
Nakushauri kwanza ubadili jina lako? Hujui bomu ulilojitengeneze, siku likilipuka wewe unayejiita ibilisi itakuwa ni too late!
 
Jk amejijengea
Chuki sana na Bacicha kuwazuia kulinda kura za lile kamasi la monduli! Cjui hata linaendeleaje na kifaduro chake
 
Hatuwezi kufunga biashara zao...we still need them....walipe kodi afu wasirudie...
Hata US hawauifunga City Bank pale ilipopata bonge la scandle....utajipigaje risasi mguuni
 
Back
Top Bottom