Rais Magufuli kakomesha upinzani

Rais Magufuli kakomesha upinzani

Not every human being fit the real definition of human being and the number of real human beings today,if any,that number itself is not real.

Kwa nitaowakwaza kwa maneo yangu haya mtanisamehe ila mleta mada kanifanya niwaze yote haya.

Siasa za nchi mwenzenu huwa zinanifanye nifikiri sana.

Tumekuwa kama wanyama kisa siasa!!
Hii nchi ya Wadanganyika imejaa vilaza wa hali ya juu, Wakati jamaa anatafuta kiki wao wanafikiri anawatetea, Angekua siriaz hii mikataba ya madini angeitungia sheria ya mikataba ijayo?
 
Ni kama mnaitana makinikia kwenye nyuzi za kipumbavu ! Nanyi mnajiita great thinker ?
 
Kwa nini mnadhani kuwa wanaopata ruzuku ni wapinzani tu wakati ruzuku hutolewa kwa vyama vyote hata ccm. Maccm ndio hasa wanaopata ruzuku kubwa wakati wamehodhi mali zote zilizoundwa wakati wa chama kimoja nyingi zikiwa za serikali. Chadema ina miaka 25 wakati ccm ina miaka zaidi ya 50. Kwa nini bado ipewe ruzuku wakati wana mali nyingi za serikali walizozifanya kuwa za chama?
Ohooooo! Wapinzani wapinzani. Uwongo umewajaa kuhusu wapinzani. Nyerere alitawala zaidi ya miaka 30 pamoja na wakati wa harakati za uhuru. Chadema wakati wa miaka yake ya kuwepo imeongozwa na Mtei, Makani na sasa Mbowe. Wote watu wa heshima kabisa. Bado maccm yanalalamika ohooooo! Mbona Mbowe kakaa muda mrefu. Wanasahau kuwa wakati wa harakati unahitaji mtu wa aina yake. Hii wanajua. Ila wanataka kuisambaratisha chadema kama wanavyofanyia Cuf na Act. Wahuni hawa!
 
Ni kwa miaka mingi siasa za vyama vingi nchini zimeshuhudia upinzani wa Hali ya juu baina ya ccm na chama kikuu cha upinzani kwa wakati husika. Lakini mara zote sababu kuu ya msuguano na udhaifu kwa chama tawala ukiwa ni kulaumiwa kushindwa kusimamia rasilimali za umma na kuwa na sera legelege zinazofumbia macho wabadhirifu.
Kwa zaidi ya miaka 30 sijui kama yupo anayeweza kuelezea jambo kubwa lililofanywa na vyama vya upinzani nje ya kupiga kelele dhidi ya ubadhirifu wa viongozi wa umma!
Kwa upande wa Zanzibar angalau chama cha cuf kwa kuwa kiliwahi kuwepo madarakani wao Kuna vijimambo vichache walivitenda!
Nguvu ya siasa za upinzani sio za kitaasisi, ni watu wachache ambao hawajawahi jubadilika for ages, hapa nawazungumzia kina Lowasa, Lissu, Zito, Slaa, Mbowe etc ambao Kweli wapo very strong wakiwa mmoja mmoja Lakini si kama taasisi.
Now, mkuu wa Nchi wa sasa Dr. J.P. Magufuli, yeye kwanza hafanyi makosa ya kucheka na wabadhirifu, sio legelege na wala haonekani kwenye kashfa za kijinga.
Upande mwingine kama role model, yeye anawashinda kimsimamo wanasiasa Wengi na hivyo kuiba agenda almost zote za upinzani na kuwaacha hawana cha kufanya.
Sasa watu waliokuwa wanamtaka kiongozj jemedari, mkali na jeuri asiyeogopa wawekezaji wahuni na mzalendo, Leo wamegeuka na kuitaka demokrasia, mtu akiiba akaulizwe kama anataka kuhojiwa ili tusijepoteza wawekezaji!
Alichofanya Magufuli ni kukomesha upinzani wa kichama na sasa kuwekea upinzani wa kimaslahi baina ya wabadhirifu na wanaokula Mali za umma vs wale walio waadilifu!
Kama nimekusoma vizuri umesema kuwa raisi kaiba ajenda za upinzani na kuzifanyia kazi, kama ni hivyo hicho ndicho walichopigania wapinzani na kama anazifanyia kazi agenda zao basi upinzani umefanikiwa, sababu kazi za upinzani ni kuibua agenda kama hizo ili yule aliyeko madarakani azifanyie kazi kwa faida ya wananchi na taifa kwa ujumla. Sababu chama chake hakina agenda za yeye kuweza kufanyia kazi. Swali la kujiuliza hapo ni kuwa kama kuzingekuwa na upinzani sasa hivi raisi angekuwa anafanya nini? Sasa hivi wapinzani wanaangalia kama kweli anazifanyia kazi kama wao walivyo adhimia, akishindwa au kufanya nusu nusu ndipo watasema. Lakini cha msingi awaruhusu wapande majukwaani wafanye kazi zao na kuibua agenda nyingine zaidi na pia kumshauri azifanyie kazi vipi.
 
