Rais Magufuli hawezi kujenga bila kuharibu?

Rais Magufuli hawezi kujenga bila kuharibu?

Attachments

  • IMG_20200422_104340.jpg
    IMG_20200422_104340.jpg
    115 KB · Views: 11
Acha watu watumie barakoa za vitambaa sababu wanamudu bei na wanaweza kuzitumia tena na tena baada ya kufua, hizi za kitabibu zinaweza kuachwa kwa ajili ya matumizi ya wahudumu wa afya......mgonjwa anapokohoa au kupiga chafya atawatoa virus in a form of droplets ambazo haziwezi kupenya kwenye kitambaa......then utapunguza mnyororo wa maambukizi. Jambo la muhimu wataalamu wapendekeze aina ya kitambaa na layers ambazo zinaweza kuwa more effective and at the same time zisilete usumbufu mkubwa kwenye kupumua...
 
hawe na heshima na watu wengine na aeshimu juhudi za watu atakama wanakosea

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama zina detol zinasaidia kwasababu sisi si watu wa kushikashika vitu hata kuta kuegemea nk hata kwenye maeneo ya misongamano?

Mimi nadhani ameamuwa kufuata ile model ya Uingereza lakini wakaibadili baada ya waziri mkuu kutupwa icu kwa corona.
 
Mkuu yeye ni bulldozer,kwenye ujenzi wowote bullldozer kazi yake ni kubomoa halafu ndio vifaa vingine hufanya kazi ya kujenga
 
Ikumbukwe kwamba Wachina hata kabla ya Covid-19 walikuwa na tabia ya kuvaa mask hivyo ugonjwa huu ulipoingia hawawezi huathirika kama nchi za magharibi. BTW hakuna material oops kitambaa special cha kutengeneza mask kama kipo mtuambie specifications zake ambazo ni tofauti na kitenge au kanga? Kama hamna specs bora mnyamaze tu!
Kama wewe binafsi ungependa kufahamu zaidi bofya hapa:
Coronavirus Disease 2019 (COVID-19)
 
Kama ni kweli Rais Magufuli leo kaziponda masks za kitaalam na kuzifagilia masks za kushona za vitenge ..basi kaharibu katikati ya kujenga..

Niseme sijasikia hotuba yote ..Ila waliosikia nimesikia wakidai kasema tutumie masks za kushona..

Hizi masks hazizuii virus wataalam wamesema..

Rais alipaswa kuangalia uwezekano wa masks sahihi kupatikana Kwa bei nafuu na sio kuzipasisha masks ambazo hazisaidii tatizo tunalopambana nalo...

Tuna viwanda vya nguo na vya pads za wamama vikihamasishwa vinaweza tengeneza masks za viwango Kwa bei nafuu na zikatumika kwenye hili janga tunalo pambana nalo...

Niweke kwenye rekodi kuwa namuunga Magufuli kwenye kukataa lockdown na kuhamasisha alternative medicine na kuhamasisha uvaaji masks lakini kama atahamasisha masks ambazo sio sahihi ..za kushona za vitenge...
Naona kama anajenga na kuharibu.....

Bado nafasi ipo ya kuhakikisha masks sahihi ndo zinahamasishwa kutumika na kudhibiti bei isipandishwe kiholela...
Kwani mask za kununua China hazishonwi? Wacheni ujinga, kinachotakiwa ni kwamba mask kushonwa kulingana na specification maalumu za international safety standards.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie si ndo mlikuwa mnataka ajitokeze aongee chochote.
Sasa tumejua amachofikiria bora akae chato tu hili aachie wengine. Yaani mtu mzima na PhD na resources zote za usalama wa taifa, na cheo chake kilivyo kikubwa, kamaa kaona ile video uliyosambaa online ya uongo kua mask zimekutwa na corona zinarudishwa China, video hata waliochukua wameshangaa aliyegeuza story nani. Jiwe anaiona hajauliza yoyote yule kua hii video ni ya ukweli anakuja kutangazia nchi nzima kua mask zinaletwa zina virusi? Jiwe ni jiwe tu nimeamini.

Kama tuna kiongozi mkubwa anaamini conspiracy theories huku ana team akiwauliza kama ni kweli wanauwezo wa kufanya research ya uhakika wakamjibu basi we are fucked. Tunaongozwa na kilaza grade A
 
Kama ni kweli Rais Magufuli leo kaziponda masks za kitaalam na kuzifagilia masks za kushona za vitenge ..basi kaharibu katikati ya kujenga..

Niseme sijasikia hotuba yote ..Ila waliosikia nimesikia wakidai kasema tutumie masks za kushona..

Hizi masks hazizuii virus wataalam wamesema..

Rais alipaswa kuangalia uwezekano wa masks sahihi kupatikana Kwa bei nafuu na sio kuzipasisha masks ambazo hazisaidii tatizo tunalopambana nalo...

Tuna viwanda vya nguo na vya pads za wamama vikihamasishwa vinaweza tengeneza masks za viwango Kwa bei nafuu na zikatumika kwenye hili janga tunalo pambana nalo...

Niweke kwenye rekodi kuwa namuunga Magufuli kwenye kukataa lockdown na kuhamasisha alternative medicine na kuhamasisha uvaaji masks lakini kama atahamasisha masks ambazo sio sahihi ..za kushona za vitenge...
Naona kama anajenga na kuharibu.....

Bado nafasi ipo ya kuhakikisha masks sahihi ndo zinahamasishwa kutumika na kudhibiti bei isipandishwe kiholela...
Mkuu, inakuaje unaandika uzi wa kuhukumu na haujaangalia hotuba yake?
 
Aisee inashangaza sana kwa kweli sio kwa matango pori haya kuna mtu anakwepa expenses kwa kushauri watu waishi kienyeji
 
Back
Top Bottom