karekwachuza
JF-Expert Member
- Dec 23, 2013
- 999
- 335
Magufuli nakupa ushauri chukua hatua kwa mkuu wa mkoa wa Dar ndugu Makonda haraka iwezekanavyo vinginevyo hali itakugeukia wewe, unamkumbatia wa nini???
Subiri bunge lithibishe kwanza hatuongozi nchi kwa mihemkoMagufuli nakupa ushauri chukua hatua kwa mkuu wa mkoa wa Dar ndugu makonda haraka iwezekanavyo vinginevyo hali itakugeukia wewe.unamkumbatia wa nini???
Umesema kweliUsimpangie, yeye ndiye anayejua nani akae wapi na wapi.
nguza vikings na babu seyaBaba na mwana