Ni kwa miaka mingi siasa za vyama vingi nchini zimeshuhudia upinzani wa Hali ya juu baina ya ccm na chama kikuu cha upinzani kwa wakati husika. Lakini mara zote sababu kuu ya msuguano na udhaifu kwa chama tawala ukiwa ni kulaumiwa kushindwa kusimamia rasilimali za umma na kuwa na sera legelege zinazofumbia macho wabadhirifu.
Kwa zaidi ya miaka 30 sijui kama yupo anayeweza kuelezea jambo kubwa lililofanywa na vyama vya upinzani nje ya kupiga kelele dhidi ya ubadhirifu wa viongozi wa umma!
Kwa upande wa Zanzibar angalau chama cha cuf kwa kuwa kiliwahi kuwepo madarakani wao Kuna vijimambo vichache walivitenda!
Nguvu ya siasa za upinzani sio za kitaasisi, ni watu wachache ambao hawajawahi jubadilika for ages, hapa nawazungumzia kina Lowasa, Lissu, Zito, Slaa, Mbowe etc ambao Kweli wapo very strong wakiwa mmoja mmoja Lakini si kama taasisi.
Now, mkuu wa Nchi wa sasa Dr. J.P. Magufuli, yeye kwanza hafanyi makosa ya kucheka na wabadhirifu, sio legelege na wala haonekani kwenye kashfa za kijinga.
Upande mwingine kama role model, yeye anawashinda kimsimamo wanasiasa Wengi na hivyo kuiba agenda almost zote za upinzani na kuwaacha hawana cha kufanya.
Sasa watu waliokuwa wanamtaka kiongozj jemedari, mkali na jeuri asiyeogopa wawekezaji wahuni na mzalendo, Leo wamegeuka na kuitaka demokrasia, mtu akiiba akaulizwe kama anataka kuhojiwa ili tusijepoteza wawekezaji!
Alichofanya Magufuli ni kukomesha upinzani wa kichama na sasa kuwekea upinzani wa kimaslahi baina ya wabadhirifu na wanaokula Mali za umma vs wale walio waadilifu!
Ungeweka title tofauti lakini kwa hii uliyoweka unakaibisha watu wakahojiwe.
Magufuli ndiye Raisi wetu hadi 2020,halina ubishi.
Magufuli amethubutu kufanya ambayo watangulizi wake watatu hawakufanya,halina ubishi.(Nyerere/Sokoine waliendesha operation uhujumu uchumi ambayo mpaka leo haijatokea tena)
Magufuli amekandamiza demokrasia na kuturudisha nyuma,pia hili nalo halina ubishi.
Magufuli anapenda one man show,halina ubishi.
Tunachojiuliza ni uendelevu wa yale mema aliyofanya hasa ukitilia maanani kuwa karibu kila kitu ni yeye tu.
Magufuli ndiye Raisi wetu!!!
 
Ni kwa miaka mingi siasa za vyama vingi nchini zimeshuhudia upinzani wa Hali ya juu baina ya ccm na chama kikuu cha upinzani kwa wakati husika. Lakini mara zote sababu kuu ya msuguano na udhaifu kwa chama tawala ukiwa ni kulaumiwa kushindwa kusimamia rasilimali za umma na kuwa na sera legelege zinazofumbia macho wabadhirifu.
Kwa zaidi ya miaka 30 sijui kama yupo anayeweza kuelezea jambo kubwa lililofanywa na vyama vya upinzani nje ya kupiga kelele dhidi ya ubadhirifu wa viongozi wa umma!
Kwa upande wa Zanzibar angalau chama cha cuf kwa kuwa kiliwahi kuwepo madarakani wao Kuna vijimambo vichache walivitenda!
Nguvu ya siasa za upinzani sio za kitaasisi, ni watu wachache ambao hawajawahi jubadilika for ages, hapa nawazungumzia kina Lowasa, Lissu, Zito, Slaa, Mbowe etc ambao Kweli wapo very strong wakiwa mmoja mmoja Lakini si kama taasisi.
Now, mkuu wa Nchi wa sasa Dr. J.P. Magufuli, yeye kwanza hafanyi makosa ya kucheka na wabadhirifu, sio legelege na wala haonekani kwenye kashfa za kijinga.
Upande mwingine kama role model, yeye anawashinda kimsimamo wanasiasa Wengi na hivyo kuiba agenda almost zote za upinzani na kuwaacha hawana cha kufanya.
Sasa watu waliokuwa wanamtaka kiongozj jemedari, mkali na jeuri asiyeogopa wawekezaji wahuni na mzalendo, Leo wamegeuka na kuitaka demokrasia, mtu akiiba akaulizwe kama anataka kuhojiwa ili tusijepoteza wawekezaji!
Alichofanya Magufuli ni kukomesha upinzani wa kichama na sasa kuwekea upinzani wa kimaslahi baina ya wabadhirifu na wanaokula Mali za umma vs wale walio waadilifu!
Hao walipata majukwaa na uhuru wa kuzungumza,ndio hapo tulipojua kuwa ccm ilikuwa ikitutenda vibaya!Leo ni vigumu wananchi kujua,hata serikali ya JPM kama kuna wapigaji,ni ngumu kujua maana whistle blowers wamekuw mara zote wapinzani!
Serikali hii inataka kujionesha kuwa yenyewe ni safi na hakuna ufisadi utatokea chini yake!Subiri JPM aondoke,ndipo tutajua!For now hata tarifa muhimi za nchi ni siri kuilinda serikali ionekane iko safi!Kiki juu ya kiki
 
