Ngoti pilla
JF-Expert Member
- May 12, 2018
- 272
- 160
hawe na heshima na watu wengine na aeshimu juhudi za watu atakama wanakoseaRais Magufuli amefanya maamuzi sahihi Mungu anatupesha na corona
Sent using Jamii Forums mobile app
hawe na heshima na watu wengine na aeshimu juhudi za watu atakama wanakoseaRais Magufuli amefanya maamuzi sahihi Mungu anatupesha na corona
Ajabu sana alichofanyakwanza ni raisi alafu anabeza juhudi za watu kwann tunarais wa namna hii yaan watu walikua wanapiga fumigation yeye hataki alafu anazungumza kwa kejeli why heshimu ata mchango wao hata kama hawakua sahihi alafu anajiona yeye ndio mtaalamu lakn yuko mafichoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Out of topic,You are smart.
Ukimsikiliza kwa makini bwana chato ni kama anakwepa kuchukua majukumu na kutuacha tujiangalie wenyewe kama kuku wa kienyeji. Poa lakini, tutaenda tu.
Mfano mtu akipiga chafya wale virus ndo wanakuwa wanabebwa in aerosol form kwa huo umbali,hii Ni kutogana na momentum ya chafya Ana kikohozi ,then baada ya momentum kupita wanadrop down,kwenye chochote,mfano,meza,pavement etc,Watalam wamesema virusi vinaruka hewani Hadi Mita nane au hukusikia?
Ndo maana now imeanza kuwa lazima kuvaa masks nchi nyingi kuliko mwanzo.
Kweli nimechemka mkuu.Soma vizuri hiyo id sio invisible..
Kuhamasisha masks ambazo hazisaidii kuzuia virus ni hatari sana
Wanaogopa. Ila moyoni sayansi inawasuta.Na utaona watu wenye PhD wakipongeza huo uamuzi ukifika ndo utashangaa zaidi
mbona anaomba mabeberu wawasamehe madeni,hii nchi c kasema ni donor countryKwanza nimpongeze mweshimiwa raisi wa jamuhuri ya TANZANIA mzalendo namba moja,mchapa kazi asiabudu MABEBERU,hutuba ya Leo nimeipenda inatupa nguvu vijana tulio nyuma yako meongoza njia .
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Wewe kila jambo ni kuunga mkono,tumia kichwa chako wewe tarumbeta kubwa!Rais Magufuli amefanya maamuzi sahihi Mungu anatupesha na corona
Not likelySitachangaa Ma Dr na manurse wakiambiwa wavae Mask za vitenge.
Still ni hatari kupasisha masks za vitenge Kwa watu wa kawaida..Rais hajasema hazifai,
Kasema hivi "hizo masks kutoka nje zichunguzwe kwanza zisije zikawa zimebeba pia virus wa corona, na ninatoa wito kwa makampuni ya ndani yatengeneze masks, na ninawapongeza pia wale wanaojishonea"
Sijaona rais aliposema hizo masks kutoka oama hazifai.
Ni kweli unaweza kuwa unamchukia Magufuli lakini nashauri taarifa zake zisiwe zinapotoshwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hanaga washauri jamani, hadi aibu!Ajabu sana alichofanya
Kweli kabisa fumigation na Corona wapi na wapi bwashee?!!
Wajinga wachache hamuwezi kumuelewa!Huyi rais ina maana hata haangalii TV za china?
Huyu rais katoka wapi jamani..
Hivi usalama wa Taifa wanafanya kazi gani wanaona kabisa nchi inaangamizwa na kilaza