Rais Magufuli awasili nchini Uganda kushiriki mkutano wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki

Heko heko hatimae Mr President ameanza kushiriki vikao vya kimataifa....

Ngoja akachukue uzoefu kwanza mdogo mdogo ataanza kuhudhuria vikao vya UN....

Goodluck Mr President JPM....
 
Bomba la mafuta na gesi, kupunguza tozo za kodi katika bidhaa, kuachia mzunguuko wa fedha kwenye taasisi za fedha hadi kwa wananchi, kuendelea kukataza mitumba ili tulinde soko letu ni muhimu,lakini sio sarafu moja No
 
Kijana anaonesha kuwa creative hasa katika miundo mbinu, kero za jamii...ndio maana anapewa xposure akutane na wadau alete impact! Nitajie jina la mkuu wa mkoa wa Iringa kama unamjua haraka haraka hajulikan
Makonda yupo ziarani wilaya ya Temeke nafikiri yupo Mbagala now...
 
Baada ya Wamarekani na Ulaya kuanza kutupiga mkwara kuhusu katazo la EA kusitisha mitumba kutoka Ulaya na Marekani,wakuu nga'nga'nieni hapo hapo hamna kulegeza misimamo, maana hiyo Tanzania ya viwanda utamuuzia nani nguo wakati kuna free tax access kwa mitumba ya Ulaya, mpango wa AGOA ni kansa ya siri sana ya uchumi kwa Afrika, Mama panya alimkataza mwanae asitoke nje usiku mtoto akakaidi onyo hilo
 
Wataongea kiingereza au kiswahili?

Lugha rasmi katika Jumuiya ya Afrika mashariki ni pamoja na Kiswahili. kwa mantiko hiyo ni hiari yake kuchagua lugha anayotaka kutumia kati aya Kiswahili na Kiingereza maana zote ni lugha rasmi.
 
Huyo Kamishna polisi mwenyeji wa Zenji na salute yake daah TPF NA TPDF mbali mbali ya Mungu mengi
 
Back
Top Bottom