Maskini ngoja nipite tu kwasababu nirahisi kupotea lakini kuonekana ni shida saana kama Ben saanane
 
Ukiona mtu yoyote anayeuona upinzani kama adui wa taifa ana tatitizo kubwa la akili au hajaenda shule au alienda ila hakuelimika
Vyama vingi vya siasa vilianzishwa kwa sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992 na madhumuni ya kuanzishwa kwake yapo wazi
 
Hii ndio raha ya demokrasia sasa, ccm mnakuja na vibwagizo vyenu na mnatamba mnavyotaka. Shida sasa ni pale wapinzani wanapomwaga mitazamo yao mara utasikia mmekosa nidhamu, mara wachochezi nk. Mmefikia mahali mnawapoteza watu wanaosema ukweli. Siasa raha yake utambe ukubali na wengine watambe.
Angejua jinsi CCM kupitia serikali inavyohangaika kbinya upinzani kwa njia za hovyo asingethubutu kuyaandika haya!
Kila mtu anaweza kuchinga kuku lakini kuchinja si kutoa roho tu huwezi kumchinja kuku kiunoni ukasema umechinja kuku huchinjw a chini ya kichwa si katikati ya shingo wala kiunoni ndio utawala wa sasa uulivyo unachinja kuku kiunoni!
 
Mimi siku zote huwa nasema. Magu kama yeye anajua upinzani hawana hoja awaache wafanye siasa kikatiba. Ulingo wa siasa uwe equal to each political party. Bunge liwe huru na live. Hapo ndio wenye akili timamu tutapima kama wapinzani hawana hoja na wamechuja kisiasa. .mmewabana wapinzani, kila siku mnawadhibiti, vyombo vya habr wanaogopa hata kuwaalika kwenye mijadala kwa hofu ya kufungiwa. Leo jitu linasimama na kusema wapinzan hawana sera, mara ooh! Upinzani hawana la kusema wamebaki kutetea majizi.
 
Kwa upande mmoja uko sawa kwamba hela za serikali si za CCM (ingawa serikalini serikali ya CCM, inaongoza nchi nzima bila kujali vyama).

Kwa upande mwingine, hoja kwamba upinzani kutegemea fedha za serikali (ondoa za CCM) ni udhaifu ina mantiki.

Kwa sababu,ili chama kiwe na mizizi,inabidi kiwe chama cha watu. Na chamakikiwa cha watu, watu wana wajibu wa kuwekeza katika chama kwa hali na mali. Na kama upinzani haujaweza kuwashawishi watu kuwekeza katika chama kwa hali na mali, haujakomaa kuendesha nchi.

Kama upinzani haujaweza kubuni mbinu za kujiendesha bila kutegemea ruzuku za serikali miaka yote hii baada ya vyama vingi, upinzani huu haujakua vya kutosha.

Mimi si mshabiki wa CCM wala upinzani, nataka tu siasa za nchi ziende kwa viwango vya weledi wa kimataifa. Ninaona vyama vya upinzani kutegemea sana ruzuku ni tatizo, hasa kwa sababu ruzuku zinaweza kutumiwa kirahisi na watawala kuvuruga vyama.

Kwa hiyo, kwa upande mmoja mtu hatakiwi kufikiri kwamba hela za serikali zinazotakiwa kutolewa kwa wapinzani ni za CCM. Hatulipi kodi CCM.Mamlaka ya kukusanya kodi si ya CCM, ni ya Tanzania.

