Rais Magufuli chukua hatua kwa Makonda

Rais Magufuli chukua hatua kwa Makonda

Man 1: Baby watu wanalalamika nikutoe hapo nilipokuweka
Man 2: Hapana BAE mie napenda hapa niwe karibu na wewe
 
Mheshimiwa Rais atafanya kosa la kimkakati na kihistoria akimuondoa huyu bwana. Mi napendekeza ateuliwe kuwa mbunge na apewe uwaziri wa Mambo ya ndani au Ulinzi. Atengue ubunge wa Bulembo ili kubalance gender kule kwenye viti maalum.
 
Mkinipangia ndo mnaharibu zaidi na hampati kituhh..
 
Ameshasema hapangiwi,

Tumeamua kumuacha aendelee kukumbatia gunia la kenyesi tuone dunia itamtazama vipi na hiyo harufu.
 
Hata mukiandika vipi,sisikii na sishauriki.....Bariadi. Form ya urais nilichukua mwenyewe hata ma Jasca hakunisindikiza! Bashite piga kazi wakiendelea na kelele zao napunguza idadi ya wabunge wa ccm kama nilivyowafyeka wajumbe wa NEC na Mkutano Mkuu. Piga kazi Bashite.
 
Mkuu we kauka kwanza makonda bado anahitaji kuonesha kipaji chake alichopewa kwanza kuna watu bado hawajamuelewa subiri kwanza aachie mapigo mengine kama saba hivi hapo sasa ndipo Rais amchukulie hatua sasa hivi bado kweupe sana bado watu hawajamfaham makonda ni nani , usimuamshe aliyelala wacha aupunyue uwepo wa makonda kwenye hiyo nafasi na madudu yake pia inasababisha baadhi ya watanzia kuwa great thinkers
Bashite anatakiwa aachwe mpaka afikie hatua ya kumteka makamu wa rais ndiyo Mh.Pombe ataelewa tunasema nini.
cf2d44ed1b6270ab388382507c154fcb.jpg
 
Magufuli nakupa ushauri chukua hatua kwa mkuu wa mkoa wa Dar ndugu makonda haraka iwezekanavyo vinginevyo hali itakugeukia wewe.unamkumbatia wa nini???
anamkumbatia kwa sababu anampelekea Waganga wa kienyeji kwa sasa bashite ni bonge la kigagula ana Lundo za sangoma wa kila aina anatamani kuliloga hata jukwaa la Jf
 
Tatizo Mkuu anampenda sana bashite ila hatuelezi kwa nini anampenda ili atusaidie na siye tumpende. Sasa akimpenda peke yake anaacha sintofahamu kwa upande wetu.
Mungu amemleta Bashite kumtumia kama kioo cha kutuangazia tabia za rais wetu jamani.

Asante Mungu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Uzi kama hizi zisiwe zinakuja kama mpya ziwe zinajiunga kwenye zingine kama wachangiaji
 
Tatizo Mkuu anampenda sana bashite ila hatuelezi kwa nini anampenda ili atusaidie na siye tumpende. Sasa akimpenda peke yake anaacha sintofahamu kwa upande wetu.
anampendea uganga wa kienyeji na Siri zao zinginezo kibao ikiwepo mali zake kupitishiwa mikononi mwa bashite kinyemela.
 
Magufuli nakupa ushauri chukua hatua kwa mkuu wa mkoa wa Dar ndugu makonda haraka iwezekanavyo vinginevyo hali itakugeukia wewe.unamkumbatia wa nini???
Mi sipangiwi
Nilichukua fomu mwenyewe
JPM
 
Mimi ndo nirimtuma avamie crauds nasema makonda chapa kaziii. Sipangiwi mimi
 
Bashite ameigawa CCM, Bashite ameligawa Bunge, Bashite ameligawa taifa, Bashite amevigawa vyombio vya dola, Bashite ameligawa balaza la mawaziri - bila kumdhibiti mapema hali itakuwa mbaya zaidi.
 
Back
Top Bottom