Rais Magufuli kakomesha upinzani

Rais Magufuli kakomesha upinzani

Tatizo tunaongozwa na waliofeli shule wakarudia kama mara mia hivi ndipo baada ya kufaulu wanajiona wanaakili kumbe hamna kitu.Wengine na mitihani wamekwiba kwa maana hata vyeti si vyao basi wanajiona wasomi,sasa ona wanavyotenda hata msomi wa chekechea hawezi kutenda hivyo.Anyway ndiyo Afrika
Yule Magufuli ile Ph.D yake lazima kabebwa.

Ph.D ya ukweli ya Chemistry utafanya saa ngapi wakati huo huo una majukumu kibao ya Uwaziri?
 
Yule Magufuli ile Ph.D yake lazima kabebwa.

Ph.D ya ukweli ya Chemistry utafanya saa ngapi wakati huo huo una majukumu kibao ya Uwaziri?

Mbona wengine tumeshajua kwamba siyo yake ni ya mwenzake!Mwenye PhD unamjua kwa namna anavyoongea na kujenga hoja.Huyu Mwenyekiti wetu wa Chama Cha Makinikia hata first degree sijui kama alifaulu kama si kubebwa na mbeleko
 
Mbona wengine tumeshajua kwamba siyo yake ni ya mwenzake!Mwenye PhD unamjua kwa namna anavyoongea na kujenga hoja.Huyu Mwenyekiti wetu wa Chama Cha Makinikia hata first degree sijui kama alifaulu kama si kubebwa na mbeleko
Unanikumbusha kuna Mzee mmoja yupo serikalini sasa sitaki kumtaja. Mzee akianza kuongea tu unajua huyu atakuwa msomi fulani, anaweza kuwa Dokta fulani kafundisha vyuo fulani na kacheza sana na watu wa kmataifa, kabla mtu hajakwambia mimi nina Ph.D.

Halafu kuna hawa ambao ukiambiwa wana Ph.D unaweza kubisha.
 
Siwapendi chadema.

Ni wanafiki sana

Wewe jamaa upo serious kweli wewe? Kama kuna unafiki nchini basi chanzo chake ni CCM. Kuwa mkweli. Ila CCM ina uwezo wa kumchafua mtu wakati wowote tena kwa maneno ya kipuuzi tu ref. Kampeni zao dhidi ya Lowassa 2015.
 
Hii ndio raha ya demokrasia sasa, ccm mnakuja na vibwagizo vyenu na mnatamba mnavyotaka. Shida sasa ni pale wapinzani wanapomwaga mitazamo yao mara utasikia mmekosa nidhamu, mara wachochezi nk. Mmefikia mahali mnawapoteza watu wanaosema ukweli. Siasa raha yake utambe ukubali na wengine watambe.
Tatizo lenu mmeishiwa hoja kiasi cha kuanzisha uzushi na matusi yasiyo na tija.
 
Tume huru idaiwe mapema ccm itoke vinginevyo watanzania mtapata tabu sana
 
Chadema na Cuf vimebakia majina tu, siku Lowasa atakaporejea CCM ndio utakuwa mwisho wa Chadema!
Peoples kuweni Na akili japo kidogo basi, upinzani Ni fikra, Mbowe, Maalim Seif, Zitto nk Ni viongozi wa makundi yenye fikra zinazofanana ambayo makundi hayo yamejipa majina Kama CHADEMA, cuf, act-wazalendo nk, hata hivyo vyama vikifa leo, fikra za upinzani zitabaki hai kwa wananchi kusubiri muunganiko wenye jina jingine la kisiasa, kimsingi upinzani Ni kitu cha asili katika jamii yoyote, kinachotokea Ni kwamba upinzani hufifia au kuimarika kutegemeana Na ufanisi wa chama kinachotawala. Lakini kwa sasa ukitaka kujua ukweli afya ya upinzani ikoje, mwambie uncle Magu aruhusu mikutano, utakachokiona linganinisha Na zamani halafu ulete matokeo hapa.
 
Anataka kutuzuga Watanzania kwamba yeye ni mtakatifu wakati hakuna ukweli wowote ule. Naye ni mmoja wa wapiga madili makubwa makubwa nchini.

Kashfa ya Nyumba yumo,Ya Meli mbovu hajakosekana,ndege mpya aka TT.Mbona na yeye ni mpigaji tu
 
Not every human being fit the real definition of human being.
I concur! In fact I happen to know some people whose physical appearance fit the definition of 'human beings' but they aren't really at heart. .......just 'another' animal in the Animal Kingdom to which human beings belong!
 
Kauli hii niliwahiisikia kijiji fulani hivi nikadhani ni kwaajili ya iliteracy, kumbe kuna watumia Key board hapa nao wanaamini kuwa hela za nchi hii ni za CCM.

Huwezi kuwa na UPINZANI unaotegemea ruzuku ya serikali ya CCM kwa 100%. Hii kiinimacho Magufuli ataifutilia mbali fullstop!!
 
Anataka kutuzuga Watanzania kwamba yeye ni mtakatifu wakati hakuna ukweli wowote ule. Naye ni mmoja wa wapiga madili makubwa makubwa nchini.

Anawazuga wanachama wa Chama Cha Makinikia wanaodhani kuwa RAIS ni sawa na kuwa mungu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Anachofanya ni makosa makubwa sana... Labda kama mnaosema hivyo hamuoni wala hamjaelewa maana ya vyama vingi au democracy...
Mkapa na Kikwete wangefanya hivi anavyofanya yeye haya anayoyafanya angeyatoa wapi? Au hamuoni kwamba hata yeye asingelipita na kua Rais wa nchi?

Yeye kupatikana imetokana na kukua kwa upinzani.. Ambako kulisababishwa na namna ambavyo Marais waliopita waliacha uhuru kwa vyama kufanya siasa... Anayoyafanya pia yametokana pia na kuachwa vyama vifanye siasa...
Sasa analolifanya yeye anatengeza giza.. Na ni sawa na kuendesha gari wkt umevunja side mirror!!!

Hii ni hasara kama taifa
 
Back
Top Bottom