Rais Magufuli azidi kuiandama mitandao ya kijamii

Nimemsikia rais akisema kwamba amemtuma kinana kwenda india kutibiwa.
Hivi jamani mtu atatumwaje kwenda kutibiwa? Sikuhizi haeleweki kabisa huyu mzee
Nawe hilo nalo jambo au! Chuki za kitoto hizo wala kuandika hivyo hakikupi chakula, kazi, fedha au chochote, zaidi ya wewe kuonesha fikra zako za kitoto. Lakini kwa kuwa umejificha kwenye ID fake unajiona shujaa, kumbe mwoga kuliko.
 
Nimemsikia rais akisema kwamba amemtuma kinana kwenda india kutibiwa.
Hivi jamani mtu atatumwaje kwenda kutibiwa? Sikuhizi haeleweki kabisa huyu mzee
Yaani aina maana aliyetakiwa kitibiwa ni Magu lakini wa kubana matumizi kamtuma Mzee Kinana akatibiwe kwa niaba yake.
 
Mhe. Rais yupo sahihi mitandao ya kijamii inaliangamiza taifa letu sijui tufanyeje tunatenegeneza taifa vivu kufikiri taifa lililojaa umbea na ushabiki wa kijinga
Kuwabambikia watu kesi ni ushabiki wa kujinga? Kuwapora watu magari kuwataka akina wema kimapenzi wakigoma wanabambikiwa kesi ni ushabiki wa kijinga? Kwenda clouds kijambazi ni ushabiki wa kijinga?
 
Inasikitisha na kutia hasira kuona sasa Tanzania tunapangiwa tusikilize na tujadili nini kwenye media. Nashangaa hii kauli aliyojikasirisha kuwa tujadili maendeleo. Inawezekana hata neno maendeleo hajui maana yake.

Sidhani kama maendeleo yanakuja kwa kuyajadili hata siku moja bila kujadili pasonalities. Yeye huyu huyu ndye aliyekuwa akitumia pasonality kama main agenda kipindi cha uchaguzi.

Mi nimeshangaa kashindwa hata leo kukemea yule sijui shushushu aliyemtolea bastola Nape. Kwake kaona kama personalty ila hatambui brain damage iliyo fanyika hapo. Hatambui kuwa ni picha gani watanzania wameipata juu ya nchi wanayodhani ni huru.

Sasa kama yeye kasema hapangiwi hafanyi nini asitumangemange na sisi. Kila mtu afanye yake. Acha tuongelee personality, yeye aongelee maendeleo na mwisho wa siku tutaona who is the winner.
 
Atulie dawa iendelee kumuingia vzr.....mbona yy ananyanyasa na kutukana watz wanavumilia?
Na bado tutakula naye sahani moja.....
Kuvamia chombo cha habar ni maendeleo....kumsaidia mhalifu bashite ni maendeleo?
Kuwaweka mahabusu watz na kiwanyima dhamana ni maendeleo?
Bora angekuwa na akili angalau kidogo angekuwa anafikiri kabla ya kusema
 
Mhe. Rais yupo sahihi mitandao ya kijamii inaliangamiza taifa letu sijui tufanyeje tunatenegeneza taifa vivu kufikiri taifa lililojaa umbea na ushabiki wa kijinga
Usiitumie...

Ova
 
Back
Top Bottom