fenestra rotunda
JF-Expert Member
- Jun 18, 2015
- 608
- 616
Kilichopo kati ya hawa wawili anaeweza kuelezea kwa undani labda ni wikileaks lakini sio humu tz,nikiwaona hawa wawili i only smell something huge and dirty
Hahahaaaa et weakleaksKilichopo kati ya hawa wawili anaeweza kuelezea kwa undani labda ni wikileaks lakini sio humu tz,nikiwaona hawa wawili i only smell something huge and dirty
Sipangiwi, najiamini na sijaribiwiNi vema ile report ya Kamati ya Maadili imkaange kabisa huyu dogo ili tuone mkulu atachukua hatua gani.
Achukue hatua kwa kosa gani?.Magufuli nakupa ushauri chukua hatua kwa mkuu wa mkoa wa Dar ndugu makonda haraka iwezekanavyo vinginevyo hali itakugeukia wewe.unamkumbatia wa nini???
Kwani ulimshauri kwenye kuchukua fomu??Magufuli nakupa ushauri chukua hatua kwa mkuu wa mkoa wa Dar ndugu makonda haraka iwezekanavyo vinginevyo hali itakugeukia wewe.unamkumbatia wa nini???
bashite ana list ya wapinzani wake wote atahakikisha kuwa 2020 hawapenyi Dodoma na atakwenda na kikosi chake cha Waganga kukabiliana na chochote kama alivyokwenda nao juzi.Kati ya vitu nilivyovipenda ni jinsi wagombea wa CCM wataoshinda kura za.maoni za ubunge halafu CC inayakata majina na kuletwa ya wasioshinda!!! Naingojea kwa hamu kubwa sana 2020. Hakika sipati picha
Alishakwambia yeye ni raisi anayejiamini (sasa sijui nani alikuwa raisi asiyejiamini) na hapangiwi nini cha kufanya.Magufuli nakupa ushauri chukua hatua kwa mkuu wa mkoa wa Dar ndugu makonda haraka iwezekanavyo vinginevyo hali itakugeukia wewe.unamkumbatia wa nini???
Magufuli nakupa ushauri chukua hatua kwa mkuu wa mkoa wa Dar ndugu makonda haraka iwezekanavyo vinginevyo hali itakugeukia wewe.unamkumbatia wa nini???