Rais Magufuli azindua rada ya kuongozea ndege

Rais Magufuli azindua rada ya kuongozea ndege

jamani Mimi Ni mbumbumbu katika hili suala la hiki chombo kinachoitwa RADA hii ya kuongozea ndege (inaongozaje yaani?)

Naomba kufahamishwa kiundani zaidi jinsi inavotumika. Na umuhimu wake.

Maana mie naona Kama Ni kijumba tu cha walinzi ama security.

Msaada tafadhali.
Screenshot_20190930-112118.jpeg
 
Back
Top Bottom