Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,018
Mkuu,Kuna watu mnaamini kila mtu ni msaka uteuzi. Nimesoma darasa moja na mtoto wa Chinga, he is a friend, hivyo ningetaka kufukuzia uteuzi, ningefukuzia enzi hizo. Mimi ndio mwandishi wa kwanza kusafiri nae ziara za nje ya nchi, hivyo jamaa unazungumza nae face to face, ningelobby!.
Pale UD, nimesoma na Prince, wa mzee wa Msoga and he is a friend, hivyo kama ni kusaka uteuzi, it was as simple as abc!.
Aliyepo ni homeboy, na kila nikisafiri kuelekea kipande ile, nafikia nyumbani kwake!.
P
Kutosaka wakati una ACCESS hizo mkuu HAKUMAANISHI KWAMBA wewe ni mzalendo... Uzalendo sidhani kama unapimwa namna hiyo....
Ngali K