Rais Magufuli: Hata kama umekula hela si unyamaze!!

Rais Magufuli: Hata kama umekula hela si unyamaze!!

Hapakuwa na njaa? khaaaaa!
Hakianani siasa ni upofu,lakini wewe huo sio ushabiki tu bali wewe nadhani ni shakibiki wa kulipwa.
Nikikumbuka watu walivyoteseka wakamwambia mkulu akadai serikali haina shamba unadhani tumesahau?
Hapakuwa na njaa ya extent Rais atangaze baa la njaa..hata kama mtajitoa ufahamu nitawarejesha kwenye mstari.

Kasome kuhusu mabaa ya njaa ndio utaelewa ninasema nini.
 
"Mtu anasimama,anatoka mapovu,unaweza kujiuliza uzalendo wake uko wapi?,hata kama umekula hela si unyamaze".......John Pombe Magufuli, October 23, 2017

Swali
Ukitofautiana na rais sio mzalendo? Lakini kina Zitto wakati wanapambana na mikataba ya Buzwagi,Rais wakati huo alikuwa wapi. Tuseme alilipwa fedha na wawekezaji kunyamaza? Tuvumiliane tubishane kwa hoja na majibu ya nidhamu. Raia kuwaambia wengine wanatoa mapovu sio ustaarabu

Because you can't take us out of our lovely country,you may choose to take the country out of us
Ameshajiona yeye ndio yeye na katiba inambeba yaan ni alpha na omega hata mfanye nn hashikiki wala hagusiki,ni kumuombea kwa Mungu ampe busara zaidi kwani ndio Rias wetu huyo hadi amalize miaka 5.
 
"Mtu anasimama,anatoka mapovu,unaweza kujiuliza uzalendo wake uko wapi?,hata kama umekula hela si unyamaze".......John Pombe Magufuli, October 23, 2017

Swali
Ukitofautiana na rais sio mzalendo? Lakini kina Zitto wakati wanapambana na mikataba ya Buzwagi,Rais wakati huo alikuwa wapi. Tuseme alilipwa fedha na wawekezaji kunyamaza? Tuvumiliane tubishane kwa hoja na majibu ya nidhamu. Raia kuwaambia wengine wanatoa mapovu sio ustaarabu

Because you can't take us out of our lovely country,you may choose to take the country out of us

Is it possible for GTs to write in a nonpartisan manner so as to excite objective debate? Today in this powerful forum you see a great topic on JF subject but upon reading the first few words you can easily discern which cause the writer is supporting. For real GTs that puts them off.
When kijani supporter writes, the content is full of crap attacking ufipa. When vema supporter writes it is full of criticism towards njano. In the end two camps have thrown trailer-loads of slurs at each other creamed with despicable sarcasms. What a shame among GTs?!! Grow people, grow.
We want to see objective chats that can attract productive debate in here, not cheap mudslinging. Hata kama hampangiwi cha kuandika.
 
sasa ndiyo unaona mkewe kwanini aligoma huyu awe Rais kwa kukataa kumfanyia kampeni. Kwa watu wenye akili wangefuatilia kwa makini wangmpiga chini. Ana boxer moja lakini salary slip ya 9.5 million imeota mbawa. Kituko baada ya kituko Watanzania kujua kama ana boxer moja haituhusu.

Tumeshindwa kupata kiongozi ambaye ana-recognise income ya watu wa chini kwamba na yenyewe ni income inayolijenga TAIFA.

Kama muuza huo mugebuka analipa kodi,kodi inaenda kulipa Mshahara wake,wa mawaziri na wateule wake,na hizo ndege zake.

Kiongozi anayeshindwa kuelewa hata MUGEBUKA ni DHAHABU kwa watu wa kigoma na kwamba siyo MAdini na gas ndivyo vinajenga uchumi wa Tanzania.Ukiwa na Watawala kama hawa mwisho wa siku kila mtu atakuacha ufanye yako ukipotea wanakucheka.

Any way amesema anaboxa moja
 
Upinzani sio uadui, Kikwete.
Upinzani si uadui pale tu serikali inapokuwa ya kidemokrasia ila katika serikali za kidikteta, upinzani ni uadui na ukijaribu tu kuikosoa serikali ya kidikteta, watu wasiojulikana lazima wakuvizie na kukumiminia risasi nyingi tu tena hadharani!
 
Back
Top Bottom