Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,252
- 98,255
Bring back our 1.5 trillion
Mambo ni moto kwa kweli ,utekelezaji wa Ilani
Mambo ni moto kwa kweli ,utekelezaji wa Ilani
Speaker aache kusema uongo hakuna chochote alichofanya kwenye sakata la radar. Sakata zima liliibuliwa na ‘Serious Fraud Office’ (SFO) ni branch ya UK justice system, wenye majukumu ya kuchunguza ufisadi wa juu nchini mwao.
Wao ndio waliochunguza BAA kampuni iliyouza radar mbovu na kuibua sakata mpaka likafika bunge la UK na kuamuliwa warudishe hela.
Baada ya hapo ndio viongozi watanzania kusikia wanatetewa huko wakaanza kutafuta cheap political points, lakini hakuna lolote walilofanya Tanzania na walikuwa washapigwa bila SFO.
Serikali inafanya biashara
Hafu inatumia nguvu zake kuumiza wengine kibiashara
Halafu inajisifia
Only in tanzania made in africa
Ipo kwa lugha ipi mkuu maana sisi wengine hizo lugha hazipandiHii hotuba ni ya kisomi sana
Kwani jinai ina expire date?As long as ushahid upo adeal naye tu!Au protocol ipoje?
Daa hiki kiswahili ndio tunatarajia kwenda kufundisha ughaibuni
Sasa Spika anataka kongole kwa kudai tu warudishiwe pesa ili hali ilitakiwa iwe limeibukia Bungeni na Wauzaji/Wazungu wabaki kama wadaiwa.Waling'amua sema walikuwa sehemu ya upigaji
Sauti Sol nawajua, jamaa kataja sauti soru.Sauti Sol ni group la Wakenya.
Chuki zisizo kua na mdomo wa mku.du, hivi ni lazima uchukie kila kitu au upinge kile kitu?Kazi tutafanya saa ngapi sasa??
Chuki zisizo kua na mdomo wa mku.du, hivi ni lazima uchukie kila kitu au upinge kile kitu?
Ipo kwa lugha ipi mkuu maana sisi wengine hizo lugha hazipandi
Sauti Sol nawajua, jamaa kataja sauti soru.
Yule kilaza wa udom?
Anamsifia Johari na Kamwele kwa kuwahujumu fastjet ,Fastjet msingewahujumu zile ATR zao kwa ajli ya kigoma,Tabora na bukoba mngefunga shirika lenu,unavyomsifia unataka aendelee kuhujumu mashirika mengine ili waendelee kusavaivu Mkuu.Serikali inafanya biashara
Hafu inatumia nguvu zake kuumiza wengine kibiashara
Halafu inajisifia
Only in tanzania made in africa
Kazi .... big up! Enzi zile waliishia kwenye majukwaa na barabarani. Mipasho na Mipayuko. Mtu yupo ANGANI mida yote.Huyu Mzee masaa 24 anachapa kazi safi sana
Tanzania inakimbia kimaendeleo
Weka GPA yako hapa tuone uhodari wako