Julius Kaisari
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 1,176
- 675
Friend,Kwa Mara ya kwanza nilipoviona nikamwambia muhusika "hakuna kitambulisho hapa". Vile vitambulisho ni utumbo mtupu kabisa. Ule ni wizi wa mchana kweupe.
Sasa umefika wakati tu harmonise hizi national IDs zetu. Utakuta mtu ana Driving ID, Voter ID, NIDA ID etc. Sasa yatupasa tuwe na ONE ID inayo jumuisha hizo IDs zooteee.
Afu Nashangaa sana wanapoandika eti Expiration date, huu ni umaandazi na wizi kabisa. Ina maana baada ya hiyo miaka wanapiga tena. ID inatakiwa iwe forever. Mtu akipoteza au ID ikiharibika ndo anaenda ku renew na hapo wanatakiwa waweke small renewal fee.
Huyu Dickson Mwaimu ni wakumnyonga mchana kweupe kabisa. Ni jitu lishenzi sana.
You're right. The NIDA thing is "superfluous" fuckn shit!. In additional, Mr Dickson Maimu is our Man from "undisclosed" institution. So let's expect nothing,rather gibberish flip-flop. Imekula kwetu.