Waling'amua sema walikuwa sehemu ya upigajiSioni sifa yoyote inayostahili kupewa Bunge hapo...tulipigwa na hamkung'amua chochote mapema
Waling'amua sema walikuwa sehemu ya upigajiSioni sifa yoyote inayostahili kupewa Bunge hapo...tulipigwa na hamkung'amua chochote mapema
Unaua mkuuTulia uandike vitu visomeke wacha kiherehere kama buku 7 utapata tu
1.5 trillion ziko wapi , asitufanye sisi wajinga! yeye kwenye barabara muulize zile complex Chato hela alizitoa wapi? acha hizo johnthebaptistRais Magufuli amesema ufisadi wa fedha ya rada ulisababisha waziri wa Uingereza kujiuzulu kwa hiari lakini yule wa Tanzania aliendelea kula bata.
Ashukuru ni zama zile lakini ingekuwa ni awamu ya 5 hii....hii....hii asingepona, amesisitiza Rais Magufuli.
Wadau nikumbusheni huo mkasa wa rada tafadhali
Maendeleo hayana vyama!
1.5 trilion ziko wapi?Kumbe enzi zile JK alikuwa na makandokando mengi sana, aisee anamuaibisha sana, wastaafu wa CCM mnatia aibu
Angepata mke ingekuwa bora zaidi,kwani naniliu keshaolewa??Daaa injinia kakosa ofa ya kupewa mke na Rais ila sio mbaya amepata ofa ya kwenda kuhiji kuna watu wanabahati sana
Mfukoni mwake 😆😆😆😆1.5 trilion ziko wapi?
sasa rada ya chenge inamuuma nini kama naye ana makando kandoMfukoni mwake 😆😆😆😆
Kweli Lissu ni shida
Usilitaje bure jina la lissu inatetemeshaYaani sijui ni kwa nini ametaja jina lake kwa kugugumia...
Imeniuma sana aisee, kusema jimbo lake lilitelekezwa...
Yaani marisasi yote yale aisee[emoji22]
Kumbe enzi zile JK alikuwa na makandokando mengi sana, aisee anamuaibisha sana, wastaafu wa CCM mnatia aibu
Angepata mke ingekuwa bora zaidi,kwani naniliu keshaolewa??