Ridhwani Mbaraka
JF-Expert Member
- Jun 18, 2017
- 484
- 1,138
Hata ww nyumbani ukiwa baba wa amri na matamko huwezi kujenga familia imara... Lzm ukubali challenges kutoka kwa mkeo na watoto hata kama hela unatafuta wewe.
Dah.... Akili ndogo ilianza pale mlipokubali upinzani uuzwe kwa mzee[emoji12] [emoji12]Kakomesha upinzani au nchi akili ndogo!
Dah... Kukatiwa mirija si kitu cha mchezomchezo [emoji13] [emoji13]Duh!Unahasira
Kwa upande mmoja uko sawa kwamba hela za serikali si za CCM (ingawa serikalini serikali ya CCM, inaongoza nchi nzima bila kujali vyama).Kauli hii ya kifala niliwahiisikia kijiji fulani hivi nikadhani ni kwaajili ya iliteracy, kumbe kuna watumia Key board hapa nao wanaamini kuwa hela za nchi hii ni za CCM.
Tatizo lenu mmeishiwa hoja kiasi cha kuanzisha uzushi na matusi yasiyo na tija.
Nani tena kakatiwa mirija?Dah... Kukatiwa mirija si kitu cha mchezomchezo [emoji13] [emoji13]
Mkuu,tumekuwa kama wanyama kisa siasa!Absolutely Mkuu.
Kwa upande mwingine, wapinzani inawabidi waje na vyanzo mbadala vya mapato.Wajenge viwanda, viwanja vya michezo, walime mashamba etc. Pia wakusanye ada za wanachama wao.
Toa mwaka mmoja tuambie hiyo miaka ishirini na tisa kati ya thelathini iliyobaki CCM ilifanya nini, wapinzani hawana bajeti ulitaka watumie pesa za Freemasons?Ni kwa miaka mingi siasa za vyama vingi nchini zimeshuhudia upinzani wa Hali ya juu baina ya ccm na chama kikuu cha upinzani kwa wakati husika. Lakini mara zote sababu kuu ya msuguano na udhaifu kwa chama tawala ukiwa ni kulaumiwa kushindwa kusimamia rasilimali za umma na kuwa na sera legelege zinazofumbia macho wabadhirifu.
Kwa zaidi ya miaka 30 sijui kama yupo anayeweza kuelezea jambo kubwa lililofanywa na vyama vya upinzani nje ya kupiga kelele dhidi ya ubadhirifu wa viongozi wa umma!
Kwa upande wa Zanzibar angalau chama cha cuf kwa kuwa kiliwahi kuwepo madarakani wao Kuna vijimambo vichache walivitenda!
Nguvu ya siasa za upinzani sio za kitaasisi, ni watu wachache ambao hawajawahi jubadilika for ages, hapa nawazungumzia kina Lowasa, Lissu, Zito, Slaa, Mbowe etc ambao Kweli wapo very strong wakiwa mmoja mmoja Lakini si kama taasisi.
Now, mkuu wa Nchi wa sasa Dr. J.P. Magufuli, yeye kwanza hafanyi makosa ya kucheka na wabadhirifu, sio legelege na wala haonekani kwenye kashfa za kijinga.
Upande mwingine kama role model, yeye anawashinda kimsimamo wanasiasa Wengi na hivyo kuiba agenda almost zote za upinzani na kuwaacha hawana cha kufanya.
Sasa watu waliokuwa wanamtaka kiongozj jemedari, mkali na jeuri asiyeogopa wawekezaji wahuni na mzalendo, Leo wamegeuka na kuitaka demokrasia, mtu akiiba akaulizwe kama anataka kuhojiwa ili tusijepoteza wawekezaji!
Alichofanya Magufuli ni kukomesha upinzani wa kichama na sasa kuwekea upinzani wa kimaslahi baina ya wabadhirifu na wanaokula Mali za umma vs wale walio waadilifu!
Dah....hao wenye hasira [emoji13] [emoji13]Nani tena kakatiwa mirija?
Wataje tu, au unajishuku na hasira zao?Dah....hao wenye hasira [emoji13] [emoji13]
Asee!Sidhani kama uko nchi hii!maana kwa hii comment yako,Noah inakuhusu!Tanzania hakuna vyama vya siasa, kuna magenge ya kutafuta ulaji tu.
Si CCM wala upinzani.
