Rais Magufuli azindua rada ya kuongozea ndege

Rais Magufuli azindua rada ya kuongozea ndege

Njaaa itakufanya kitu mbaya
Karibu

Updates;
Sasa shehe wa bakwata anasoma dua sasa la kumuombea Rais Magufuli.

Katibu mkuu wa CCT padre Richard Kamenya sasa anafanya maombi maalum ya kumuombea Rais Magufuli na taifa kwa ujumla.

Sasa ni utamnulisho wa viongozi walioalikwa wakiongozwa na Spika Ndugai.
 
Hongera muheshimiwa Magufuli, nchi inapepea, mambo yanazinduliwa makubwa, historia inaadikwa upya.
 
Huyu Balozi inaonyesha jana usiku alikuwa na kazi moja tu, ya kukariri hayo maneno ya kiswahili aliyongea hapo mwishoni.
 
Naona spika ndugai anaendeleza siasa hata pasipostahili...
Kamtambulisha kwa rais mbunge wa singida mashariki na kusema kuwa eti wananchi wa "wilaya ya ikungi sasa wana mwakilishi baada ya muda mrefu kupita bila kuwa na mbunge...."
 
Sasa wakati ule aliyeibua huko kupigwa ni Bunge au hao hao Wazungu/Mabeberu.

Sasa leo Mh wa Bunge ana confirm vipi kwamba kila kitu kimeenda sawa ili hali tunapaswa kuwasikiliza kwanza hao Wazungu wachunguze kisha ndio watuambie kama walivyofanya awali?

Walichofanya Bunge wakati ule ni kufuatilia pesa 'chenji' tu, na kubishania zirudishwe kwa mfumo gani, huku Wazungu/Mabeberu wakiogopa tukiwarudishia kirahisi nyie wezi mtaiba tena..na wao wakang'ang'ania tu kwamba wasipangiwe na 'chenji' yetu.

Sioni sifa yoyote inayostahili kupewa Bunge hapo...tulipigwa na hamkung'amua chochote mapema.
 
Tutamkumbuka sana marehemu baba wa taifa kwa kutuongoza watanzania kushinda vita 1979
Hongera muheshimiwa Magufuli, nchi inapepea, mambo yanazinduliwa makubwa, historia inaadikwa upya.
 
Kwani bado hajaenda India?
Naona spika ndugai anaendeleza siasa hata pasipostahili...
Kamtambulisha kwa rais mbunge wa singida mashariki na kusema kuwa eti wananchi wa "wilaya ya ikungi sasa wana mwakilishi baada ya muda mrefu kupita..."
 
Hivi Isaac Kamwele huwa zimo kweli kichwani au ni mtu wa lager sana?
 
Naona kapiga dongo kwa Raisi mstaafu, hivi ile rada ilinunuliwa kipindi cha Mkapa au kikwete?
 
Back
Top Bottom