Kwa upande mwingine, wapinzani inawabidi waje na vyanzo mbadala vya mapato.Wajenge viwanda, viwanja vya michezo, walime mashamba etc. Pia wakusanye ada za wanachama wao.

Ushauri wako ni mzuri ila unakosea kuuelekeza kwa vyama vya upinzani badala ya kuuelekeza kwa vyama vya siasa kwa ujumla. Usidanganyike kudhani CCM wana vyanzo vyovyote vya maana vya mapato yao zaidi ya kutumia mamlaka ya Mwenyekiti wa chama kuhalalisha matumizi ya fedha za walipa kodi kwa maslahi ya chama. Unaweza kujiuliza kwa nini CCM hawachagui Mwenyekiti wa chama bali husubiri achaguliwe Rais ndipo wampachike uenyekiti wa chama. Maana yao ndiyo hii. Magufuli alijaribu kukwepa Uenyekiti lakini hakufaulu, na kitendo cha kukubali kuwa mwenyekiti wa chama ndicho kinachomfanya aitwe dikteta, kwa sababu anafanya mambo kwa maslahi ya chama badala ya kufanya mambo kwa maslahi ya taifa kwa ujumla
 
Wapi nimesema CCM wana vyanzo vya mapato?

Kwa nini niwashauri CCM wakati mwenyekiti wao hataki ushauri wa watu wa karibu naye, licha ya mimi asiyenijua?

Mimi najua jinsi CCM inavyotembeza bakuli kulazimisha wakurugenzi wakuu wa mashirika ya umma wachangie kampeni zao kila mwaka wa uchaguzi. Nakaa nao hawa ma CEO. Wananiambia habari hizi. Si habari ambazo sizijui. Ni habari nilizoongea na wazee wangu kwani wao walikuwa in the know serikalini.

Kama sijawapa ushauri CCM, si kwa sababu naona hawahitaji ushauri. Ni kwa sababu uongozi wa sasa wa CCM haushauriki.

Na kama tunataka mapinduzi, tutayapata kwingine, si CCM.

Sasa kwa nini nipoteze wakati wangu kuishauri CCM?
 
Haya ndio mawazo mujarabu kabisa kwa upinzani na inabidi wayafanyie kazi haya. Ila nadhani wakitaka kufanya hayo sasa kuna uwezekano wa kukutana na mkono wa siasa chafu na hujuma za kiitikadi.

Ref. hujuma anazofanyiwa Mbowe pamoja na viongozi wengine wa vyama vya siasa hasa CHADEMA. Kama mashamba yanaharibiwa kwa sababu za kisiasa na kuwaacha wawekezaji wakiharibu mazingira ujue haiwezekani kabisa kufanikiwa mawazo yenu haya. Aidha CCM wenyewe mnawaachaje pembeni, kwani wao hawatakiwi kujenga viwanda au?? Panueni zaidi uwezo wenu wa kufikiri kwa sababu sijaona chanzo chochote cha maana cha mapato ya CCM zaidi ya kujimilikisha mali ambazo kimsingi kabisa hazikupaswa kuwa chini ya chama cha siasa.
 
Wapi nimesema CCM wana vyanzo vya mapato?

Kwa nini niwashauri CCM wakati mwenyekiti wao hataki ushauri wa watu wa karibu naye, licha ya mimi asiyenijua?

Mimi najua jinsi CCM inavyotembeza bakuli kulazimisha wakurugenzi wakuu wa mashirika ya umma wachangie kampeni zao kila mwaka wa uchaguzi. Nakaa nao hawa ma CEO. Wananiambia habari hizi. Si habari ambazo sizijui. Ni habari nilizoongea na wazee wangu kwani wao walikuwa in the know serikalini.

Kama sijawapa ushauri CCM, si kwa sababu naona hawahitaji ushauri. Ni kwa sababu uongozi wa sasa wa CCM haushauriki.

Na kama tunataka mapinduzi, tutayapata kwingine, si CCM.

Sasa kwa nini nipoteze wakati wangu kuishauri CCM?

Hahaha sawa mkuu. Ila naona kama vyama vya siasa vya upinzani nchi hii vinasakamwa kiasi kwamba haiwezekani kabisa kuanzisha kiwanda. Zitazuka figisu figisu na kodi za kupakazia na vikwazo na gharama na faini na hatimaye kila kitu kitashindikana. Tangu nchi hii kupata uhuru sijawahiona utawala unathubutu kuharibu shamba tena shamba la mfano wa kilimo cha kisasa kwa sababu za chuki za kisiasa kama ambavyo nimeshuhudia katika awamu hii, sembuse kiwanda.
 
ikumbukwe kwamba wanaopiga kura ni wananchi na sio "viongozi wa upinzani" subiri uone kimbunga uchaguzi ujao utashangaa.. sio kwa msoto huu
 
Back
Top Bottom