Hiyo ndoa hadi kifo ndio kinatenganisha tatizo wengi hawajui Siri iliyopo Kati ya watu hawa wawili huyo bashite anajua Siri za mkulu hata kuliko mama J sasa atatolewa vipi akifichua Siri je so mkulu anaugulia kimoyo moyo hapendi ila hana jinsi afu ndo hivyo kadri anavyomkumbatia bashite ndivyo anavyoharibikiwa kisiasa.Ushauri wangu mwamishe tu mkoa vingnevyo utajuta mkulu huyo jamaa ana nyota mbaya sana ya kutopedwa hii ni hatari.