BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,284
Wanaropoka ropoka tu neno uzalendo bila hata ya kujua maana yake. Mzalendo hawezi kuwa na tabia za MACCM za wizi, ufisadi, uongo na udikteta uchwara.
Siku nikijua kipimo cha uzalendo ni nini nitashukuru sana mungu!!