mirror01
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 1,880
- 1,492
Hoja ni kula pesa na kutupigia kelele...kwa data za uongo.
Kosoa kwa facts sio kupotosha umma kwa maslahi ya Tumbo lako.
Kumbuka huyu huyu kibaraka ndiye aliyetaka Rais kutangaza baa la njaa kwa data zake za kughushi.
Akiachwa ataendelea...ifike mahala siasa ya uongo uongo ife kabisa nchini.
SWALI KWA MLETA MADA....JE ZITTO ALIVYOITWA MSALITI NA MBOWE ILIMAANISHA MBOWE HAKOSOLEWI??
Jee hivo Zitto akamuita Magufuli mshamba wamadaraka niuongo???