kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,818
- 7,493
Kwanini akikosolewa anakimbilia polisi?vitisho na Maguvu yanini?
Kodi zetuHuwezi kuwa na UPINZANI unaotegemea ruzuku ya serikali ya CCM kwa 100%. Hii kiinimacho Magufuli ataifutilia mbali fullstop!!
Wew unatafutatafuta vijisababu ambavyo vyote havina msingi.Kashfa ya Nyumba yumo,Ya Meli mbovu hajakosekana,ndege mpya aka TT.Mbona na yeye ni mpigaji tu
Hoja kwa upinzani haziishi na hazitoisha ndio maana Ujerumani, Ufaransa, Marekani na Uingereza mpaka leo upinzani upo na wanashinda uchaguzi..Tatizo lenu mmeishiwa hoja kiasi cha kuanzisha uzushi na matusi yasiyo na tija.
Shule gani wakati makosa yako ya wazi kabisa unajifanya huyaoni. Unajifanya unakijua Kiingereza wakati hukijui? Na hujui kuwa hukijui.Kilaza wa kiwango cha lami!!!Rudi shule.
Huna lolote wewe.Kaa kimya.Shule gani wakati makosa yako ya wazi kabisa unajifanya huyaoni. Wewe kweli ni mpuuzi usana. Unajifanya unakijua Kiingereza wakati hukijui? Na hujui kuwa hukijui.
Hakuna wkt wowote ambao upinzani walipata wabunge kwa njia rahisi... Wkt vyama vimeanzishwa kulikua hakuna hata mawakala.. Wala kiongozi hata mmoja ktk serikali za mitaa lkn upinzani umeendelea kukua!2020 Nawaona Mdee, Mnyika, lema, Msigwa na kubenea wakiwa Mtaani!
Acha kujifanya mjuaji aisee. Unazidi kujiabisha tu.Huna lolote wewe.Kaa kimya.
"Human being" ni neno moja as a noun.
Fits-Verb in simple present tense
Kama ujumbe umekuuma vumilia tu badala ya kupotezeana muda.Huna issue.Acha kujifanya mjuaji aisee. Unazidi kujiabisha tu.
Unatia huruma. Wacha nikufichie aibu yako, lakini usirudie tena.Kama ujumbe umekuuma vumilia tu badala ya kupotezeana muda.Huna issue.
That is palaverous and superfluous, to say the least. One is left to wonder who is your English teacher. You should also learn to leave space between words.Not every human being fit the real definition of human being; and the number of real human beings today,if any,that number itself is not real.
Kumbe shida yenu ni Lowassa arejee CCM,basi tunawapa pole sana.Chadema na Cuf vimebakia majina tu, siku Lowasa atakaporejea CCM ndio utakuwa mwisho wa Chadema!
Huwezi kuwa na UPINZANI unaotegemea ruzuku ya serikali ya CCM kwa 100%. Hii kiinimacho Magufuli ataifutilia mbali fullstop!!
Hilo swali sijui kama atalijibu.Boss Martin George Nachukia Watu Wanaoeneza Uongo. Umeandika Uongo. Ukweli Ruzuku ipo kwa Mujibu wa Katiba na Sheria za Nchi.
Ni kweli Nchi inaongozwa na CCM na Serikali aka Jamhuri yake ila Si kweli Ruzuku ni ya CCM, au ni ya Serikali ya CCM. Maana CCM nayo inapata Ruzuku kwa Mujibu wa Sheria na Katiba.
Ni kweli Ruzuku inaweza kufutwa na Mh. Rais anaweza kuifuta, ni just kupeleka Mswada Bungeni na Wabunge wakapitisha Mswada huo, na Rais akau sign kuwa Sheria.
Ila Swali, Je CCM nao watakubali kukosa Ruzuku? Maana ni kama kukata mti ulioukalia.
My Take: Nia iwe kuelimishana na kufundishana na kukosoana vizuri.
Hilo swali sijui kama atalijibu.
CCM ndiyo wanalipa kodi? Walipa kodi wengi hawana vyama vya siasaHuwezi kuwa na UPINZANI unaotegemea ruzuku ya serikali ya CCM kwa 100%. Hii kiinimacho Magufuli ataifutilia mbali fullstop!!