Rais Magufuli hawezi kujenga bila kuharibu?

Rais Magufuli hawezi kujenga bila kuharibu?

Mistari ya chini ndio inayosadifu akili yako
Kwanza nimpongeze mweshimiwa raisi wa jamuhuri ya TANZANIA mzalendo namba moja,mchapa kazi asiabudu MABEBERU,hutuba ya Leo nimeipenda inatupa nguvu vijana tulio nyuma yako meongoza njia .

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi na familia yangu tulisa ji lock down kama yeye alivyoamua kujilock down huko Chato.Sasa nyie chapeni kazi tupate kodi kwanza mengine baadaye.Soon mtasikia madaktari wanavaa kitenge kama mask wataambiwa hakuna pesa za mask kwanza zina corona.Mungu tusaidie baba
 
Kama ni kweli Rais Magufuli leo kaziponda masks za kitaalam na kuzifagilia masks za kushona za vitenge ..basi kaharibu katikati ya kujenga..

Niseme sijasikia hotuba yote ..Ila waliosikia nimesikia wakidai kasema tutumie masks za kushona..

Hizi masks hazizuii virus wataalam wamesema..

Rais alipaswa kuangalia uwezekano wa masks sahihi kupatikana Kwa bei nafuu na sio kuzipasisha masks ambazo hazisaidii tatizo tunalopambana nalo...

Tuna viwanda vya nguo na vya pads za wamama vikihamasishwa vinaweza tengeneza masks za viwango Kwa bei nafuu na zikatumika kwenye hili janga tunalo pambana nalo...

Niweke kwenye rekodi kuwa namuunga Magufuli kwenye kukataa lockdown na kuhamasisha alternative medicine na kuhamasisha uvaaji masks lakini kama atahamasisha masks ambazo sio sahihi ..za kushona za vitenge...
Naona kama anajenga na kuharibu.....

Bado nafasi ipo ya kuhakikisha masks sahihi ndo zinahamasishwa kutumika na kudhibiti bei isipandishwe kiholela...
Alisema selikali imejiandaa kukabiliana na corona kwa nn nchi ya viwanda haiku produce hizo masks....... Kweli Jamaa anatuona mitanzania mipumbavu kabisa...
 
Nadhani tuna upungufu mkubwa wa madaktari wa afya ya akili.

Vichaa wengi wapo mitaani. Baadhi ni viongozi wakubwa wakubwa.

Kila wakiongea siku waliyoamka vibaya, ni mateso tu.
 
Huyi rais ina maana hata haangalii TV za china?
Huyu rais katoka wapi jamani..
Hivi usalama wa Taifa wanafanya kazi gani wanaona kabisa nchi inaangamizwa na kilaza
Usalama wa Taifa wameongezewa mishahara maradufu lolote la mtukufu ni sawa
 
Huwa na imagine Sasa pale TISS wamepeleka taarifa na kumpa ushauri Rais afu yeye anainuka na kuondoka wakijua kawaelewa halafu mwisho wa siku anakuja kuongea Mambo Kama haya😂

Yanii nahisi hua wenyewe wanashangaa Sana
Mungu anajibu maombi yetu tofauti Sana anatudhihirishia tatizo liko wapi (wachache watanielewa)
 
Kama ni kweli Rais Magufuli leo kaziponda masks za kitaalam na kuzifagilia masks za kushona za vitenge ..basi kaharibu katikati ya kujenga..

Niseme sijasikia hotuba yote ..Ila waliosikia nimesikia wakidai kasema tutumie masks za kushona..

Hizi masks hazizuii virus wataalam wamesema..

Rais alipaswa kuangalia uwezekano wa masks sahihi kupatikana Kwa bei nafuu na sio kuzipasisha masks ambazo hazisaidii tatizo tunalopambana nalo...

Tuna viwanda vya nguo na vya pads za wamama vikihamasishwa vinaweza tengeneza masks za viwango Kwa bei nafuu na zikatumika kwenye hili janga tunalo pambana nalo...

Niweke kwenye rekodi kuwa namuunga Magufuli kwenye kukataa lockdown na kuhamasisha alternative medicine na kuhamasisha uvaaji masks lakini kama atahamasisha masks ambazo sio sahihi ..za kushona za vitenge...
Naona kama anajenga na kuharibu.....

