Watu wengine hawana common sense. Wee wataka aingie na kuanza kuwafunga wafanyibiashara wakubwa; wengi wao wamefanya makosa hayo kutokana na uozo wa serikali iliyopita, si kwa utashi wao. Kwa sababu unapolala hata mbu atakuchezea.
Mantiki ya biashara ni kutoa kidogo na kupokea kingi, lazima tujue. Kama hakuna kidhibiti mantiki hiyo itafika kilele. Rais amefanya sawa. Tofauti yake na Kikwete ni kuwa yeye alipowataka arudishe hakuwaonya wala hakuwapa muda. Ila JPM amesema wazi baada ya siku saba sheria itachukua mkondo. Huoni?