Rais Magufuli: Hata kama umekula hela si unyamaze!!

Rais Magufuli: Hata kama umekula hela si unyamaze!!

Hoja ni kula pesa na kutupigia kelele...kwa data za uongo.

Kosoa kwa facts sio kupotosha umma kwa maslahi ya Tumbo lako.

Kumbuka huyu huyu kibaraka ndiye aliyetaka Rais kutangaza baa la njaa kwa data zake za kughushi.

Akiachwa ataendelea...ifike mahala siasa ya uongo uongo ife kabisa nchini.

SWALI KWA MLETA MADA....JE ZITTO ALIVYOITWA MSALITI NA MBOWE ILIMAANISHA MBOWE HAKOSOLEWI??
Weka wewe data za ukweli.
 
Magufuli ulipokuwa unapiga makofi kupongeza na kugonga meza kwa ushabiki wakati mkipitisha kuunga mkono kule bungeni, huu ushenzi unao"jifanya " kuuchukia leo, jee ULIKUWA UMERAMBISHWA pesa na BWANA yupi?
Magufuli huna jipya
Hoja yako ameijibu Mufti, lulu ndani ya chaza!
 
Hoja ni kula pesa na kutupigia kelele...kwa data za uongo.

Kosoa kwa facts sio kupotosha umma kwa maslahi ya Tumbo lako.

Kumbuka huyu huyu kibaraka ndiye aliyetaka Rais kutangaza baa la njaa kwa data zake za kughushi.

Akiachwa ataendelea...ifike mahala siasa ya uongo uongo ife kabisa nchini.

SWALI KWA MLETA MADA....JE ZITTO ALIVYOITWA MSALITI NA MBOWE ILIMAANISHA MBOWE HAKOSOLEWI??
Kama ana ushahidi wa kula pesa si ampeleke mahakamani? Wakati zitto na wenzake wanapigania maslahi ya watz yeye alikuwa wapi huyu mzalendo uchwara? Jibu rahisi tu,alikuwa upande wa wawekezaji akiwa amehongwa
 
Hoja ni kula pesa na kutupigia kelele...kwa data za uongo.

Kosoa kwa facts sio kupotosha umma kwa maslahi ya Tumbo lako.

Kumbuka huyu huyu kibaraka ndiye aliyetaka Rais kutangaza baa la njaa kwa data zake za kughushi.

Akiachwa ataendelea...ifike mahala siasa ya uongo uongo ife kabisa nchini.

SWALI KWA MLETA MADA....JE ZITTO ALIVYOITWA MSALITI NA MBOWE ILIMAANISHA MBOWE HAKOSOLEWI??
Mtu aliyesema Ameingia madarakani sukari ilikua inauzwa Elfu tano na zitto nani anapotosha
 
Ingekuwa nchi za kiarabu afu unafagilia makampuni ya nje unapigwa risasi
 
Yoyote anaekosoa Serikali sio mzalendo mchochezi hii ndo siraha ya awamu ya tano
 
Niwekee ukosoaji wa Msekwa,Wassira,au Kikwete tuone kama kuna ukosoaji au upotoshaji wa data....usiniletee udaku wa Mange please.

Niwekee Taarifa zinazoonesha hao uliowataja kumkosoa Magufuli.

Jifunzeni kuandika kweli tupu
Kwa hiyo yaani wewe kazi yako ni kuamini data za magu tu lkn za wengine wasaliti.
Huyu mtu ni waajabu sana na mtaua wengi awamu hii
 
Akikamatwa mtasema ananyanyasa wapinzani!!vigeu geu sana ninyi
Kuamatwa kwa wapinzani wala si ajabu kwani ndio mtindo mpya wa kujenga viwanda kwa wale bwana ndiooooo
 
Huyu nae asituchoshe kama Tundulisu angekula hela kwa acacia kwa jinsi anavyomchukia asingekuwa Segerea na kina patel ,kama mtu Lisu akiongea kitu tu anakamatwa aunkuitwa polisi ,ndo ije kuwa kala hela au rushwa halafu miccm na dola yao imuache nje hadi leo?

Maskini ngosha anatia huruma
 
Hizi hela wanazopewa hawa watu ni rushwa au? Kama mpaka mkuu anajuwa watu wanapewa hela kwanini asitumie vyomba vya ulinzi tulivyomkabidhi kuwashughulikia hawa watu wanaohonga kila mtu? Haya malalamiko mengine kwa sasa yanachefua.
Lakini wakishughlikiwa nyinyi mnakuwa was kwanza kuomba dua, sala na kuchanga hela za matibabu!
 
Mwafika haachi asili...yaani kila tatizo linalompata kuna mtu kamloga du....bwana yule anahisi Mara zote haendi mbele kwa sababu watu akina Fulani Fulani ni wapigaji au wamehongwa kisa tu kitofautiana kimtazamo....kama Kagame kila mpinzani wake lazima amuweke na kesi ya Kimberly genocide
 
"Mtu anasimama,anatoka mapovu,unaweza kujiuliza uzalendo wake uko wapi?,hata kama umekula hela si unyamaze".......John Pombe Magufuli, October 23, 2017

Swali
Ukitofautiana na rais sio mzalendo? Lakini kina Zitto wakati wanapambana na mikataba ya Buzwagi,Rais wakati huo alikuwa wapi. Tuseme alilipwa fedha na wawekezaji kunyamaza? Tuvumiliane tubishane kwa hoja na majibu ya nidhamu. Raia kuwaambia wengine wanatoa mapovu sio ustaarabu
Zito kabwe mhutu
 
Back
Top Bottom