Rais Magufuli awasili nchini Uganda kushiriki mkutano wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki

Kijana anaonesha kuwa creative hasa katika miundo mbinu, kero za jamii...ndio maana anapewa xposure akutane na wadau alete impact! Nitajie jina la mkuu wa mkoa wa Iringa kama unamjua haraka haraka hajulikan
Mnyeti
 
Mwenzako anakwenda Uganda wewe unaanza oh Ulaya, sijui nini.

Aaaah kwa mzee M7 hamna jipya kule mkuu, aende kwa wakoloni wetu angalau watamkopesha maisha yakae kwenye mstari kama mwanzo, hali mbaya huku mtaani sikia tu we si upo kwenye kiyoyozi hapo, aende Marekani, Ulaya na Asia ndio maendeleo yapo kule watamkopesha Collateral tunazo nyingi sana
 
Huo sio mkutano wa kukopa, bali ni wa viongozi wa EAC. Sasa wewe unataka asihudhurie na badala yake aende Ulaya; akafanye nini huko?
 
Mbona Mzee Safari za Ulaya anazipiga chini huwa anatuma wawakilishi ila za E. A anaenda mwenyewe
 
Back
Top Bottom