Asante mkuu kwa andiko lako lakini kwa mujibu wa chama tawala CCM mafanikio yafuatayo yamepatikana baada ya Lissu kupigwa risasi na kuvuliwa ubunge:-
1.Hakuna anayekosoa tena serikali kwa sasa wote tunaimba nyimbo za sifa.
2.Jimbo la Singida Mashariki limepata maendeleo ya kutisha ambayo hayajawahi kushuhudiwa miaka 58 baada ya Uhuru.
3.Mabeberu wameufyata na sasa wanatunyenyekea kwa kila jambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukio hili limetchafua sana kimataifa,tatizo Meko anamsikiliza ZERO BRAIN aka BASHITE....Haya Bashite kashameza NDOANO ,On to the Next One --KICHWA SAMAKI.Hivi jamani hata aibu watu hawaoni? Mbunge anapigwa risasi hadharani tena mchana kweupe na hakuna chochote kinachofanyika kutoka serikalini zaidi ya kuendelea kumuumiza!
Tunaenda kwenye ibada kufanya nini! Tena mbaya zaidi na baadhi ya viongozi wa dini wanafumbia macho ukiukwaji huu mkubwa wa haki ya mtu ya kuishi! Hapana labda kuna watu ambao hawajaumbwa kwa nyama na damu! Labda wapo wenye miili iliyoundwa kwa chuma!
Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi hadharani na mwisho kuvuliwa ubunge limefehdehesha taifa na kuonekana kuwa sisi ni binadamu wenye roho za kikatili kuliko kawaida. Hilo linachangiwa kwa kiasi kikubwa na vyombo vya usalama kufumba macho.
Vyombo vya usalama havijafumba macho,viliona na vinajua ila nacho fikiri vimezibwa macho na midomo viosone na kusema.Hivi jamani hata aibu watu hawaoni? Mbunge anapigwa risasi hadharani tena mchana kweupe na hakuna chochote kinachofanyika kutoka serikalini zaidi ya kuendelea kumuumiza!
Tunaenda kwenye ibada kufanya nini! Tena mbaya zaidi na baadhi ya viongozi wa dini wanafumbia macho ukiukwaji huu mkubwa wa haki ya mtu ya kuishi! Hapana labda kuna watu ambao hawajaumbwa kwa nyama na damu! Labda wapo wenye miili iliyoundwa kwa chuma!
Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi hadharani na mwisho kuvuliwa ubunge limefehdehesha taifa na kuonekana kuwa sisi ni binadamu wenye roho za kikatili kuliko kawaida. Hilo linachangiwa kwa kiasi kikubwa na vyombo vya usalama kufumba macho.
Asante mkuu kwa andiko lako lakini kwa mujibu wa chama tawala CCM mafanikio yafuatayo yamepatikana baada ya Lissu kupigwa risasi na kuvuliwa ubunge:-
1.Hakuna anayekosoa tena serikali kwa sasa wote tunaimba nyimbo za sifa.
2.Jimbo la Singida Mashariki limepata maendeleo ya kutisha ambayo hayajawahi kushuhudiwa miaka 58 baada ya Uhuru.
3.Mabeberu wameufyata na sasa wanatunyenyekea kwa kila jambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo tutarajie chochote kitatokea?Wangekuwa na hofu ya Mungu,wangejifunza kwenye Neno la Mungu(Biblia)hakuna kiongozi aliye watesa raia wake akabaki salama..
??Kwahiyo tutarajie chochote kitatokea?
Alijipiga risasiNjama mpange kwenye sacos yenu lawama mmpatie JPM hakuna huruma hapo, mtakufa siku sio zenu na chuki zenu.
Leo amekuwa ndugu yenu? Damu gani ilimwagika Bungeni? Hofu mnayo nyinyi ambao mnaongoza propaganda, siku yenu ipo malipo ni hapa hapa duniani.Lakini pia kwa namna nyigine ni Mipango ya Mungu ili kuweza kuitangazia Dunia kiwa yy ni Kiongozi wa namna gani. Dunia yote imeshamtambua kuwa tuna Kiongozi Mkuu asiyejali Utu na Uhai wa Raia wake.
Kama aliweza kumtendea vile Ndugu yake ni vipi kwa Majirani??
Majibu umeyapata kwenye uwekezaji nchini. Nakuhakikishia hapo alipo hapati usingizi kwa haya yanayoendelea hivi sasa.
Hebu fikiria Bunge linaacha kujadili mipango ya maendeleo ya wananchi wanamjadili Mbunge mwenzao anaepambania haki ya raia wote wakiwemo Wabunge. Yote hayo ni Hofu iliyotamalaki juu ya Watawala.
Damu ya Mh Lissu bado imetapakaa kwenye viwanja vya Bunge na kwamwe Wahusika hawatapata amani ktk maisha yao. Hata hii Tengua Teua ni Hofu itokanayo na Damu isiyo na hatia ya Ndugu yetu Mh Lissu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee huoni hana aibu hadi rambirambi anaiba licha ya cheo chake kikubwa.Njama mpange kwenye sacos yenu lawama mmpatie JPM hakuna huruma hapo, mtakufa siku sio zenu na chuki zenu.
Wee huoni hana aibu hadi rambirambi anaiba licha ya cheo chake kikubwa.
Huoni jamaa Ana uwalakini?!