Tena kikiongea kinajifanya kinaongea kihisia sana, kizee kinafki sana hiki.Yeye mbona kala mahela kibao na nyingine akahonga mahawara zake alipouza nyumba za serikali. Leo ndio anataka kutudanganya kuwa yeye ni mzalendo sana.

Shughulikia kwa mujibu wa sheria!!Po....ngo wewe!!Unawaza bunduki tu!!Lakini wakishughlikiwa nyinyi mnakuwa was kwanza kuomba dua, sala na kuchanga hela za matibabu!
Tusaidiane kujibu na haka kaswali kakichochezi, samahani lakini...Hii nchi sasa inakwenda kubaya..
Lazima nchi yote tuimbe na kumsifu Mkulu kwa kila afanyalo!
Yeyote anayekwenda kinyume, atabatizwa majina ya msaliti, siyo mzalendo na umenunuliwa na hao wezi wetu!
....JE ZITTO ALIVYOITWA MSALITI NA MBOWE ILIMAANISHA MBOWE HAKOSOLEWI??
Unahangaika bure kumjibu huyo mwendawazimu jingalao.Na Zito akidhurika tutamuuliza Magufuli, period, maana keshaanza kama alivyofanya kwa Lisu. Siasa ni kuhoji.
Ukweli ni kuwa wewe pia huna data zinazoonyesha kuwa watu hawakufa njaa.
Kwa akili yako potofu unataka kutuambia kuwa Magufuli ndiye ana siasa za ukweli!! "NILIPOINGIA MADARAKANI NILIIKUTA SUKARI INAUZWA SHILINGI 6,000/-.........." Ndiyo siasa ya ukweli na uzalendo hiyo. Mkome kabisa nyie wachimvi. Mteteeni kwa hoja zenye mashiko!!!
Mkuu huyo huyo zito alifukuzwa cdm na kuitwa msaliti. Je hiyo unaikumbuka? Kubali zito amekosa mwelekeoKwa kweli haya ni maajabu ya rais wetu wa sasa ukitofautiana naye tu unakuwa msaliti, sio mzalendo, umehongwa, duh safari hii tumepata rais untouchable.
Shida yao hao wapinzani hawaeleweki nini wanataka kwa manufaa ya taifa hili. Haya yote anayofanya mkulu waliyapigia kelele wao kwa miaka mingi. Sasa anayatekeleza tena mayo wanapiga. Ili kuwaelewa wapinzani wa sasa inabidi uwe umepata kilevi kidogo."Mtu anasimama,anatoka mapovu,unaweza kujiuliza uzalendo wake uko wapi?,hata kama umekula hela si unyamaze".......John Pombe Magufuli, October 23, 2017
Swali
Ukitofautiana na rais sio mzalendo? Lakini kina Zitto wakati wanapambana na mikataba ya Buzwagi,Rais wakati huo alikuwa wapi. Tuseme alilipwa fedha na wawekezaji kunyamaza? Tuvumiliane tubishane kwa hoja na majibu ya nidhamu. Raia kuwaambia wengine wanatoa mapovu sio ustaarabu
swali lingine je makusanyo kweli 600b kwa mwzi?Hoja ni kula pesa na kutupigia kelele...kwa data za uongo.
Kosoa kwa facts sio kupotosha umma kwa maslahi ya Tumbo lako.
Kumbuka huyu huyu kibaraka ndiye aliyetaka Rais kutangaza baa la njaa kwa data zake za kughushi.
Akiachwa ataendelea...ifike mahala siasa ya uongo uongo ife kabisa nchini.
SWALI KWA MLETA MADA....JE ZITTO ALIVYOITWA MSALITI NA MBOWE ILIMAANISHA MBOWE HAKOSOLEWI??
"Mtu anasimama,anatoka mapovu,unaweza kujiuliza uzalendo wake uko wapi?,hata kama umekula hela si unyamaze".......John Pombe Magufuli, October 23, 2017
Swali
Ukitofautiana na rais sio mzalendo? Lakini kina Zitto wakati wanapambana na mikataba ya Buzwagi,Rais wakati huo alikuwa wapi. Tuseme alilipwa fedha na wawekezaji kunyamaza? Tuvumiliane tubishane kwa hoja na majibu ya nidhamu. Raia kuwaambia wengine wanatoa mapovu sio ustaarabu
je kweli makusanyo yetu ni 600bi kama alivyosema zitto au na wew ni kasuku usiejiongezaHuyu mzee ni wa hovyo sana, hataki kukosolewa kabisa.
Anaboronga mwenyewe, akikosolewa anasema watu sio wazalendo.
Akiona ameharibu anakuja kutafuta huruma kwa wananchi, anaongea kwa hisia huku akijifanya ni mcha Mungu.
Unawataja akina kikwete ili kuongeza nguvu eneo la ufipaIna maana wote tunaopingana naye tumekula pesa, Msekwa amekula ngapi, Wassira amekula ngapi hata Kikwete naye kahongwa, this is too much sasa.
mkuu zitto kasema haya haraka haraka kwa muda mfupiJPM na watu wa chama chake huwa wanashindwa kujibu hoja za wenzao na kuamua kutoa sababu/hoja za kitoto eti wanaowakosoa siyo wazalendo na wamehongwa ! Sasa swali ni kwamba, Ikiwa Serikali inajua km wamehongwa kwa nn kutokwa na mapovu, siwawafungulie mashitaka!?
Si mwenda wazimu huyu, ni tumbo linamfanya awe kichaa. Atakula wapi ndugu yangu.Unahangaika bure kumjibu huyo mwendawazimu jingalao.
Tunazungumzia issues sio Zitto, Zitto anaweza kuwa yule yule lakini akazungumza issue tofauti.Mkuu huyo huyo zito alifukuzwa cdm na kuitwa msaliti. Je hiyo unaikumbuka? Kubali zito amekosa mwelekeo
.Hoja ni kula pesa na kutupigia kelele...kwa data za uongo.