Na Magufuli ni gubegube ambalo linafunga kamba vitoto mikono na kuvicharaza mpaka vitokwe damu.
Huwezi kulisifia kwamba limekomesha vitoto.
Hili jitu ni hayawani lisilona simile wala rehani.
Hiyo mbona cha mtoto, mi naongea nao hawa mawaziri wake na nawapaka na wananijua mpaka ninapoishi.Asee!Sidhani kama uko nchi hii!maana kwa hii comment yako,Noah inakuhusu!
Huu Uzi ulioleta,umetumwa kutafuta roho za watu?Wamenyamaza hamuwaonei huruma?Au hamjui kama wao pia wana familia zao?Acha hizo mkuu,tuishi kwa upendo tu,madhari watu wameamua kunyamaza,si vema kuwachokonoaNi kwa miaka mingi siasa za vyama vingi nchini zimeshuhudia upinzani wa Hali ya juu baina ya ccm na chama kikuu cha upinzani kwa wakati husika. Lakini mara zote sababu kuu ya msuguano na udhaifu kwa chama tawala ukiwa ni kulaumiwa kushindwa kusimamia rasilimali za umma na kuwa na sera legelege zinazofumbia macho wabadhirifu.
Kwa zaidi ya miaka 30 sijui kama yupo anayeweza kuelezea jambo kubwa lililofanywa na vyama vya upinzani nje ya kupiga kelele dhidi ya ubadhirifu wa viongozi wa umma!
Kwa upande wa Zanzibar angalau chama cha cuf kwa kuwa kiliwahi kuwepo madarakani wao Kuna vijimambo vichache walivitenda!
Nguvu ya siasa za upinzani sio za kitaasisi, ni watu wachache ambao hawajawahi jubadilika for ages, hapa nawazungumzia kina Lowasa, Lissu, Zito, Slaa, Mbowe etc ambao Kweli wapo very strong wakiwa mmoja mmoja Lakini si kama taasisi.
Now, mkuu wa Nchi wa sasa Dr. J.P. Magufuli, yeye kwanza hafanyi makosa ya kucheka na wabadhirifu, sio legelege na wala haonekani kwenye kashfa za kijinga.
Upande mwingine kama role model, yeye anawashinda kimsimamo wanasiasa Wengi na hivyo kuiba agenda almost zote za upinzani na kuwaacha hawana cha kufanya.
Sasa watu waliokuwa wanamtaka kiongozj jemedari, mkali na jeuri asiyeogopa wawekezaji wahuni na mzalendo, Leo wamegeuka na kuitaka demokrasia, mtu akiiba akaulizwe kama anataka kuhojiwa ili tusijepoteza wawekezaji!
Alichofanya Magufuli ni kukomesha upinzani wa kichama na sasa kuwekea upinzani wa kimaslahi baina ya wabadhirifu na wanaokula Mali za umma vs wale walio waadilifu!
[emoji125] [emoji40]Hiyo mbona cha mtoto, mi naongea nao hawa mawaziri wake na nawapaka na wananijua mpaka ninapoishi.
Anayoyasema Lema ipo siku yatatimia na hapo dio heshima itarudi.Huu Uzi ulioleta,umetumwa kutafuta roho za watu?Wamenyamaza hamuwaonei huruma?Au hamjui kama wao pia wana familia zao?Acha hizo mkuu,tuishi kwa upendo tu,madhari watu wameamua kunyamaza,si vema kuwachokonoa
Mkuu, you have made my weekend.Peoples kuweni Na akili japo kidogo basi, upinzani Ni fikra, Mbowe, Maalim Seif, Zitto nk Ni viongozi wa makundi yenye fikra zinazofanana ambayo makundi hayo yamejipa majina Kama CHADEMA, cuf, act-wazalendo nk, hata hivyo vyama vikifa leo, fikra za upinzani zitabaki hai kwa wananchi kusubiri muunganiko wenye jina jingine la kisiasa, kimsingi upinzani Ni kitu cha asili katika jamii yoyote, kinachotokea Ni kwamba upinzani hufifia au kuimarika kutegemeana Na ufanisi wa chama kinachotawala. Lakini kwa sasa ukitaka kujua ukweli afya ya upinzani ikoje, mwambie uncle Magu aruhusu mikutano, utakachokiona linganinisha Na zamani halafu ulete matokeo hapa.