Bado nafasi ipo ya kuhakikisha masks sahihi ndo zinahamasishwa kutumika na kudhibiti bei isipandishwe kiholela...

Mkuu unamshambulia JPM kwa lipi? Nchi nyingi tu wanashona mask wao wenyewe nyumbani bila kukuru kakara. Hivi wewe unaona kanga au kitenge hakifai kushonwa kama mask? kama huna mask tayari lazima utumie kanga au kitenge kujilinda, (Fimbo ya mbali haiuwi nyoka) hili linasaidia sana hasa kama huna ready made mask, BTW lazima kwanza ufahamu hivi vidudu vinasambaa vipi then utakubaliana na JPM kwamba aliyoyasema ni sahihi. Naona wazungu bado wanatutawala ki-fikra kwamba kila kitokacho kwao ndio bora.

Nakuhakikishia kwa hili JPM yupo sahihi fanya research then uje utuletee mrejesho.
 
Siku zote magufuli hajawahi hurumia wanaopatwa na majanga wakifa na kupukutika anacheeeeka hadi Anajigongea glasi rejea majanga yaliyopata nchi akiwa madarakani hakuna hata moja lililomsikitisha.

Hili lenyewe ameona na yeye linamnyemelea ndo mana akaomba watu waombe kwa siku tatu siyo kwamba waombe ili huu ugonjwa utoke bali umpishe mbali. Hata maneno yake ya kuubeza mwanzoni alijua huu ugonjwa ni wa tabaka flani baada ya kuona hata yeye unamsaka akatoka nduki saivi anaongea akiwa mafichoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Hotuba ya JPM
Covid-19 imeua watu 10 tu hadi hivi sasa, taarifa za wagonjwa wanaopona zitatolewa vilevile​
 
Mi ameniacha hoi kuwataka wananchi kujifukiza. Lol. Ndiyo maana nimeamua hiki kipindi cha Covid 19 sitoi maoni yangu, ni kusikiliza watu na kucheka tu.
Mkuu Uganda hawana marehemu wa Corona mpaka sasa hivi sababu wametumia njia hii ya kufukiza imeruhusiws hospitalini na watapona wote na utasikia very soon. Tatizo mna chuki binafsi ndo maana mmekaririshwa.
 
Huyi rais ina maana hata haangalii TV za china?
Huyu rais katoka wapi jamani..
Hivi usalama wa Taifa wanafanya kazi gani wanaona kabisa nchi inaangamizwa na kilaza

Wewe ropoka ropoka tu mkuu. Sasa hivi wale wana access na data zako hapa JF. Yani unamwita Rais kilaza 😬😬
 
Hivi hanaga washauri jamani, hadi aibu!
Tufuate ushauri wa wataalamu jinsi ya kujikinga na hivi virus

Sent using Jamii Forums mobile app
Wataalam sasa watazidi kunyamaza..
Unakutana na mtu anakwambia masks ya kushona na kitambaa cha shati ndo best
Unampinga anakwambia ina maana Rais kaongopa?Unabaki kimyaa
 
  • Thanks
Reactions: ram
Ikumbukwe kwamba Wachina hata kabla ya Covid-19 walikuwa na tabia ya kuvaa mask hivyo ugonjwa huu ulipoingia hawawezi huathirika kama nchi za magharibi. BTW hakuna material oops kitambaa special cha kutengeneza mask kama kipo mtuambie specifications zake ambazo ni tofauti na kitenge au kanga? Kama hamna specs bora mnyamaze tu!
 
Kwanza nimpongeze mweshimiwa raisi wa jamuhuri ya TANZANIA mzalendo namba moja,mchapa kazi asiabudu MABEBERU,hutuba ya Leo nimeipenda inatupa nguvu vijana tulio nyuma yako mwongoza njia .

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
"...asiyeabudu mabeberu,"
Ni kweli hatutakiwi kumwabudu yeyote zaidi ya Mungu.
Lakini ulimsikia akiwaomba wasamehe madeni?
Mabeberu siyo wabaya wakati wote, kuna wakati huwa tunawaitaji hasa tunapowabatiza na kuwaita wahisani na marafiki wetu wa maendeleo. Tuwape tu heshima yao wanaweza kitusamehe madeni mkulu aliyoomba tusamehewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawaangalia vijana wa CCM, nabaki kujisemea "hakuna kazi ngumu kama kutetea maamuzi ya CCM"
 
Back
Top Bottom