Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,018
Mkuu,Kwa maoni yangu, Rais Magufuli yuko right, kumtumbua mteule wake yoyote atakaye mkosoa wazi wazi yeye au mpendwa wake kwa sababu, kwa watu hao, he is reachable. Kama wana uwezo to reach him na kumshauri badala ya kumkosoa, kwa nini wamkosoe hadharani?.
Kazi ya ukosoaji acha iendelee kufanywa na wapinzani na sisi watu wa nje, ambao kila uchao, tunamkosoa humu na hata kama hapendi kukosolewa, lakini hujikuta ni lazima aingie JF, na kuusoma ukosoaji wa jf na anajikuta ukosoaji huu unamsaidia zaidi kubadilika kuliko usifiaji, na kiukweli kabisa, Magufuli ni msikivu sana, anapokosolewa humu, anasikiliza na anabadilika.
P.
Rejea
Wito Kwa wana JamiiForums kuhusu ukosoaji wa Rais Magufuli - JamiiForums
Rejea kuhusu ukosoaji zifuatazo hapa chini ambazo zimefanyiwa kazi.
Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria! .
JF Modes, Magufuli ni Rais Wetu, Asiabudiwe, Asiogopwe, Bali Aheshimiwe!.
Katazo la Rais Kusafiri Nje ya Nchi bila Vibali: Je, Halikiuki Haki za Binaadamu?!..
Rais hana mamlaka ya kupunguza mshahara wa mtumishi yeyote
Rais Magufuli, Waliomchagua Wanajuta!, Wasiomchagua Wanamshangilia!. Akishika Chama, Watakoma
Magufuli, "Kama Unaona Kazi ya Urais ni Ngumu Kwako, Jiuzulu! ".
Je inawezekana huu ndio mwisho wa utumbuaji wa papara na kukurupuka?! Mkuu kutumbuliwa soon!.
Mnatambua kuwa baadhi ya Maamuzi ya Magufuli yanaligharimu Taifa kiuchumi? - JamiiForums
Je, wajua amri za Rais sio final and conclusive?. Zinaweza kupigwa chini na mchanga kusafirishwa? - JamiiForums
Hapo siakubaliani na wewe... SABABU ni hii; mkososaji ni yule anayejua kuwa sehemu fulani kuna kosa limefanyika, na kurekebishwa kwake kuwe vipi. Anayejua hayo anaweza akawa nje au ndani ya mfumo wa kiserikali. Kuna kukosoa FORMAL na INFORMAL. Sasa mkuu unachokisema wewe ni kuwa mkosoaji anatakiwa awe nje ya serikali au mahala popote pale ambapo kimadaraka, raisi hawezi kupagusa, MAANA KAMA ANAWEZA KUPAGUSA (kutumbua) BASI USIKOSOE MAANA UTATUMBULIWA.... huko ni kutawala kwa kutegemea hofu iliyoko ndani ya unaowatawala. HAIWEZEKANI MKOSOAJI AWE YEYE TU... mara huyu kakosea hiki, yule kakosea kile, na si kweli kwamba NJIA PEKEE NI KMTUMBUA ANAYEKOSEA tena hadharani...!!!!! AS IF HAKUNA TARATIBU TULIZOJIWEKEA KWENYE KUMTUMBUA MTU...!!!!
Si kila anayepinga unachokiona kiko sawa ana nia mbaya... NI JUKUMU LAKO KUCHUJA KIPI KI BAYA NA KIPI KIZURI.............. MATOKEA YAKE ATAKUWA ANASIFIWA KWENYE KILA KITU WAKATI HALI HALISI HAIPO HIVYO... Hao wasifiaji wanasukumwa na HOFU YA KUTUMBULIWA na utendaji wake kwa 100%...
Halafu, si kweli kwamba mkosoaji kwa namna aliyofanya Mwandosya anatakiwa awe ni mtu ambaye hana ACCESS na mkuu... and WHO told you kwamba raisi yuko REACHABLE kihivyo? Kwa nionavyo, He is reachable kwa wale tu wa "NDIYO MZEE"... wengine sisi tukafie mbali..!!!!